Kalynda imefunga ofisi zake hapa nchini, viongozi wake hawajulikani walipo

Ila nadhani hivi vyombo vya habari credible ndio vinaingiza watu mkenge zaidi angali Mr. Kuku na Kalynda wote wanatumia zile channels unazoziamini kukupiga.

Najua wanapata matangazo lakini pia wao wanajukumu la kufanya due diligence. Jamii inaviamini sana.

ITV nao wajitafakari katika hili.
 
Pasipo kujua nao wanaua brand pamoja na credibility yao.
 
La mgambo likilia kuna jambo😂
 
Ni kitu gani au ni kina nani hawa jamaa?

Kila mahali Kalyanda....kalyanda,wamefanya nini?
 
Pasipo kujua nao wanaua brand pamoja na credibility yao.
Kabisa hata kama wanataka biashara wajiridhishe mara mbili mbili. Wanareputation yao katika media industry hapa nchini.

Assume now credible investment platform hawawezi kuwaamini ITV kwa 100% kama njia rasmi ya Promotion. Sababu audience yake ina maumivu tayari ya Kalynda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…