Kaka yake Polepole, Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe, kinyume na hapo atalipa kisasi

Okay
Mi kwa uelewa wangu mdogo yule sio mjinga ndo maana alikuwa angongea kwanza
Km adui yuko na mateka huna option lzm uwe mpole kwanza kabla ya kuchukua hatua nyingine zaidi!
Huu ni uelewa wangu mdogo...


Anyway walioko huko kwenye hizo idara za hayo mambo watupe elimu
 
Mi natamani asingesema afanye kimyakimya...

Ye sio mjinga anajua km ndugu yake yuko hai au hsyuko hai
Mbona alishasema wawape ht km maiti wakazike
 
Na mimi kwa akili yang ndogo hii ndo nachojua
Ss nashangaa hapa watu wasomi ht elimu hii ndogo imewashinda au nayo mpk habil awafunfishe🀣🀣πŸ₯°
 
Nahisi huu ndiyo utakua mkwala wake wa mwisho.. vinginevyo tutampuuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…