Tanziania ni mojawapo ya nchi zenye ratio mbovu ya daktari kwa wagonjwa, wastani wa Daktari 1 kwa wagonjwa 20,000 badala ya Daktari 1 kwa wagonjwa 10,000 kama inavyopendekezwa na WHO kwa nchi zinazoendelea.hapana mkuu huduma zipo ila magonjwa hayatibiki, usichukulie poa
Niko normal mkuu, sijawai nenepa kabsa, kwahyo habari za mafuta sizanihakuna mbadala wa mazoezi piga zoezi jasho litoke la sivo mafuta yote yatagandia ndan
Mimi na nyanyua vyuma , push up squats , anaruka kamba nakimbia na pia jioni nacheza mpira hata kwa wiki mara moja nikipata mda naogelea kidogo.unaweza nunua mashine za kukimbia ukaweka home japo kukimbia nje nzuri zaidi unarefresh na ubongo kidogo na kukutana nawatu pia
Hakikisha ni 7km,halafu punguza msosi, sukari achana nazo kabisa,yaani soda,energy, juisiMara nyingi jioni nafataga mahindi ya kuchoma mbali kidogo na ninapo ishi, nahisi itanisaidia
Ntatafuta pisi ili ntoane nayo jasho alafu nitubuitasaidia ila pia hakikisha unafanya kitu cha kutoa jasho
lakini kama utafanya mazoezi daktari utakua unamskia tu kwa wengine, nchi za mbele kule wana urafiki mzuri na daktari kwa sababu wanakula ovyo, sisi hatujafika ukuTanziania ni mojawapo ya nchi zenye ratio mbovu ya daktari kwa wagonjwa, wastani wa Daktari 1 kwa wagonjwa 20,000 badala ya Daktari 1 kwa wagonjwa 10,000 kama inavyopendekezwa na WHO kwa nchi zinazoendelea.
ChoiceVariable
We kweli pang'ang'a...yaani ulale bila net kisa utakufa tu!!..usichanje polio kisa utakufa tu hata ufanye nini!?..matacoe yakoHata ukifanya mazoezi kiasi gani utakufa tu. Wachezaji wanafanya mazoezi kila siku ila still wanafia uwanjani
Sio kila pombe inafaa kwa wapenda mazoezi, ukinywa pombe ni pombe tu zinakata pumzi wakati wa zoezi na nyingine zinasababisha majeraha ya misuli na viungo hivyo ni kuwa makiniutaacha kwa fimbo sasa 🤣
Hospitali za bongo hata za private nyingi huduma bado changamoto kubwa sana. Hospitali unaweza fika unaweza kupoteza hata lisaa kumuona Daktari tu, hapo bado huduma nyingine.Facilities ni chache. Hata huko wanaporundikana wanaishia kuliwa hela zao tu wala hawapati tiba
Comment #2. Uzi ulipaswa kuishia hapa. Nimeshangaa watu wamekuja na kuendelea kukomenti. Hata sijui wanakomenti nini. Hovyo kabisa!Mazoezi ni kwa kila rika na kwa wakati wote wa maisha
7km zinafika, msosi silagi sana, soda ni ngumu kuacha mkuu...Hakikisha ni 7km,halafu punguza msosi, sukari achana nazo kabisa,yaani soda,energy, juisi
bila kusahau pressure, kwa pressure hali ni tete zaidi,pia issue ya kisukari
Siyo privateHospitali za bongo hata za private nyingi huduma bado changamoto kubwa sana. Hospitali unaweza fika unaweza kupoteza hata lisaa kumuona Daktari tu, hapo bado huduma nyingine.