Kaliua: Askari wa wanyama pori afariki

Duh! Labda hata wale askari Bukoba waliokuwa wanachungulia ndege kw mbali kama haiwahusu walikuwa na mawazo kama yako.
 
Wananchi wa Kaliua waliogoma kumuokoa askari wapewe ajira kwa ushujaa.

Kwasabb askari ana mafunzo na ndiye anayepaswa kuokoa wengine wakati wa majanga. Iweje basi ashindwe kujiokoa?
 
Ila mkuu umeandika kwa hisia kali mno!
 
Kwa iyo askari wenzake walisimama wakamwangakia anavyo kimbizana na jangili kwenye maji wakakaa kimya tuu, na majirani nao wametulia tuuu jamaa anahangaika dimbwini kubwia ma maji hadi kaenda kwa mola!!!!
Jangili nae vipi kapotelea majini huko au?
Jangili ni expert.. Anajua kuogelea...

Kuna mtu juzi alikuwa anasema askari wengi hawajui kuogelea hapa Bongo.. tofauti na wenzao wa jirani kama Rwanda.. Ug au Kenya... nikanyamaza.

Ila sijui kama ni kweli.. Tuombe isitokee vita.. Maana ni hatari.. Japo najua JWTZ wapo fine
 
Majaliwa style
 
Kama kuna mashuhuda nitaamini, kama mashuhuda ni askari wenzake basi naamua kuchanganya na zangu...
 
Unaeza kuta jangili alikua tu kaenda zake kukata mkaa familia ipikie chakula wale. Sema ndo hvyo kafanikiwa kuyadiba mpka akachoropoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…