Wewe unakula nyumbani huwezi kuelewa mishe mishe za wanaume,mwanzoni Mimi nilikuwa nabebea laptop,set ya screwdriver,multimeter,vifaa vya engineer vya kufanyia kazi za umeme.
Laptop ilipoibiwa,lazima nitmbee na set ya screwdrivers,multimeter,fluke type,nk,
Mie ni engineer technician wa umeme,Nina kazi site zaidi ya 100 zenye majenereta,bara na pwani,wakati wowote mteja akipiga cm,mi naingia mzigoni,popote naenda na begi langu,niwe msikitini,niwe nimevaa suti,lazima niwe na begi,ndani yake pia naweka nguo za gym,mambo ya kiume ya kuhustle huwezi kuyaelewa mdogo wangu.tuulize sie tuliojiajili,wakati wowote unavuka boda,unakwea pia,begi lazima liwe na hata mswaki na dawa,maana ukiamka hujuhi utalala wapi,guest au polini