Kaka yake Polepole anasema usiku watekaji walienda kwa mama yake

Inasikitisha sana, kwao uhai una thamani ndogo sana.
 
Sad truth
 
Utekaji ni hapana katika ardhi ya Tanzania
Kama mtu amefanya kosa lolote la kuvunja sheria anapaswa akamatwe na kufikishwa mahakamani
Ni serekali ya CCM ya hovyo yenye kulipa watumishi wa mahakama huku ikilazimisha shughuli za mahakama zifanyike nje ya mahakama na watu wasio wa mahakama.
 
Sahihi sana...

Inaonekana Polepole alimuamini sana huyu kaka yake, na inawezekana hata siku ile Polepole anazungumza ndugu yake aliyekuwa anafuatiliwa ni huyu... tunarudi palepale inaelekea ni mtu mwenye taarifa nyingi na yupo makini.

Na anavyoonekana ni mtu mwenye kiwango ch juu katika situational awareness, si mtu wa hivihivi hatujui kama ana mafunzo ya kiusalama ama ni uwezo alionao...
 
Kuna uwezekano amewapa ushahidi alionao mawakili wa Polepole wakiongozwa na Kibatala.
 
Kuna uwezekano amewapa ushahidi alionao mawakili wa Polepole wakiongozwa na Kibatala.
Nilichogundua huyu jamaa(Kaka yake Polepole) kwamba ni mtu makini, ni pale ile siku ndugu yake katekwa akasema aliyemteka ni ndugu Mafwele, hakusema ni afisa wa polisi, ni sawa na mtu useme aliyekuja kuiba kwangu ni jamaa anaitwa Juma, hivi Juma wapo wangapi?

Polisi walipoingia mkenge ni baada ya wao kutoa summons wakidai amemtaja afisa wa polisi ambae ni Mafwele, lakini jamaa ukiangalia ile video ya kwanza alipokuwa akitoa taarifa kuhusu kutekwa kwa ndugu yake alisema 'ndugu mmoja anyetambulika kwa jina la Mafwele', polisi wameingia mkenge na kudai aliyetajwa ni yule afisa wa polisi.

Jamaa anawachezesha mchakamchaka , ina maana hapo hata afunguliwe kesi mahakamani bado atashinda, polisi ndio wamejistukia.

Jamaa anaonekana yupo makini sana kwa kila anachozungumza, si mtu wa hivihivi.
 
Ni serekali ya CCM ya hovyo yenye kulipa watumishi wa mahakama huku ikilazimisha shughuli za mahakama zifanyike nje ya mahakama na watu wasio wa mahakama.
Ndugu hiyo sio CCM kwa uhalisia wake bali kikundi cha watu wenye kutumia nafasi zao ndani ya CCM kulinda na kutetea maslahi yao binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…