Kama bado haujafanya maamuzi ya kutulia na mwanaume ulienae/anaekutongoza basi usile hela zake

Umeshapata ajira mkuu.?
 
Kwa utawala huu kichaa wa bibi chaudele bila kutuliza shanga watapigwa sana matukio
 
Mnadhani wanawake hawana akili?

Yani uwapange kadhaa, halafu uwe nao tu kwa "huruma", usigharamie chochote?
 
Mnadhani wanawake hawana akili?

Yani uwapange kadhaa, halafu uwe nao tu kwa "huruma", usigharamie chochote?
NImeweka zingatio hapo chini kama mwanamke anafikiri anatakiwa kunufaika kifedha kila anapofanya sex basi kuanzia mwanzo anapotongozwa aweke wazi ilo sharti ili mkubaliane bei na kila baada ya tendo hakuna kugandana wala kubebeshana gharama za huduma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…