#COVID19 Kaka yangu amefariki kwa ugonjwa wa CORONA

Itafika mahali kila mtu atakuwa na covid viruses mwili kama ilivyo virus wa mafua n.k, baada ya hapo itabakia vita kati ya kinga na virus...

By the time ukiona mtu anaanza kuonesha hali ya kuumwa ni vile kinga zimezidiwa hivyo zinahitaji external boosters...
 
Poleni sana jamani.

Huu ugonjwa upo kama jini
 
Utakufa kwa hofu zako mjinga!

Machinga wa Kariakoo, Makondakta, bodaboda wangekuwa wanapukutika kama wangekuwa na mihofu kama yenu.
Kuna mtu alikua anapayuka hiv hivi. Leo ametaitika hawezi kuhema vizuri na amekiri kwa kinywa chake mtu anayebeza corona ni MPUMBAVU
 
KAMA SIO STORY TUMA PICHA.! JPO POLE KWA MSIBA
 
Katika watu bado wabishi kuamini ili gonjwa lipo na linakata watu ni wasukuma jamani.nipo nao kanda ya ziwa ukimwambia ukweli hana kuambia angekuwepo magufuli haya yote yasingekuwepo [emoji23].
Sasa gonjwa linasubiria mtu

Wasukuma akili zao hazijapishana na ng’ombe wao
 
Kila kifo kitasinyiziwa ni corona. Kajipeleka mwenyewe na alipobiwa ana korona mshtuko ukammaliza.
Mkuu, mimi nimepata hii kitu. Niliumwa homa kwa wiki nzima, siku ya 9 miguu ikaanza kuvimba moyo kwenda mbio na Kukosa nguvu, wife wangu ni daktar alipoona hivo akasema Twende hospital, kutoka nyumban mpaka Agha Khan mjini niliendesha mwenyewe gari. Nimefika pale Nipo na uchovu haswaaa na moyo kwenda mbio, kuchek SPO2 tayari ishashuka to 90%, pia breathing ipo ya fasta fasta . X-ray ikaonyesha mapafu yote yana pneumonia na pia CRP ipo juu. Nikalazwa na ikalazimu kuwekwa kwa Oxygen. Aisee nakuambia isikie Corona kwa watu, usiombe yakukute. Nawatizama sana wanaobeza chanjo na kuwasikitikia. Hakika hawajui walisemalo. And kwa taarifa tu, Nipo kwenye miaka ya 30’s sina sukari, pressure or any underlying disease but cha moto nilikipata. Over 7 days ndani ya Oxygen. Kwa hiyo nawashaur chukueni tahadhari Corona ipo na inaua sana na matibabu ni gharama sana.
God bless you.
 
Leo kwenye group la whatsapp la famila ya wife, huko Rombo jana padri alifanya misa ya pamoja ya watu 10, Jamani hii kitu ni serious
Corona ipo lakini acha kueneza hofu kwa watu,Manaswara huwa mnahifadhi maiti mochwari hata miezi 12 ili mfanye sherehe,mara sijui mdogo wake yupo belgium,shangazi yake yupo Australia tunawasubiri hadi wafike.Ndio maana maiti zipo kumi huko Rombo kwa wakati mmoja zinaombewa,Ingekuwa mnazika immediately kusingekuwa na maiti zote hizo.
 
Mnakufa kwa hofu zenu wajinga!

Machinga wa Kariakoo, Makondakta, bodaboda wangekuwa wanapukutika kama wangekuwa na mihofu kama yenu.

Hata jiwe, Maalim, Kijazi na vigogo wote wamekufa kwa hofu?

Eti mihofu? Danganyaneni na gwajima eti mmetumwa na Mungu. Nyambafu!

Mjinga utakuwa wewe!
 
Pole kuna ndugu yangu tulienda nae hospital hali ilikua mbaya tulichofanya ni kumtorosha akapiga nyungu akawa poa.
 
Kifo kimoja chenye kuhusishwa na corona kinatia hofu kuliko hata kusikia vifo vya watu kumi vya malaria au kifua kikuu. Tukisema kila mtu hapa aeleze hisia zake kwa kufiwa na ndugu yake kwa ugonjwa wowote ule ni wazi tutaona ni jinsi gani magonjwa yaliyotuzunguka yalivyo hatari na kuondoa wapendwa wetu.
 
Kati ya kosa alilofanya n kwenda hospitali, ukiukwaa kaa home, jidisconnect na ulimwengu halafu assume ni tatizo la kawaida! Mm kama mm nimeupata nisave kwa namna hiyo lkn n maumivu yasiyoelezeka! Poleni sana
Ndicho nlifanya nlipoipata!! Na ukiwa mwoga aisee unawezakufa kwa woga badala ya kirusi chenyewe
 

Halafu tunaambiwa hakuna vifo.
 
Chanjo haikingi tu pia inaongeza nguvu za kiume tukachanjwe wadau[emoji110]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…