Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Dah! We jamaa hamna kitu kabisa, hiyo amri ya tatu haihusiani na nilichouliza usihusishe visivyohusiana. Mimi sijazungumzia kutaja taja tu jina la Mungu au kutumia vibaya jina la Mungu bali nimeuliza kwanini hilo jina halisi la Mungu halitumiki hatulioni kwenye maandiko badala yake tunaona neno "Bwana"? Wewe unakuja kusema jina la Mungu halitajwi tajwi wakati huo bado umeshindwa kuthibitisha kuwa hilo Yehova ndio personal name ya Mungu.

Jibu maswali yangu acha ujanja ujanja.
 

Nimekuambia nipe andiko lolote unalolijua linalosema Mungu yupo katika Nafsi tatu.
Upo mahakamani, usilete maneno ya vijiweni hapa.
Huu mjadala wanafuatilia maelfu ya watu.

Unaijua Torati vizuri?
Kama ungeijua Torati usingeona ajabu mtu kuomba Kwa jina la Yesu, kumbuka jina la mungu ni takatifu, na Kwa mujibu wa sheria ni kosa kulitajataja bure,
Rejea; Aya hii:
Kutoka 20:7
Usilitaje bure jina la BWANA, Mungu wako, maana BWANA hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.

Kristo ni Kuhani,
Bila Shaka Quran ilikuwa umuhimu wa Mhusika Haruni ndio maana ikamuiba na kumuingiza kwenye maandiko yake.

Unajua KAZI ya Makuhani? Kwa mujibu wa Quran au hata Biblia?

Kumfuata Kuhani au kutumia jina la Kuhani kumuomba Mungu sio Shirki Kwa mujibu wa Mungu Yehova.

Ndio maana nikasema wewe uliacha Ukristo ukiwa hauujui vizuri.
Hujui Protocol za kiroho. Hujui mipaka ya kiroho.

Na huenda Quran Kwa vile Allah hajui mifumo ya utawala ilivyo sio ajabu akasahau ishu za protocol katika mambo ya Kiroho.

Haya nikiwa najua tumetoka kwenye Hoja za msingi,
Unajua maana ya Kuhani?
Au unajua Haruni Role yake ilikuwa nini kwenye Torati?
Ukishajibu hapo tutarudi Kwa habari za Huyo Yesu
 

Uongo huu hapa


Half of New Testament forged, Bible scholar says



By John Blake, CNN


(CNN) - A frail man sits in chains inside a dank, cold prison cell. He has escaped death before but now realizes that his execution is drawing near.

“I am already being poured out like a drink offering, and the time of my departure has come,” the man –the Apostle Paul - says in the Bible's 2 Timothy. “I have fought the good fight. I have finished the race. I have kept the faith.”

The passage is one of the most dramatic scenes in the New Testament. Paul, the most prolific New Testament author, is saying goodbye from a Roman prison cell before being beheaded. His goodbye veers from loneliness to defiance and, finally, to joy.

There’s one just one problem - Paul didn’t write those words. In fact, virtually half the New Testament was written by impostors taking on the names of apostles like Paul. At least according to Bart D. Ehrman, a renowned biblical scholar, who makes the charges in his new book “Forged.

“There were a lot of people in the ancient world who thought that lying could serve a greater good,” says Ehrman, an expert on ancient biblical manuscripts.In “Forged,” Ehrman claims that:

* At least 11 of the 27 New Testament books are forgeries.

* The New Testament books attributed to Jesus’ disciples could not have been written by them because they were illiterate.

* Many of the New Testament’s forgeries were manufactured by early Christian leaders trying to settle theological feuds.

Were Jesus’ disciples ‘illiterate peasants?'

Ehrman’s book, like many of his previous ones, is already generating backlash. Ben Witherington, a New Testament scholar, has written a lengthy online critique of “Forged.”

Witherington calls Ehrman’s book “Gullible Travels, for it reveals over and over again the willingness of people to believe even outrageous things.”

All of the New Testament books, with the exception of 2 Peter, can be traced back to a very small group of literate Christians, some of whom were eyewitnesses to the lives of Jesus and Paul, Witherington says.

“Forged” also underestimates the considerable role scribes played in transcribing documents during the earliest days of Christianity, Witherington says.

Even if Paul didn’t write the second book of Timothy, he would have dictated it to a scribe for posterity, he says.

“When you have a trusted colleague or co-worker who knows the mind of Paul, there was no problem in antiquity with that trusted co-worker hearing Paul’s last testimony in prison,” he says. “This is not forgery. This is the last will and testament of someone who is dying.”

Ehrman doesn’t confine his critique to Paul’s letters. He challenges the authenticity of the Gospels of Matthew, Mark and John. He says that none were written by Jesus' disciplies, citing two reasons.

He says none of the earliest gospels revealed the names of its authors, and that their current names were later added by scribes.

Ehrman also says that two of Jesus’ original disciples, John and Peter, could not have written the books attributed to them in the New Testament because they were illiterate.

“According to Acts 4:13, both Peter and his companion John, also a fisherman, were agrammatoi, a Greek word that literally means ‘unlettered,’ that is, ‘illiterate,’ ’’ he writes.
 

Nimekuambia nipe andiko lolote unalolijua linalosema Mungu yupo katika Nafsi tatu.
Upo mahakamani, usilete maneno ya vijiweni hapa.
Huu mjadala wanafuatilia maelfu ya watu.

Unaijua Torati vizuri?
Kama ungeijua Torati usingeona ajabu mtu kuomba Kwa jina la Yesu, kumbuka jina la mungu ni takatifu, na Kwa mujibu wa sheria ni kosa kulitajataja bure,
Rejea; Aya hii:
Kutoka 20:7
Usilitaje bure jina la BWANA, Mungu wako, maana BWANA hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.

Kristo ni Kuhani,
Bila Shaka Quran ilikuwa umuhimu wa Mhusika Haruni ndio maana ikamuiba na kumuingiza kwenye maandiko yake.

Unajua KAZI ya Makuhani? Kwa mujibu wa Quran au hata Biblia?

Kumfuata Kuhani au kutumia jina la Kuhani kumuomba Mungu sio Shirki Kwa mujibu wa Mungu Yehova.

Ndio maana nikasema wewe uliacha Ukristo ukiwa hauujui vizuri.
Hujui Protocol za kiroho. Hujui mipaka ya kiroho.

Na huenda Quran Kwa vile Allah hajui mifumo ya utawala ilivyo sio ajabu akasahau ishu za protocol katika mambo ya Kiroho.

Haya nikiwa najua tumetoka kwenye Hoja za msingi,
Unajua maana ya Kuhani?
Au unajua Haruni Role yake ilikuwa nini kwenye Torati?
Ukishajibu hapo tutarudi Kwa habari za Huyo Yeus

Akili za Ki-allah ndio maana huwezi elewa nilichoeleza hapo juu.

Nimekujibu kuwa Hilo jina halitajwi tajwi Kwa sababu ni takatifu.
Na sheria ya Yehova mwenyewe anakuambia usitake jina lake(personal name) Bure.

Wapi hauelewi.

Ndio maana Musa alimuuliza Mungu jina lake.
Akamuambia anajua yey ni mungu aliyewatokea Baba zake hapo kale kina Ibrahim, Isaka na Yakobo, lakini akamuuliza jina lake ni Nani(personal name yake) ndio mungu anamuambia jina lake ni Yehova.

Kisha kwenye amri kuu akaweka amri kuwa jina lake(personal name) lisitajwe hovyohovyo/burebure.
Wapi hauelewi Mzee.

Ni Sawa Yesu alivyosema mkiomba Jambo lolote ombeni Kwa jina lake(yaani personal name yake) ambalo ni Yesu.

Na sio zile Nickname zake kama Simba wa yuda, au jiwe kuu la pembeni.

Ila asikulaumu Kwa maana Huna Taaluma ya lugha hasa kipengele cha Semantiki.
Ungekuwa umesoma Taaluma ya lugha au sheria ungeelewa nini kinasemwa hapa
 

Matthew 28:19​

Go therefore and make disciples of all nations, baptizing them in the name of the Father and of the Son and of the Holy Spirit.
 


Is Jehovah God?


The Hebrew Bible does not contain the word "Jehovah" in it at all.


The word that is used is a tetragramatton using, 'Y' 'H' 'W' 'H'.

How can one pronounce YHWH as Jehovah? There is no possible way. Just like Arabic, Hebrew doesn't have vowels. Adding vowels can make the word into "YEHOWA" but what does that mean?


This word is neither a Hebrew word, nor does it make any sense in Arabic (the sister language of Hebrew). The proper way of pronouncing it is "YAHUAH" which is also present in Arabic and read as "YA HUWA" meaning "O! HE" or "O! HE is" and can also be taken into a future tense.


Catholic Encyclopedia gives the meaning of Yahweh as "He Who is" and also goes on to give it's own incorrect interpretation that it is the name of God.



The argument may sound deceiving but if read with context and from the Bible, it sounds very logical and accurate. In the Bible, whenever the words Ya Huwa are used, there is a follow up word which means God.



For example:



JEHOVAH SHAMMAH

Ezekiel 48:35

JEHOVAH RAPHA

Exodus 15

JEHOVAH-TSIDKENU

Jeremiah 23:6


JEHOVAH-JIREH

Gen. 22:14


JEHOVAH-MELEK

Isaiah 33:22





JEHOVAH-NISSI

Exodus 17:8-16





JEHOVAH-SHALOM

Judges 6:24





JEHOVAH-SABBAOTH

1 Samuel 1:3


JEHOVAH-MEKADESH

Leviticus 21:8


These are just the few places where these names have been mentioned. They have been mentioned many times. Even if we take the word Jehovah to not mean "O! He is", still it does not make sense what the Bible says. This way, Jehovah Elohim would mean "God God". Jehovah definitely does not mean God. Most Bibles translate it as Lord which makes more sense, "Lord God".


The dictionary defines Lord as:


1. a person who has authority, control, or power over others; a master, chief, or ruler.


2. a person who exercises authority from property rights; an owner of land, houses, etc.


3. a person who is a leader or has great influence in a chosen profession: the great lords of banking.


4. a feudal superior; the proprietor of a manor.


5. a titled nobleman or peer; a person whose ordinary appellation contains by courtesy the title Lord or some higher title.


6. Lords, the Lords Spiritual and Lords Temporal comprising the House of Lords.


7. (initial capital letter) (in Britain) a. the title of certain high officials (used with some other title, name, or the like): Lord Mayor of London.

b. the formally polite title of a bishop: Lord Bishop of Durham.

c. the title informally substituted for marquis, earl, viscount, etc., as in the use of Lord Kitchener for Earl Kitchener.


8. (initial capital letter) the Supreme Being; God; Jehovah.


9. (initial capital letter) the Savior, Jesus Christ.


10. Astrology. a planet having dominating influence.



Lord does not mean God.



In Arabic YaHuwa means "O! HE is" and in Hebrew it means "He who is". These two meanings sound very similar. It has been incorrectly used as the name of God. Let me give an explanation from my language, Urdu. In Urdu, we refer to Prophet Muhammad (s) as AAP which means YOU. We do not usually name him for respect. AAP is not the name of the Prophet but the Prophet is referred to with this word.


Similarly, in Hebrew Ya Huwa (Jehovah/Yahweh) is not the name of God but is referred to as such due to respect.
 

Mimi sizungumzii kutajwa hilo jina hovyo ndio maana nikasema unahusisha visivyo husiana.

Mimi nimekwambia Yehova maana yake ni "Bwana" ila wewe unapinga na kusema maana ya Yehova ni "Niko ambaye Niko" nikakuuliza we umepata wapi tafsiri hiyo? Haujajibu hilo swali.
Matokeo yake unakuja na madai ya kwamba et Mungu kakataza kutaja hilo jina Yehova ili ukwepe kujibu kwanini hilo jina halitajwi kwenye biblia kama ndio kweli ni jina halisi la Mungu.
 

Naona najadiliana na mtu ambaye huenda Hana Uelewa na mambo ya lugha pamoja na mambo ya maandiko.

Nimekupa jina halisi la Mungu WA Wayahudi anaitwa Yehova, nikakupa Aya kutoka kwenye Biblia. Sasa unasema tena Hilo jina halitajwi.

Mkuu unaubongo kweli?
Tafsiri ya ya "Niko ambaye Niko" ambayo ndio Yehova, ipo katika maandiko, soma Aya hizi;

Kutoka 3:13
Musa akamwambia Mungu, Tazama, nitakapofika kwa wana wa Israeli, na kuwaambia, Mungu wa baba zenu amenituma kwenu; nao wakaniuliza, Jina lake n’nani? Niwaambie nini?

Kutoka 3:14
Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO;akasema, Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli; MIMI NIKO amenituma kwenu.

Kutoka 6:2
Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA;

Kutoka 6:3
nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.

Wapi unakwama?
 
Wewe ni mjinga.
Mungu kwa kiarabu ni illah.

La illah = hakuna Mungu.
Ilaa Allah = isipokuwa Allah
Muhamadi Rasuli-illah=Muhamadi ni mtume wa mungu.
Shahada yenu hiyo.

Wewe ni mjinga na mpotofu.
Umekremishwa kiarabu bila kujua maana yake.
JINGA LA WAJINGA![emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua maana ya personal name?.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JINGA LA WAJINGA.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Uwongo wenu mkaufundishe huko Madrasa.
Pimbi mkubwa wewe. KING KIGODA,
Ni wakala wa Majini kama Muhammadi.
JINGA LA WAJINGA!Hapo Mungu wako anamtuma shetan (Jini mkuu)Kwenda kwa nabii wa Allah kumtesa.[emoji23][emoji23][emoji23]
AYUBU 2

1Tena ilitukia siku moja hao wana wa Mungu walipokwenda kujiweka mbele za BWANA, Shetani naye akaenda kati yao, ili kujiweka mbele za BWANA.2BWANA akamwuliza Shetani, Umetoka wapi? Shetani akamjibu BWANA, na kusema, Natoka katika kuzungukazunguka duniani, na katika kutembea huku na huku humo. 3 BWANA akamwuliza Shetani, Je! Umemwangalia huyo mtumishi wangu Ayubu? Kwa kuwa hakuna hata mmoja aliye kama yeye duniani, mtu mkamilifu na mwelekevu, mwenye kumcha Mungu na kuepukana na uovu; naye hata sasa anashikamana na utimilifu wake, ijapokuwa ulinichochea juu yake, ili nimwangamize pasipokuwa na sababu.4Shetani akamjibu BWANA, na kusema, Ngozi kwa ngozi, naam, yote aliyo nayo mtu atayatoa kwa ajili ya uhai wake. 5 Lakini sasa nyosha mkono wako, uuguse mfupa wake na nyama yake, naye atakukufuru mbele za uso wako. 6BWANA akamwambia Shetani, Tazama, yeye yumo mkononi mwako; lakini tunza tu uhai wake. 7Basi Shetani akatoka mbele za uso wa BWANA, akampiga Ayubu na majipu mabaya tangu wayo wa mguu hadi utosi wa kichwa.



Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
JINGA LA WAJINGA!Shetan ndiye mtumishi wa Mungu wenu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

AYUBU

1Tena ilitukia siku moja hao wana wa Mungu walipokwenda kujiweka mbele za BWANA, Shetani naye akaenda kati yao, ili kujiweka mbele za BWANA.2BWANA akamwuliza Shetani, Umetoka wapi? Shetani akamjibu BWANA, na kusema, Natoka katika kuzungukazunguka duniani, na katika kutembea huku na huku humo. 3 BWANA akamwuliza Shetani, Je! Umemwangalia huyo mtumishi wangu Ayubu? Kwa kuwa hakuna hata mmoja aliye kama yeye duniani, mtu mkamilifu na mwelekevu, mwenye kumcha Mungu na kuepukana na uovu; naye hata sasa anashikamana na utimilifu wake, ijapokuwa ulinichochea juu yake, ili nimwangamize pasipokuwa na sababu.4Shetani akamjibu BWANA, na kusema, Ngozi kwa ngozi, naam, yote aliyo nayo mtu atayatoa kwa ajili ya uhai wake. 5 Lakini sasa nyosha mkono wako, uuguse mfupa wake na nyama yake, naye atakukufuru mbele za uso wako. 6BWANA akamwambia Shetani, Tazama, yeye yumo mkononi mwako; lakini tunza tu uhai wake. 7Basi Shetani akatoka mbele za uso wa BWANA, akampiga Ayubu na majipu mabaya tangu wayo wa mguu hadi utosi wa kichwa.

Kumbe mateso tunayopitia hapa Duniani ni kazi ya Mungu wenu na Shetani!Aisee.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Unatuongepea humu na unajidai wewe ni mwislamu.

Jibu sasa
Allah maana yake ni mungu au ni jina la mungu wa waislamu.

Nipo nakusubiri
 
Tutaelewana tu.

Hoja yangu ni kwamba Yahweh ni title tu yenye maana ya "Bwana" The Lord, na ndio maana utaona Kutoka 3:15 inajieleza vizuri tu:

"Tena Mungu akamwambia Musa, Waambie wana wa Israeli maneno haya, BWANA, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, amenituma kwenu; hili ndilo jina langu hata milele, nalo ni kumbukumbu langu hata vizazi vyote."

Sasa wewe unakuja kusema hiyo expression ya "I am who I am" ni tafsiri ya neno Yahweh, hapo ndio nikakwambia umepata wapi hiyo tafsiri?
 
Code:
Unaumwa wewe!
Ndio maana Quran imewapotosha parefu,
Ili mungu awe mmoja ni vitu gani vinatakiwa kuthibitisha Jambo hilo?
NI DUNIA KUWA MOJA.

Code:
Allah ni mungu wa waarabu anasheria zake, 
Na Yehova ni mungu wa Wayahudi anasheria zake,
Hao ni miungu wawili tofauti,
Ziweke hapa hizo sheria tuone kama ni tofauti.
Code:
Allah anasema watu waabudu siku ya ijumaa 
Wakati Yehova Mungu WA Wayahudi anasema watu waabudu siku ya SABATO/jumamosi.

Achana na Saboto,Mungu aliweka siku nyingine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waebrania 4,
2. Maana Habari Njema imehubiriwa kwetu kama vile ilivyohubiriwa kwa hao watu wa kale. Lakini ujumbe huo haukuwafaa chochote, maana waliusikia lakini hawakuupokea kwa imani.

3. Basi, sisi tunaoamini tunapata pumziko hilo aliloahidi Mungu. Kama alivyosema:“Nilikasirika, nikaapa:‘Hawataingia mahali pangu pa pumziko.’”Mungu alisema hayo ingawa kazi yake ilikuwa imekwisha malizika tangu alipoumba ulimwengu.

4. Maana Maandiko yasema mahali fulani kuhusu siku ya saba: “Mungu alipumzika siku ya saba, akaacha kazi zake zote.”

5. Tena jambo hili lasemwa pia: “Hawataingia mahali pangu pa pumziko.”

6. Basi, hiyo ahadi ya kuingia bado ipo, maana wale waliohubiriwa Habari Njema pale awali walishindwa kuingia humo kwa sababu walikosa kutii.

7. Mungu aliweka siku nyingine ambayo inaitwa “Leo,” akasema baadaye kwa njia ya Daudi maneno yaliyokwisha tajwa:“Kama mkisikia sauti ya Mungu leo,msiwe wakaidi.”

8. Kama Yoshua angekuwa amewapa watu hao hilo pumziko, Mungu hangalisema baadaye juu ya siku nyingine.



Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Unatuongepea humu na unajidai wewe ni mwislamu.

Jibu sasa
Allah maana yake ni mungu au ni jina la mungu wa waislamu.

Nipo nakusubiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni jina la Mwenyezi Mungu kwa watu wote lilo katika lugha ya Kiarabu.
 
Alafu wewe,uwe unatumia japo akili kidogo ulizobaki nazo kichwa.

Jina Yehova ni jina alilojitambulisha Mungu Mwenyezi kwa wana wa Israel tu.Na hapa ujue wana wa Israel ni uzao wa Yakobo tu.
Ndiyo maana unaona hapo Mungu Mwenyezi anasema ku huko mwanzo yeye hakujitambulisha kwa jina hilo.
Japo kuwa yeye ndeye Mwenyezi Mungu wa babu na baba zao.

Kutoka 6:3
nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.

Na ikasisitizwa kuwa jina hilo litabaki hivyo kwa vizazi vya wana wa Israel siku zote.
Sasa wewe kulazimisha kutumia jina Yehova,ni kujichetua tu.
Vinginevyo uweke ushahidi hapa kuwa wewe pia ni katika vizazi vya wana wa Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…