Kaka zangu naomba mnisaidie.Sitaki kurudi Misri ya u singo maza

Status
Not open for further replies.
Baba hawezi kukujulisha anapenda nini? Utamfanyia manjonjo ya uliyopewa mtandaoni, akikuuliza utamweleza ukweli, usije ukajikuta unaachwa akidhani wewe si mwaminifu unamletea uliyojifunza kwa mwingine. Kama ni riziki yako, utakuwa naye, kama sivyo hats ufanye nini atakuacha.
 
We kajeuri kweli koma kabisa. Usimpoteze mwenzio acha apambane
aPate strong family sio za kwenu hizo baba hajulikani leo kaingia tlaatlaa kesho mwashamwa
 
prida mimi nimtu mzima tena mwanamke anayejua kila kitu so acha kusema wenzako vibaya hao wanaume watakubeza hapa ila kwamaana umetudharau good go ahead tupo hapa hapa hawawezi kuwaambia chochote cha kuku jenga
Nyie mashosti tulieni,kwanza ushauri wenu ndo ulifanya akawa singo mama..
Muacheni mwenzenu ashashauriwa huko juu na sisi wanaume.
 
Wanaume mnajibu wakati yeye hajataka kujitambua makosa yake.. Hataki wanawake tushauri ila naona anatatizo na Mr amechoka au anajuta. Huyu hata mumwambie nini yupo na udespo kwa kiwango kikubwa.. Ni tatizo kubwaaaa sana kwa mwanamke

Napita... 😁
 
prida mimi nimtu mzima tena mwanamke anayejua kila kitu so acha kusema wenzako vibaya hao wanaume watakubeza hapa ila kwamaana umetudharau good go ahead tupo hapa hapa hawawezi kuwaambia chochote cha kuku jenga

Kabisaaaaa...
Mseme yake alivyo bado unaweza kuona ya watu? Ile kazi uliachiwa unafanya nini siku hizi?
 
Kujua tunataka nini ni kibarua kigumu sana ili ujue tunataka nini lazima uwe na experience ya muda mrefu ya kuishi nasi kwa vipindi tofauti tofauti katika maisha yako
 
I don’t parade on people’s happiness…. Prida is here to appreciate her man. Mimi ni mshabiki mkubwa wa mahusiano tena yale yenye upendo na appreciation.

However sichekeagi ukandamizaji wa mwanamke, au udhalilishaji wa mwanamke. Ukitaka kunitoa pangoni kuwe na haya mambo.


This has nothing to do with feminism, feminism haihusiki na mahusiano/ndoa pekee. Know this once and for all.

Thank you.
 
Strategist7 naona umelike hii haraka haraka 😂
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…