Kaka zetu, hayo mabegi ni vipi kwani?

Ha haaa unaona sasa Hadi Bibi anatamani kujua kuna nini ndani ya begi!tuko wengi mnao tuchanganya na hayo mabegi yenu jamani
 
Sikuiz sio wanaume tu hadi vimdada vyenye tuviatu vya manyoa vinavaa mabegi
ha haaaa vimdada vya tuviatu twa manyoya vibegi vyao ni vidogo vinamauamaua vinashonwa na Mangi kiwanda kikuu kipi Tandika.... Mangi nae kabisa pesa sana
 
Mambo yao waachie wenyewe, yasikuumize kichwa...
 
Wewe unakula nyumbani huwezi kuelewa mishe mishe za wanaume,mwanzoni Mimi nilikuwa nabebea laptop,set ya screwdriver,multimeter,vifaa vya engineer vya kufanyia kazi za umeme.
Laptop ilipoibiwa,lazima nitmbee na set ya screwdrivers,multimeter,fluke type,nk,
Mie ni engineer technician wa umeme,Nina kazi site zaidi ya 100 zenye majenereta,bara na pwani,wakati wowote mteja akipiga cm,mi naingia mzigoni,popote naenda na begi langu,niwe msikitini,niwe nimevaa suti,lazima niwe na begi,ndani yake pia naweka nguo za gym,mambo ya kiume ya kuhustle huwezi kuyaelewa mdogo wangu.tuulize sie tuliojiajili,wakati wowote unavuka boda,unakwea pia,begi lazima liwe na hata mswaki na dawa,maana ukiamka hujuhi utalala wapi,guest au polini
 
wewe nakuelewa!na muajiriwa wa Benki anabebaga nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…