Kaka zangu naomba mnisaidie.Sitaki kurudi Misri ya u singo maza

Status
Not open for further replies.
Barikiwa kaka.
Nitazingatia yote ulonishauri.
Asante sana🙏
 
1. Tone ya sauti/maongezi yako ikwe peaceful/haiba ya kike hakuna kingine kinachoshinda na hapa ndio michepuko inapowateka wanaume

Additional
□ Jiko + usafi.
Nimekupata vyema kaka ake.
Asante
 
Amani ni Kitu Cha kwanza kabisa,

Wanawake hawajui tu kuwa a submissive wife ana Control mwanaume more than 95%

Control sana ulimi huo na uwe na Haiba ya kike, Usicheat pia the rest yanerekebishika
 
Mpe chakula akishiba unampa kimoko halafu piga kimya, Usilete kamdomo. Kwa hiyo formula hawezi kwenda popote
Sawa.
Asante ila kumpa kamoko kila siku siwezi niwe mkweli.
Vp mara 3 kwa wiki ni tatizo?😃
 
Sawa mkuu.
Asante.
 

1. wanaume tunapenda kuheshimiwa/usibishane na mume mbele za watu/mbele za ndugu zako
2. wanaume tunapenda sana usafi wa mwili, kitanda, chumba, nyumba na kila kitu
3. wanaume tunachukia gubu (kurudia, rudia kuniambia hata kama nilikosea)
4. wanaume tunapenda kuambiwa asante/ pole nk
5. Wanaume hatupendi makelele, hata kama nimekosa ongea polepole na usirudie rudie
6. Ukitaka pesa, angalia mazingira ya kuomba sio kila wakati hata mume akiwa na stress.
7. Pendelea kuomba hela mapema na sio mtu yupo mlangoni ndio unataka hela. Ongea mfano baada ya siku tatu, wiki , mwezi nk tutatakiwa kulipia kitu flan
8. kuwa mbunifu wa mapishi na simamia matumizi ya pesa.Wanaume wanapenda mtu anayeweza kutumia pesa vizuri (mtu anaye wazia kesho) na sio anaye wazia mitoko na kuvaa nguo mpya kila kukicha.
9. Penda sana mama yake kama yupo hai. wanaume wengi wapo attached sana na mama zao japo hawasemi/hawaoneshi. Ukimbagua mama yake kwa namna yoyote, jua tu imekula kwako.
10. Mwachie kitandani ajipimie, bila visingizio. Jitahidi tu hata kama umechoka apate walau moja...alale
11. Kuna msemo unasema, mwanamke aliyenyamaza hapigwi....ukiona tu kwenye maongezi yanataka kwenda nje ya mstari (mabishano) nyamaza! sio lazima uwe mshindi!
12. Na kama unakipato ukawa unachangia majukumu ya kifamilia, hii huimarisha sana upendo.
13. MUHIMU: USIMNYIME MUME TENDO KAMA ADHABU (KAMA KUMUADHIBU/KUMKOMOA), WANAUME WENGI WAMEJIFUNZA KUTOKA NJE KWA SABABU HII. NA HUKO NJE KUNA VITU VYA MOTO, VITU MNATO, AKIONJA, UNAWEZA KUMPOTEZA
 
Uzi uishie hapa...!!!!
 
Nothing is permanent mkuu.
Sasa ni tumali twetu😃😃.

Asante kwa ushauri🙏🙏
Kila neno lako limezingatiwa.
Barikiwa🙏
 
Barikiwa sana.

Nimesoma kwa makini,nimeelewa imebaki kutekeleza tu.
Asante🙏🙏
 
VIngi nilivyofundishwa hapa tayari navipractice kwenye ndoa yangu sema tu ma bro wamefanya nijue kuwa vina umuhimu mkubwa zaidi ya nilivyodhani hivyo nitazidisha.
Atakachoona mabadiliko ni kwenye kumpa kila siku.Sasa hv kila siku atapata kidonge kimoja cha piriton alale vizuri.😃

Anywahow.Asante kaka yangu kwa muongozo wako🙏
 
Tunapenda sana mwanamke ambaye atakupa amani na sio magomvi kila kukicha,kingine wakati wa usiku,vile vikofi vyenu mnavyotupiga usiku mkidai mmechoka huwa vinakera sana...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…