Kuna point muhimu sana wanazengo wameitaja mara kadhaa, nagging. Nagging puts men off, yaani ukitaka mumeo aanze kutafuta sehemu nyingine ya kujituliza moyo ni unapokuwa na constant nagging.Pouwa.
Mekupata
Wewe unajali nini mkuu, Mtori utie nyama kiongoziUmeomba wanaume wakufunde lakini nakushauri tu kama binadamu mwenzio nisiyejali jinsia potelea pWEte
Huwezi kumplease mtu ambaye hadeserve kupliziwa, kama upo kwenye situation hii usikubali kunyanyasika eti kwasababu hutaki kurudi kuwa single mother
Nimeandika haya bila kujua how it feels kuwa single mother
Nimekuelewa mkuu.MHESHIMU mumeo,mshauri vyema kwa hekima,mpe haki yake ya ndoa bila ku weaponize sex,akikosea mkosoe kwa adabu,jitahidi kuwa msafi iwezekanavyo licha ya majukumu mengi ya umama nyumbani,lakini mwisho Kuna wanaume ambao tumeshindikana,yakikushinda usilipize kisasi,ondoka kwa amani!
Ukiona mwanandoa anataka kutombana kila siku ujue kuna tatizo la kutokujua kwa kina namna ya kutiana. Mkitiana kisawasawa mbona mnakata hata majuma mawili naishia kukumbatiana tu.Basi labda simpi hadi akinai ndo mana anataka kila siku.
Sijawahi kumnyima kumuadhibu au kwa sababu yeyote ile zaidi ya kuwakuna siku nakua tu SIJISIKII😁.
Nakua natamani kukumbatiwa tu na akinikumbatiaga ndo napata usingizi mzuri.Tatizo yeye akinimbatia tu zinaanza "kero"za mambo mengine.
Sometimes nakua na stress tu za kazi sina mood na hayo mambo.
Kumbuka mwanaume ndiye anayempenda mwanamke. Nyie wanawake mnatakiwa mumuamini mume. Yani ww ulikubali kuishi na huyo mume wako kwasababu umemuamini na unamuamini, yeye alikuaproach ww kwasababu alikupenda na anakupendaAsante kwa ushauri bro BK.
Sijionyeshi kwake kuwa sitaki kurudi kwenye usingo maza.Hii si ni siri nimewapeni nyie kaka zangu?😁.
Pia sifanyi haya kwa kuuogopa kurudi usingomaza tu bali ni kwa sababu ninampenda pia na kwa sababu amekua mwema sana kwangu hivyo naona njia pekee ya kulipa mema yake ni mimi kuwa mke mwema kwake.
Asante kwa ushauri🙏
Nitaufuata.
Barikiwa🙏
Iam very ok love.
Trust me.
Ujue tushazoea watu wanakuja kuomba ushauri baada ya mambo kuharibika ndo mana unahisi kuna tatizo nahitaji kufunguka.Sitaki kuwa mmoja wao ndo mana nimeona ni vyema nipate mbinu za kutofika huko.
Nina vingi vya kulipa ndio na wema hulipwa kwa wema.Kama yeye anakua mwanaume mwema kwangu kwanini mimi nichukulie poa tu?Ni lazima nimlipe kwa mimi kuwa mwema kwake.?
Wanawake wapo wengi ila kachagua kutulia na mm kwa kunifanya kuwa jukumu lake so sichukulii poa.Sometimes anastressika sana ili mm niishi bila stress y nichukulie poa.Ynisitafute mbinu za kujipika ili isifike siku akajiuluza kama ninastahili all the sacrifice anazotoa juu yangu?
Sina wasiwasi ni moves tu za mwanamke asiyetaka kupoteza mwanaume wake wa dhahabu
Tunajua😀😀😀wenyewe hawajui wanachotaka watakuja hapa waseme heshima mara hawapendi kelele
sawa😀Tunajua
Mwisho Umemaliza kibabe sana.1. wanaume tunapenda kuheshimiwa/usibishane na mume mbele za watu/mbele za ndugu zako
2. wanaume tunapenda sana usafi wa mwili, kitanda, chumba, nyumba na kila kitu
3. wanaume tunachukia gubu (kurudia, rudia kuniambia hata kama nilikosea)
4. wanaume tunapenda kuambiwa asante/ pole nk
5. Wanaume hatupendi makelele, hata kama nimekosa ongea polepole na usirudie rudie
6. Ukitaka pesa, angalia mazingira ya kuomba sio kila wakati hata mume akiwa na stress.
7. Pendelea kuomba hela mapema na sio mtu yupo mlangoni ndio unataka hela. Ongea mfano baada ya siku tatu, wiki , mwezi nk tutatakiwa kulipia kitu flan
8. kuwa mbunifu wa mapishi na simamia matumizi ya pesa.Wanaume wanapenda mtu anayeweza kutumia pesa vizuri (mtu anaye wazia kesho) na sio anaye wazia mitoko na kuvaa nguo mpya kila kukicha.
9. Penda sana mama yake kama yupo hai. wanaume wengi wapo attached sana na mama zao japo hawasemi/hawaoneshi. Ukimbagua mama yake kwa namna yoyote, jua tu imekula kwako.
10. Mwachie kitandani ajipimie, bila visingizio. Jitahidi tu hata kama umechoka apate walau moja...alale
11. Kuna msemo unasema, mwanamke aliyenyamaza hapigwi....ukiona tu kwenye maongezi yanataka kwenda nje ya mstari (mabishano) nyamaza! sio lazima uwe mshindi!
12. Na kama unakipato ukawa unachangia majukumu ya kifamilia, hii huimarisha sana upendo.
13. MUHIMU: USIMNYIME MUME TENDO LA NDOA KAMA ADHABU (KAMA KUMUADHIBU/KUMKOMOA), WANAUME WENGI WAMEJIFUNZA KUTOKA NJE KWA SABABU HII. NA HUKO NJE KUNA VITU MNATO, AKIONJA, UNAWEZA KUMPOTEZA
Sie tunapenda tukute chakula mezani na tulale basi . Mengine yote tutayapata nje ya home .