Nizhneserginsky
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 268
- 568
Naona QNET wana-sponsor Hadi kwa man city
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kachanganyikiwa kabisaaa kupigwa kubaya [emoji23][emoji23][emoji23] mchei anakuja anakupa English name unajaaUlishasikia wapi mchina anaitwa Thomas?
Safi wapigwe tu kuna jamaa angu amenisumbua Sana kuniunga mm nilimgomea ila pia Bado tu aliendelea kunisii nikamgomeaa sas acha impate tuSerikali iwajibike. Haiwezekani waruhusiwe kufanya biashara ya pesa bila dhamana.
Wananchi wataelewa serikali ndiyo imewatapeli.
Walisajiriwa brella wakalipa kodi.
Huku mtaani ni vilio tu mpaka huruma.
Nashukuru Mungu sikufanya ujinga huu
Hat hvyo itv leo hawakuweka katk kipindi Chake Cha asbhiHawakushika panga ila unajua kwa nini wanahusika sababu ya reputation yao. Unadhani hili Tangazo lingekua Carrymastory linakua na weight kama ya ITV? Jibu ni hapana. Jamii ina imani kubwa sana na ITV na ndio maana hata habari ITV ina aminika zaidi.
Tuwe watulivu, serikali yetu ni sikivu itatoa tamko juu ya hili..[emoji38][emoji38][emoji38]
Na nchi ina wajinga wengi sanaNarudia tena "Kichwa cha mwendawazimu ndio huwa cha kujifunzia kunyoa"
Kama mtu anaona anaweza tumia fursa ambayo mtaji ni Wajinga,,, acha waliwe tu... na uzuri Wajinga huwa hawaishi...
6. JATUNdio kitu gani hio[emoji1787][emoji1787]
Another DECI
mtapigwa kwa ponzi schemes hadi lini
1. DECI
2. RIFARO
3. FOREVER LIVING
4. QNET
5. KALYNDA
6.....
Nyingine nyingi zitakuja sababu wapumbavu ni wengi sana .
Mungu aamue ugomvi gani? Mungu alikupa akili za kufikiri na mikono ya kufanya kazi. Alituambia kabisa kuwa tutakula kwa jasho. Wewe umetaka ulaini, kula bila jasho unadhani utasaidiwa?Nyie viongozi wa KALYNDA popote mlipo,,
Nawaambieni ,,
MUNGU ATAAMUA UGOMVI
Jasho letu haliwezi kwenda bure.
SERIKALI ipi hiyo unaisemea wakati yenyewe ndio inadhamini hizo mishe?Tuwe watulivu, serikali yetu ni sikivu itatoa tamko juu ya hili..[emoji38][emoji38][emoji38]
mtajijuwa ninyi mnaopenda mambo simpo hapo mjini.Si tuliyoko kijijini hata hatujuwi hayo.Kama heading inavyojieleze Kama unajua uliweka pesa zako Kaylnda sahau na utafute kazi nyingine ya kukuingizia kipato watanzania ni wagumu sana kuelewa sijui kiwakute nini ndio wakubali QNET nao walikuja ivi ivi wakaondoka na kuacha vilio kila kona now Kalynda wameaondoka na kijiji[emoji16][emoji16]
View attachment 2383601
Wao wafanyabiashara kosa Lao kupokea matangazo au?Pasipo kujua nao wanaua brand pamoja na credibility yao.
Kuna mwana alikuwa ananishawishi nijiunge[emoji16][emoji16][emoji16]Kama heading inavyojieleze Kama unajua uliweka pesa zako Kaylnda sahau na utafute kazi nyingine ya kukuingizia kipato watanzania ni wagumu sana kuelewa sijui kiwakute nini ndio wakubali QNET nao walikuja ivi ivi wakaondoka na kuacha vilio kila kona now Kalynda wameaondoka na kijiji[emoji16][emoji16]
View attachment 2383601
Ila inahusika kwenye kugawana huo mpunga kimya kimya kwa kisingizio Cha sheria ya fedha ilhali wakati YANAANZA hayo makampuni intelijensia Yao haiyaoni Ila inawapa usajili na mengine Hadi DSE yanajisajili kuuza hisa na ikifika wakati wa kuwarejeshea wananchi Chao inakuwa utashi wa mwananchi.Serikali haihusiki na common sense za wananchi.
Hamtaki kulipa TOZO wanawakata kiainaTozo nyingine zimekusanywa na serikali kiana....[emoji4][emoji4][emoji4]
Labda Wachina wa Hong Kong waliotawaliwa na UingerezaUlishasikia wapi mchina anaitwa Thomas?
Kadri wasomi wanavyokosa kipato cha uhakika, ndivyo uhalifu uongezeka. Idadi ya watu kubwa, uchumi wa nchi mdogo. Africa kuna shida kubwa sana. Tufanye uzazi wa mpango kama Ulaya.