Diwani
JF-Expert Member
- Oct 25, 2014
- 2,680
- 2,779
Sjui umetumia kigezo gani, ila hakuwa sahihi. Ipo namna, ila sio ile.Mimi ni Mwalimu nadhani mpwayungu village alikua sahii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sjui umetumia kigezo gani, ila hakuwa sahihi. Ipo namna, ila sio ile.Mimi ni Mwalimu nadhani mpwayungu village alikua sahii.
Kwa upande mmoja mpwayungu binafsi nimefahamu kwenye ajira za Ualimu mwaka Jana walipotangaza alikua anakesha mpka saa 8 kuvizia mtandao. Tokea ameanza mada za kuponda ualimu/walimu nilikua najua ni Mwalimu. Lakini mpwayungu ni Mwalimu ambae ana exposure ya maisha anajua scale ya mishahara ya kada nyingine na kada hii ya ualimu na ugumu wa kazi anauona, Lakini moyo kubalance kuukubali ndio hana, mada Nyingi ameongea kwa kuamsha hisia/hasira ya upambanaji. Mimi nilipo nadhani siwezi kupata ofa za kwenda kusimamia/kusahisha mitihani kwa sababu ya kupishana na viongozi kwenye haki yangu wanabaki kuweka vinyongo tu, ndio kada tuliyonayo.Sjui umetumia kigezo gani, ila hakuwa sahihi. Ipo namna, ila sio ile.
Umeongea ukweli mtupu, just imagine mpaka mwanafunzi anajua Mwalimu wake hana hela, utamsikia Mwanafunzi anasema Mwalimu hivi unaweza kununua pikipiki kweli? Unajua kwanini? Kwa sababu anaona Mwalimu anaingia shuleni na baiskeli kweli?Mshana utakuwa ni miongoni mwa wale walokomba mamilioni benk ya walimu🤣🤣 (natania)
Kuna muda people must learn in a hard way, haya mambo ya kurembana rembana na kukosoana Kwa staha ndo yametufikisha hapa tulipo, Hadi Leo ripoti ya CAG ni kichefu chefu, watu wanajipigia tu.
Sasa ina maana gani kumsifia mwalimu na kumremba huku maslahi yake ni duni na hamna mpango wa kumboreshea....hayo mambo ya ualimu ni wito yalikuwa enzi ya ujamaa, sasa ni ubepari, capital ndo kila kitu....Mwalimu alipwe vizuri kuendana na hali ya maisha....sifa hazipeleki chakula mezani.
Katika ulimwengu wa kibepari pesa ndiyo kila kitu, lipa walimu vizuri heshima irudi, nidhamu ya wanafunzi irudi, watoto wafaulu taifa lisonge mbele.....Nani atamuheshimu mwalimu anayevaa suruali ya njano, mkanda uliopauka na Shati la kitenge mpauko?
Ndio maana nikasema sio kosa la walimu bali wanasiasa waliojikasimisha madaraka na heshima zote.. Kisha wakaingiza kanuni ya divide n rule kwenye kada ya ualimuMshana utakuwa ni miongoni mwa wale walokomba mamilioni benk ya walimu[emoji1787][emoji1787] (natania)
Kuna muda people must learn in a hard way, haya mambo ya kurembana rembana na kukosoana Kwa staha ndo yametufikisha hapa tulipo, Hadi Leo ripoti ya CAG ni kichefu chefu, watu wanajipigia tu.
Sasa ina maana gani kumsifia mwalimu na kumremba huku maslahi yake ni duni na hamna mpango wa kumboreshea....hayo mambo ya ualimu ni wito yalikuwa enzi ya ujamaa, sasa ni ubepari, capital ndo kila kitu....Mwalimu alipwe vizuri kuendana na hali ya maisha....sifa hazipeleki chakula mezani.
Katika ulimwengu wa kibepari pesa ndiyo kila kitu, lipa walimu vizuri heshima irudi, nidhamu ya wanafunzi irudi, watoto wafaulu taifa lisonge mbele.....Nani atamuheshimu mwalimu anayevaa suruali ya njano, mkanda uliopauka na Shati la kitenge mpauko?
Kwakuwa kwa mwanafunzi kumiliki pikipiki kwake ni mafanikio makubwa sana .. Je hapo mwalimu ana kosa gani?Umeongea ukweli mtupu, just imagine mpaka mwanafunzi anajua Mwalimu wake hana hela, utamsikia Mwanafunzi anasema Mwalimu hivi unaweza kununua pikipiki kweli? Unajua kwanini? Kwa sababu anaona Mwalimu anaingia shuleni na baiskeli kweli?
Acheni Mpwayungu aseme ukweli halisi, hao wanasiasa na viongozi wamefumbia macho madhila ya walimu, hebu Fikiria kila siku wanakuja na mpango ya ujenzi wa madarasa lakini ujenzi wa nyumba za walimu ni mwendo wa jongoo.....hawana haja hata ya kujua hao walimu wanaishi wapi, ukizingatia hawana house allowance.Ndio maana nikasema sio kosa la walimu bali wanasiasa waliojikasimisha madaraka na heshima zote.. Kisha wakaingiza kanuni ya divide n rule kwenye kada ya ualimu
Huyo mtu si kwamba anasema ukweli bali anatusi na kudhalilisha walimu.. Hivi kusema kazi ya ualimu ni laana ni kusema kweli ama ni kudhalilisha kada ya watu inayotegemewa na mamilioni? Yeye kama sio walimu hao hao anaowatusi leo angekuwa hapo alipofikia?Acheni Mpwayungu aseme ukweli halisi, hao wanasiasa na viongozi wamefumbia macho madhila ya walimu, hebu Fikiria kila siku wanakuja na mpango ya ujenzi wa madarasa lakini ujenzi wa nyumba za walimu ni mwendo wa jongoo.....hawana haja hata ya kujua hao walimu wanaishi wapi, ukizingatia hawana house allowance.
Uzuri mama kasema anapitiaga humu, Kina Tulia wanapita humu.....hebu waone hali halisi.
Habari mwl mshana. Sijui niseme nini ila, wapo wanaowaza wajenge madarasa wapeleke watoto humo ila hawawazi wapeleke ofisi mwl akajipange humo.Maslahi yangu
Mimi ni mwalimu kwa kusomea
Nimefarijika na hatua zilizochukuliwa na uongozi wa JamiiForums kwa kuondoa/kufuta mada zote zinazowadhalilisha walimu na kada nzima ya ualimu na kuwapa adhabu stahiki wale wote waliokuwa vinara kwenye hilo.
Kuna mahali tuliyumba na tukakosea sana, tukakosea pakubwa napo ni pale tulipoipa siasa thamani kubwa kuliko taaluma.. Kwamba mwanasiasa hohehahe wa elimu ana thamani kubwa na heshima stahiki kuliko mtu mwenye ujuzi wa elimu ya kusomea kama mwalimu, ama kama daktari.. Haya yanayotokea sasa ni madhara ya matokeo ya kuwatukuza na kuwakweza wanasiasa
Mwalimu ndio msingi wa maarifa yote ya ulimwengu na hapa nazungumzia walimu katika hatua ile ya awali/msingi ya kufundishwa kuumba herufi, kusoma,kuandika nknk.. Huko mbeleni hakuna changamoto kama hii hatua hii ya awali.. Hivyo kumheshimu mwalimu sio jambo la hiari bali ni jambo la lazima
Rais wa kwanza mweusi wa Tanganyika ni hayati Julius Kambarage Nyerere.. Lakini jina hilo halina ladha kabisa bila kutanguliza neno MWALIMU.. Huyu alikuwa ni mwalimu kwa ujuzi na marais wengine waliofuatia karibia wote walitokea kwenye ualimu.. Ualimu ndio msingi wa maarifa yote
Baada ya vita ya Kagera 1977-1979 nchi iliyumba kwenye nyanja nyingi na kaliba ya ualimu haikuachwa nyuma.. Kufikia mwanzoni mwa miaka ya 80, Mwalimu katika kuhangaika huku na kule kutafuta usaidizi wa kielimu kiuchumi nk ndio akapata usaidizi wa UNESCO waliokuwa na program ya UPE ( UNIVERSAL PRIMARY EDUCATION) Elimu ya Msingi kwa Wote....
Kufanikisha hili ikabidi kuwe na program ya kuwachukua watu wazima na kuwapiga brush ya elimu ya ualimu ili waweze kufidia nakisi ya walimu wa elimu ya awali kutokana na watoto kuandikishwa kwa wingi sana
Program ya UPE kwa bahati mbaya ikapewa jina la dhihaka na waswahel waliooita Ualimu Pasipo Elimu.. Hili nalo lilikuwa kosa ambalo madhara yake yalikuja kuonekana baadae.. Program ya UPE ilikuja kufutwa na Mzee Ruksa kama sio Mkapa
Kiasili kaliba ya ualimu ni kaliba iliyokuwa inaheshimika sana.. Maana mwalimu alichukuliwa kama kiumbe aliyeelimika kuliko wengine, mwenye maarifa mengi, ujuzi hekima, ufahamu mkubwa na jasiri muongoza njia.. Mwalimu ndio aliaminiwa kwa kazi kubwa kubwa za kitaifa kama sensa, takwimu, chaguzi mbalimbali nknk
Wakati huo kuitwa mwalimu ama kuwa mtoto wa mwalimu ilikuwa ni heshima sana kutokana na umuhimu wake kwenye jamii
Vipaumbele na maono ya taifa ndio vilikuja kuitia doa kubwa kabila ya ualimu hasa pale walipoamua kuipa thamani kubwa siasa na kuisahau taaluma... Kuteuliwa kwa wanasiasa kuongoza taasisi nyeti kama ELIMU ilikuwa kupigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la walimu
Zikaanza sarakasi kipindi cha Mkapa kuelekea Kikwete.. Kukaletwa program kama za UPE lakini kipindi hiki wakiwachukua vijana waliofeli kidato cha nne, zile program zikapewa majina ya dhihaka kama voda fasta nk
Kumpika mtu mpaka aje kuiva kuwa mwalimu si jambo dogo, sasa wale walimu wa miezi sita na mwaka mmoja tena waliofeli kidato cha nne sijui walifundishwa nini kwakuwa hata ukiwauliza haiba ni kitu gani ama misingi na falsafa ninini hawajui
Kufikia hapa ndio kaliba ya ualimu ikawa imepoteza heshima, mvuto ustaarabu.. Vijana barobaro wasioiva kihaiba ndio wakawa walimu, wanasiasa wakaanza kuwatumia kwa manufaa yao.. Ualimu ikawa ni kichochoro cha kutumika na wanasiasa.. Wakaleta chama cha walimu na bank ya walimu.. Yaliyofuatia yote ni msiba wa kuhuzunisha
Hawa vijana wa sasa wanaokosoa na kudhihaki hii kaliba ni kizazi kile cha walimu wa mwendokasi na vodafasta .. UALIMU NI WITO sio mbadala wa ajira.. Hawa walienda kwenye ualimu kama mbadala baada ya kufeli na kukosa kaliba ya ndoto zao
Hawa hawajapikwa wakaiva maana hata hivyo hawana wito ni makanjanja wa maisha wenye kinyongo kikubwa na kushindwa kwenye mengi.. Wana nyongo za kutapika lakini wameshindwa kufanya hivyo kwenye mitandao mingine kwakuwa watatumia utambulisho binafsi na ni rahisi kujulikana
Hawa walitaka kuitumia JF kama uchochoro wa kutoa hasira zao na kuidhalilisha kada ya ualimu kwa kutumia faida ya utambulisho bandia bila kujali kwamba kwa kufanya hivyo wanaishushia hadhi forum na kuwapa shida wamiliki wanaojulikana kwa majina, sura na hata mawasiliano yao...
Hata mitume wengi kwenye imani zetu walikuwa ni walimu.. Ualimu ni kazi ya kiroho na ni kazi ya wito.. Iheshimiwe, itambuliwe, ithaminiwe na kupewa hadhi inayostahili.. Wanasiasa walione hili na kulifanyia kazi
Mungu ibariki JamiiForums
Mungu ibariki Tanganyika
Mungu wabariki Walimu
Tunarudi kulekule kwa wanasiasa.. Mtu asiye mweledi wa taaluma anapewa jukumu la kusimamia taaluma.. Mtu aiyejua lolote kuhusu mitaala, kanuni, sheria na taratibu za elimu ndio anapeaa jukumu la kuleta maono mapya...Habari mwl mshana. Sijui niseme nini ila, wapo wanaowaza wajenge madarasa wapeleke watoto humo ila hawawazi wapeleke ofisi mwl akajipange humo.
Kifupi ni kuwa mwalimu ni wa muhimu sana ila UALIMU umeepuuzwa mno ndo maana kila siku siku hizi hayaishi MAELEKEZO kwa hao walimu. Mwalimu asimamie majengo (sijui ndo haiba yenyewe?), Mwl apangiwe cha kufundisha( rejea ratiba mpya toka TAMISEMI) mwaka jana. Mwalimu aelekezwe namna ya kumtathimini mwanafunzi wake (rejea mtihani wa ku assess kidato cha kwanza mwaka huu), mwalimu anafungiwa mkataba mpya kazini afaulishe kila mwanafunzi ( sijui ndo somo la falsafa au maadili?) nk. Hata baada ya pasaka hii huenda kuna MAELEKEZO mapya tena.
HATA TUSEMEJE, UALIMU SIKU HIZI UPO HUKO TAMISEMI NA HUKU CHINI WALIMU NI KAMA VIRANJA TU.
Hatukatai maelekezo, Ila maelekezo yaendane na maslahi.Habari mwl mshana. Sijui niseme nini ila, wapo wanaowaza wajenge madarasa wapeleke watoto humo ila hawawazi wapeleke ofisi mwl akajipange humo.
Kifupi ni kuwa mwalimu ni wa muhimu sana ila UALIMU umeepuuzwa mno ndo maana kila siku siku hizi hayaishi MAELEKEZO kwa hao walimu. Mwalimu asimamie majengo (sijui ndo haiba yenyewe?), Mwl apangiwe cha kufundisha( rejea ratiba mpya toka TAMISEMI) mwaka jana. Mwalimu aelekezwe namna ya kumtathimini mwanafunzi wake (rejea mtihani wa ku assess kidato cha kwanza mwaka huu), mwalimu anafungiwa mkataba mpya kazini afaulishe kila mwanafunzi ( sijui ndo somo la falsafa au maadili?) nk. Hata baada ya pasaka hii huenda kuna MAELEKEZO mapya tena.
HATA TUSEMEJE, UALIMU SIKU HIZI UPO HUKO TAMISEMI NA HUKU CHINI WALIMU NI KAMA VIRANJA TU.
halafu yakitoka kugawana cha juu huko yanasimama majukwaani walimu waheshimiwe, Nye, Nye Nye! [emoji23]Hatukatai maelekezo, Ila maelekezo yaendane na maslahi.
Sasa hivi wanataka walimu mahiri wafundishe English madarasa ya chini, hii inakuja kufatia kufeli Kwa watoto katika Hilo somo, Ila tujiulize hawa walimu mmewapa semina? Kuna motisha kwao? Utasikia serikali haina pesa, Ila pesa za kudouble pay ndege zipo.....halafu yakitoka kugawana cha juu huko yanasimama majukwaani walimu waheshimiwe, Nye, Nye Nye!
Jamani heshima pesa, Walimu nao wanastahili kulipwa vizuri.
Ni sahii umeongea kweli 100%, hiyo pressure inayotoka juu ndio inawafanya wakuu wa shule wachanganyikiwe na kutoa maagizo Kila wakati kwa kigezo Cha kutokupanda daraja maana wanamjua ndio roho ya Kila Mwalimu, Mfano juzi kulikua Kuna semina ya walimu wa science jina langu alikuepo (mkuu hakutuma) unajua kwanini? Kwa sababu aliagiza walimu kubaki mpaka saa 11:00 jioni hakuna posho Wala chakula unajitegemea, nikamwambia siwezi kufanya hiyo natimiza majukumu yote yanayohitajika, mda wa serikali ni saa 9 naondoka, Nilimwambia wewe unalipwa hiyo posho ya madaraka kwa kazi wanazozifanya walimu, yeye hafundishi ni vikao na kukaa ofisini, kinyongo kikaanza hapo, acha tu Mpwayungu aseme, serikali inabidi ifanye mambo yafuatayo kupanda daraja iwe ni haki ya Kila mtumishi akifikisha muda sahii wa kupanda daraja apande tena barua itoke moja kwa moja utumishi, walipwe stahiki zao kwa wakati, sio likizo Leo wanalipwa baada ya miaka miwili, Masters itambulike kwenye madaraja. N.kHabari mwl mshana. Sijui niseme nini ila, wapo wanaowaza wajenge madarasa wapeleke watoto humo ila hawawazi wapeleke ofisi mwl akajipange humo.
Kifupi ni kuwa mwalimu ni wa muhimu sana ila UALIMU umeepuuzwa mno ndo maana kila siku siku hizi hayaishi MAELEKEZO kwa hao walimu. Mwalimu asimamie majengo (sijui ndo haiba yenyewe?), Mwl apangiwe cha kufundisha( rejea ratiba mpya toka TAMISEMI) mwaka jana. Mwalimu aelekezwe namna ya kumtathimini mwanafunzi wake (rejea mtihani wa ku assess kidato cha kwanza mwaka huu), mwalimu anafungiwa mkataba mpya kazini afaulishe kila mwanafunzi ( sijui ndo somo la falsafa au maadili?) nk. Hata baada ya pasaka hii huenda kuna MAELEKEZO mapya tena.
HATA TUSEMEJE, UALIMU SIKU HIZI UPO HUKO TAMISEMI NA HUKU CHINI WALIMU NI KAMA VIRANJA TU.
Kwa kusema hivi ndo wengine wanasema UALIMU umegeuka kuwa laana (japo mimi sikubaliani na dhana hii) ila sio mwalimu kama mwalimu. Na kwa mtizamo wako mwanasiasa ameharibu UALIMU wa mwalimu! Maana amefikiri kujenga majengo mapya nchi nzima na kuyaita shule/madarasa, lakini hakuna anayewaza shule mpya ngapi zinahitaji walimu wapya wangapi? Madarasa mapya mangapi yanahitaji walimu wapya wangapi? Lakini inaonekana mwalimu yule yule aliyelemewa na mzigo wa wanafunzi ataongezewa mzigo tena (na kwa kuwa ni ualimu ni WITO) basi hawezi kutusumbua atakubali tu. (Kumbuka mimi ni mwalimu na moja kati ya maudhi nifundishayo kwa wanafunzi wangu ktk somo langu ni kupinga uonevu 'protesting'), hapa wakija hawa kina village sijui wakisema mwalimu mwenye kukubali kufanyiwa haya basi ana laana tunawashindaje ktk hali hii?Tunarudi kulekule kwa wanasiasa.. Mtu asiye mweledi wa taaluma anapewa jukumu la kusimamia taaluma.. Mtu aiyejua lolote kuhusu mitaala, kanuni, sheria na taratibu za elimu ndio anapeaa jukumu la kuleta maono mapya...
Siku tutakapoiondolea siasa thamani na hadhi tuliyoipa mambo mengi yatabadilika
Wazo zuri watalitazamaKutumika na wanasiasa ni moja ya vitu vili/navyowashusha hadhi.
Lakini pia umoja tepetepe pia, walimu ni wengi nchini, matatizo yao yanafanana almost nchi nzima. Ni ajabu kutokua na umoja thabiti kutetea maslahi yao.
In negative cheque, huwa naona mtizamo wa hao wanasiasa juu ya shule na mwalimu ni ' shule ni vituo vya kukusanya na kukuza watoto pamoja badala ya kuzagaa tu mitaani chini ya walezi wajulikanao kama walimu' . Ila zipo zilizokusudiwa kuwa shule na kutoa elimu na hizo ndizo hupokea watoto wa hawa wapiga cha juu.halafu yakitoka kugawana cha juu huko yanasimama majukwaani walimu waheshimiwe, Nye, Nye Nye! [emoji23]
Haina sababu ya wao kulazimishwa na mtu kubadilika. Kila mtu na style yake ktk maisha, kuwalizimisha kubadilika ni kuingilia maisha yao binafsi ambavyo hayakuhusu. vipi na wewe wakijua kazi yako wakaidharau wakakwambia ubadilike utafrahi.Walimu wenyewe wanatakiwa wabadilike, la sivyo wataendelea kudharaulika. Haiwezekani ishu za kuandikisha ugawaji wa mahindi Mwalimu anaomba, kuandikisha kupiga kura wanagombania. Mambo mengine acheni jobless huko kujenga heshima yenu.