Huyu jamaa nimemkubali,naona ameamua kucheza nao kama wanavyotakaNilichogundua huyu jamaa(Kaka yake Polepole) kwamba ni mtu makini, ni pale ile siku ndugu yake katekwa akasema aliyemteka ni ndugu Mafwele, hakusema ni afisa wa polisi, ni sawa na mtu useme aliyekuja kuiba kwangu ni jamaa anaitwa Juma, hivi Juma wapo wangapi?
Polisi walipoingia mkenge ni baada ya wao kutoa summons wakidai amemtaja afisa wa polisi ambae ni Mafwele, lakini jamaa ukiangalia ile video ya kwanza alipokuwa akitoa taarifa kuhusu kutekwa kwa ndugu yake alisema 'ndugu mmoja anyetambulika kwa jina la Mafwele', polisi wameingia mkenge na kudai aliyetajwa ni yule afisa wa polisi.
Jamaa anawachezesha mchakamchaka , ina maana hapo hata afunguliwe kesi mahakamani bado atashinda, polisi ndio wamejistukia.
Jamaa anaonekana yupo makini sana kwa kila anachozungumza, si mtu wa hivihivi.
Hakika, CCM imetekwa na genge la wahuni. Sio tu CCM bali mihimili mingine yote muhimu ya dola, vyama vyote vya upinzani kasoro CDM na vyombo vya habari vimenyamazishwa.Ndugu hiyo CCM bali kikundi cha watu wenye kutumia nafasi zao ndani ya CCM kulinda na kutetea maslahi yao binafsi
Mkuu unategemea nini wakati tumekulia Ugali?Wahuni wanakuwa encouraged wakipita sehemu kama hizi jukwaa la siasa na kusoma mijadala.
Baadhi yetu humu hatuna political values, yaani msimamo thabiti. Uwe CDM, CCM, CUF, ACT, Chama cha wakulima, etc.
Unapokuwa na values maana yake wewe jambo fulani uwezi litetea hata afanye mwenyekiti wako wa chama au kiongozi wako wa dini.
Mfano kwenye ili sakata la utekaji na mauaji, kama wewe ni staunch believer of a ‘just society’ na unaamini freedom of speech, right to criticise the government (bila ya kutukana au breach of patriotism) ni haki ya kila raia.
Mtu kama huyo hawezi support utekaji na mauaji ya mtu yeyote huko ni kutoka kwenye misingi ya ‘just society’ aijalishi nani kauliwa.
Sasa mijamaa ikishaua ikija kusoma humu inatukuta mataahira tuna justify baadhi ya matendo yao ya hovyo ndio maana wanatuona mamburura na kuendelea na utekaji maana hatujitambui tunataka na kusimamia vitu gani on principles.
Imagine the audacity of the killers in the midst of public outcry on increasing abductions and killings, they go about their business like that’s the new norm.
Sasa who’s to blame zaidi ya sisi wenyewe. Ukifuatilia humu ni member wachache sana ambao utakuta wapo consistent on their principles either mnakubaliana au la on the topic. Mfano zitto junior very consistent you know what you will get from him from the outset kutokana na topić husika kudos.
Wengi wetu ni bendera tu, and this works in killers favour.
Acha roho mbaya wewee.
They’re a bunch of idiots. Sijui watateka na kuua wangapi. Obviously, this doesn’t work!Baada ya saa chache kulikosoa jeshi la Polisi Kaka yake Polepole anasema usiku watekaji wameenda kwa mama yake.
Pia Soma: Updates: Kaka wa Polepole awajibu polisi kuhusu kutekwa kwa mdogo wake Balozi Humphrey Polepole
Vipi akina Kassim Hanga?
Inatia moyo sana kuwa na watu wa aina hii kwenye safari ya kupigania haki.Huyu jamaa nimemkubali,naona ameamua kucheza nao kama wanavyotaka
Ooh nimeshakuelewa that means bado wanapata kigugumizi kummalizia wakihofia risks zitakazojitokeza mbeleni dhidi yao
Hiyo nafaka inauzwaje ?
Wewe ukisikia nalipa kodi sijui bla bla bla ujuwe maisha yamekupiga roho mbaya tuMimi nafanya kazi halali na ninalipa Kodi halali ili kuwahudumia nyingi watekaji na wauaji mkuu,
Wewe huna kazi za kufanya?Wewe unajuaje kama hawajauawa? Kwanini inafichwa walipo? Kwanini hawapelekwi mahakamani kama wana makosa na kama bado wapo hai?
Nyie watetezi wa serikali hii ya samia sio tu kwamba mmekosa ubinadamu kwenye nafsi zenu, bali mmekosa mpaka akili yaan hamna akili hata kidogo mashetani nyie.Fanya kazi tafuta pesa acheni roho mbaya kutaka kila mtu awe kama nyinyi, wewe umejuaje wameuliwa?
Hata yanipige vipi,siwezi nikawa kama nyie mnakula anasa kwa kazi ya kutoa uhai binadamu wenzenu kwa tamaa ya pesa za ufisadi na madaraka mkuu.Wewe ukisikia nalipa kodi sijui bla bla bla ujuwe maisha yamekupiga roho mbaya tu
Hivi unajuwa watu wangapi wanauliwa nchi hii sababu tofauti tofauti, mbona huwapigii kelele. Ukiona mtu anatumia neno "ndugu zetu" huyo mnafiki mkubwa siajabu hana hata msaada na ndugu zake kweli. kauli ya kulaghai watu.Nyie watetezi wa serikali hii ya samia sio tu kwamba mmekosa ubinadamu kwenye nafsi zenu, bali mmekosa mpaka akili yaan hamna akili hata kidogo mashetani nyie.
Ona kama wewe hapa, watu wanaongelea kukithiri kwa mauji ya ndugu zetu kiasi cha kuongeza hofu kwenye jamii yetu.... halafu unaanza kutwambia sijui tufanye kazi una akili kweli wewe?
Suala sisi raia kufanya kazi na kukemea mauaji lina uhusiano gani kimantiki?
Kwamba hao wote waliotekwa na kuuawa walikuwa hawafanyi kazi au?
Kwamba kuwa bize na kazi ndio njia ya kukufanya wewe usitekwe au?
Halafu unatamka kabisa neno "roho mbaya"..? Hivi kati ya hao wanaopaza sauti kukemea mauaji na wewe ambaye unawanyamazisha kwa kuwaambia watafute pesa ni nani mwenye roho mbaya?
Mbona una reasoning ya kipumbavu hivi?
Kama wanaotekwa hawauliwi utuambie wanafanywa nini au wanapelekwa wapi?
Bila shaka wewe ni moja ya wale wapumbavu mnaojiita "drones" sio?