Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Hakuna hayo maandiko umeyatoa kichwani mwakoNaweza kuwa sijapatia ila mwanamke mwenye tamaa kalaaniwa. Dini zote zinasema hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna hayo maandiko umeyatoa kichwani mwakoNaweza kuwa sijapatia ila mwanamke mwenye tamaa kalaaniwa. Dini zote zinasema hivyo.
Jitoe ufahamu! Kwanza dini gani ww?Hakuna hayo maandiko umeyatoa kichwani mwako
nitafutie binti wa kishua.Hakuna hayo maandiko umeyatoa kichwani mwako
😂😂😂 Dini ya Abrahamu, Isaka na YakoboJitoe ufahamu! Kwanza dini gani ww?
Una shingapi? 😂😂😂nitafutie binti wa kishua.
Hiyohiyo ukifuatilia vzr utayapata😂😂😂 Dini ya Abrahamu, Isaka na Yakobo
dolar 500Una shingapi? 😂😂😂
na uhakikishe awe na utu na utulivu.Una shingapi? 😂😂😂
Umeshapata ajira mkuu.?Kuanzia unapotongoza mwanamke anakubebesha gharama zote ambazo alitakiwa kuwajibika mwenyewe au kugharamiwa na baba yake sasa hapa mwanaume akisalitiwa ndio yale yale ya msukuma na penny uko goba
Imefika hatua hauwezi kutofautisha kati mke, mpenzi na kahaba maana along the way wote watataka hela kama nguzo ya hayo mahusiano, hakuna pesa hakuna mapenzi.
Dada angu unataka pesa au matunzo kutoka kwa mwanaume tambua ya kwamba unauza uhuru, uko mbeleni ukichepuka au kutaka muachane iyo lazima italeta shida.
Hakuna mwanaume atataka kukutawala ikiwa hajawahi kuingia gharama ya hata shilingi 1 kwa ajiri yako, kama bado haujafanya maamuzi ya kutulia na mwanaume uliyenae siku zote za maisha yako basi usile hela zake.
NB: Kama unajiuza weka wazi pale pale unapotongozwa mkubaliane bei then baada ya tendo hakuna kugandana wala kubebeshana gharama zozote.
😂😂😂 Si wa kishua, anakosaje sasa utulivu??na uhakikishe awe na utu na utulivu.
Unataka kusemajeUmeshapata ajira mkuu.?
NImeweka zingatio hapo chini kama mwanamke anafikiri anatakiwa kunufaika kifedha kila anapofanya sex basi kuanzia mwanzo anapotongozwa aweke wazi ilo sharti ili mkubaliane bei na kila baada ya tendo hakuna kugandana wala kubebeshana gharama za hudumaMnadhani wanawake hawana akili?
Yani uwapange kadhaa, halafu uwe nao tu kwa "huruma", usigharamie chochote?