Kaliua: Askari wa wanyama pori afariki

Precision ingne hio
 

Unadhani watu hatufahamu ukatili wa askari wanyamapori kwa wanavijiji masikini?

Mpaka pale mtakapo tatua tatizo la msingi hakuna kitakachobadilika.
 
Hii Nchi ya ajabu sana Askari hajui kuogelea, Jangili anajua kuogelea, sasa tufanye hivi ingetokea Ndege ndogo yenye watu sita ingetumbukia humo Ugala Askari wangemuomba Jangili asaidie kuokoa?πŸ€”
Askari wengi wameenda kwasababu ya ajira tu, ila hawazipendi zile kazi
 
Askari wanyamapori hivi kwani wana roho ngumu hivi? Wanalishwaga nini?
 
Juzi tumeaibika sana pale Bukoba wakati Polisi na JW wamejishika viuno kwa kutojua kuogelea na kuwaachia Wasela wanaojua kuogelea.
 
Juzi tumeaibika sana pale Bukoba wakati Polisi na JW wamejishika viuno kwa kutojua kuogelea na kuwaachia Wasela wanaojua kuogelea.
Jamaa alitaka kufuta aibu nako kazama kabisa mtoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…