one by one
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 5,835
- 9,330
Fanya research watu wana pesa kabla hujazaliwa hapo Tz wenye pesa wako kimyaa wanapiga kazi sasa usilete mifano ya watu wachache utajiri wenye mashaka ukataka kuchanganya kila mtu. Wewe hapo Baba yako angekuwa Rais wa nchi hii ungeendesha Paso? acheni unafikiHata yanipige vipi,siwezi nikawa kama nyie mnakula anasa kwa kazi ya kutoa uhai binadamu wenzenu kwa tamaa ya pesa za ufisadi na madaraka mkuu.
Ni bora nile AC nikiwa kwenye passo kuliko kula AC kwenye LC300 ZX huku ukinuka damu za watanzania wenzako
Mfano kwenye ili sakata la utekaji na mauaji, kama wewe ni staunch believer of a ‘just society’ na unaamini freedom of speech, right to criticise the government (bila ya kutukana au breach of patriotism) ni haki ya kila raia.
Mtu kama huyo hawezi support utekaji na mauaji ya mtu yeyote huko ni kutoka kwenye misingi ya ‘just society’ aijalishi nani kauliwa.
Wengi wetu ni bendera tu, and this works in killers favour.
Kabisa aiseInatia moyo sana kuwa na watu wa aina kwenye safari ya kupigania haki.
Kukubali kunyamazishwa ni kuwa complicit katika dhuluma dhidi yako mwenyewe!
Kama ndiyo unanilipia ada za watoto probably sina kazi.Wewe huna kazi za kufanya?
Ndio maana huna thamani yoyote katika michango yako humu JF; kwa sababu wewe mwenyewe ni kielelezo halisi kabisa ya haya unayo yaeleza hapa.Mtu kama huyo hawezi support utekaji na mauaji ya mtu yeyote huko ni kutoka kwenye misingi ya ‘just society’ aijalishi nani kauliwa.
Kwa hali ilivyo sasa hivi sioni wao (watekaji) wakiwa na hofu yoyote. Labda useme wawe na hofu ya nini kitatokea iwapo Samia na GGenge lake watafurumishwa hiyo Oktoba 29 au kabla.Itakuwa risk kubwa kwao watekaji kumuua Polepole wakati kuna ushahidi wao ndio waliomteka.
Hapo ndipo alipofeli HP. Huyu jamaa angekuja na ajenda za katiba mpya nchi ingemkumbuka. Ila kwa sasa wakimuua wiki mbili tu tunamsahau. Si-support mauaji wala utekaji lakini HP alikosa wa kumshauri.huwez kuwa CCM halafu eti ukawa na sifa kama hizo. labda uektie tu
Wewe unaweza Ongelea hayo ili ukumbukwe.Hapo ndipo alipofeli HP. Huyu jamaa angekuja na ajenda za katiba mpya nchi ingemkumbuka. Ila kwa sasa wakimuua wiki mbili tu tunamsahau. Si-support mauaji wala utekaji lakini HP alikosa wa kumshauri.
Ni mwanajeshi Jwtz. AfisaNinachoona hadi sasa watekaji wapo kwenye shock..
Huyo kaka yake Polepole ana taarifa sensitive sana inavyoonekana na kuna uwezekano mkubwa kweli akawa anafahamu mdogo wake alipo...
Watu wa visasi ndio mpewe nchi si mtaigeuza Rwanda ya 94Kama ndiyo unanilipia ada za watoto probably sina kazi.
Nyinyi kenge wauaji just remember that karma never forgets.
Nyinyi mkiteka na kuua ni haki na ni sawa ila wanaoshambuliwa kuuawa wakijitetea inageuka kuwa Rwanda ya 94.Watu wa visasi ndio mpewe nchi si mtaigeuza Rwanda ya 94
Njaa mbaya sana, nakushauri tu ongeza juhudi fanya kazi hata chuki na roho nyeusi itapata nuru tena na utaishi kwa amani. Hata mimi nikiwa na njaa nakuwa mkali sana.....pole sana ndugu yangu yatapita tu pambana..Nyinyi mkiteka na kuua ni haki na ni sawa ila wanaoshambuliwa kuuawa wakijitetea inageuka kuwa Rwanda ya 94.
No wonder wahenga walisema "mkuki mtamu kwa nguruwe kwa binadamu mchungu".
Just be ready for the karma, it's kinda bitch.
Trying to be a spin master? Stick to the topic.Njaa mbaya sana, nakushauri tu ongeza juhudi fanya kazi hata chuki na roho nyeusi itapata nuru tena na utaishi kwa amani. Hata mimi nikiwa na njaa nakuwa mkali sana.....pole sana ndugu yangu yatapita tu pambana..
Huyu alikuwa anapigania tumbo lake.Wewe unaweza Ongelea hayo ili ukumbukwe.
He chose what he thought was right for him….
Na wewe pigania tumbo lako nini shida?Huyu alikuwa anapigania tumbo lake.
Ongeza na kifaransa, wewe unadhani hatujui English? andika kiswahili tu tutaelewana, hizo ndio akili zenu mkibwabwaja kizungu ndio unataka tujue kuwa level yako ya juu.... hapana hayo mambo ya kishamba watu wameshapita huko. Wewe unashutumu kila mtu mtekaji akiwa na maoni tofauti na wewe tu ndio shida yenu. Punguza hasira nchi hii ni super kwa kuishi ila shida kama huna kitu hujielewi na wewe unayejitapa nchi yetu shit sasa nini kinakuwasha.... sisi tupo powa tu hata wewe ukipunguza stress za huko ulipo utaishi kwa amani.Trying to be a spin master? Stick to the topic.
About this shit you've just posted, it's pathetically absurd. Kwanza siishi kwenye nchi yenu mnayotekana na kuuana on daily basis, second I'm above working class. Kama ulichelewa kujipanga kimaisha iliyokupelekea kuwa chawa that's your own problem.
It's ridiculous hao wapumbavu mnaoshinda humu mkiwatetea wameifungia hii forum na wanamtafuta Melo ili wamteke, deeply thinking of this reality huwa naelewa standards zenu na kuishia kuwaonea huruma. Whether you're direct involved in the abductions and killings au ni chawa tu mnaolipwa kwa uchawa you're just one and the same. Pathetic losers.