Kaka zangu naomba mnisaidie.Sitaki kurudi Misri ya u singo maza

Status
Not open for further replies.

Fact​

 
๐Ÿค
 
Huu ushauri usiuchukue dada mtoa mada, asikutoe kwenye reli, endelea kusikiliza wanaume.Si unaona huyu mwenzio kaanza kuharibu.
 
Hii ni jenero ru
1. Mpe heshima mwenzio kama ambavyo wewe ungetaka upewe
2. oa olewa na rafiki yako anaujua ujinga na uwezo wako ataukubali
3. Mtii huyo, wanaume wanapenda kutiiwa wanawake kupendwa
4. Usibane miguu sex as a harlot wote me" na ke" wanapenda mautundu
5. Acha kelele hata kama iko shida tafuta muda mzuri wa kuongea
6. Fanya kazi kuleta kipato, halafu kikubaki hata kama hakitoshi
7. Apreciate anachofanya utampa kuongeza bidii, mpongeze
8. Acha C&P maisha hayafanani ridhika hapo ulipo
9. Acha usichana au uvulana sasa wewe ni mtu na familia, kuwa mkubwa
10. Usiwe mchafu, hii haikubaliki hata kidogo
11. Isiwe na kitambi, kwa ke", minyama , kwa me" uwe na ka kufutia tu smartfone
 
Endeleeni kumpoteza mwenzenu ili muwe wengi kwenye kikundi chenu cha masingle mother wenye watoto watano watano.
Wewe ni katako kakiparee usinifananishe na nuksi umeelewa mimi sina mtoto wa mtu ambaye hajanioa.
Eti tumshauri nani humu watu wazima hadi magaga ni ngumu kuyatoa .

Halafu heshima ni kitu cha bure ukija umevurugika mie nakuja kukuvuruga kabisa hadi urudi kwenu kutambikia vile vibwengo vya kijijini kwenu.
 
1.Punguza Mdomo
2.Punguza Mdomo
3.Punguza Mdomo
4.Akirudi Muache apumzike kwanza sio unaanza kuleta mdomo
5.Punguza Mdomo
6.Ushishike simu yake,ikitkokea umeshika basi baada ya hapo kusiwe na Mdomo
 
ngoja kwanza mzaz mwenzako yupo hai au
 
mengi umeshauriwa, maana Men tnafanana kihisia ndio maana dem malaya haolewi na wanaume wa taa wake.

Nyngeza ni Hii Make sure huyo uliezaa nae haumongelei vibaya wala hovyohovyo na zaidi kwa lolote linalomuhsu mtoto wako hakikisha haumfichi braza chochote, na kubwa kuliko usitake ampende huyo mwanao acha hilo alifanye kwa hiyari yake. ikiwezekana muombe mawasiliano yote ya wewe na liyezaa nae kuhusu mtoto yafanyike baina yao kama hatojali.
 
I hope uliacha ubinafsi kusema tumali twangu, naona ume reform kwa namna flani, ok weka umimi pembeni jenga familia usikae na kinyongo mana ni kama ukuta unajenga taratibu hadi siku hutoweza kuvuka pande ya pili kwa mwenzio.

Akikosea jitahidi tafuta namna nzuri ya kuongea myamalize ma wee akikosoa rekebika, mapenzi ni uwazi na masikilizano ukipatia hapo tu basi bwereree.
 
Vyote naweza ku deliver kasoro namba 4 tu ila nitajitahidi na uzuri haipo kwenye Nb yako.
Asante sana kaka yangu.
Bless you๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ