Ngoja nikae kimya, maana kuendelea kujibizana kitoto hivi naunguza ATP zangu for nothing....Umeshinda mkuuQur an ni zama izi sasa hyo bible hata mussa haijui😂😂😂je Adam anaijua? Tutumie tu akili !!
Niambie kama unavyojua bible inamakoaa daily kule Italy wanamjadili jinsi ya kuibadilsha maana haiendani ..kwa hizi ngezi kwamba mapadre wasioe kweli?
Biblia ipi unaizungumzia? Kuna ya wakatoliki, waorthodox, waprotestant n.k.
Humo pia kuna matoleo tofauti kuna King James Version, New King James Version, New International Version.
Kila siku wanafanya 'updated'. Pia kuna New Revised Standard Version cha 2021.
Kwa mtu mwenye akili ndogo atasema zipo sawa, ila kuna baadhi aya zimefutwa na nyingine zimebadilishwa kabisa.
😂😂😂😂😂😂Kijana lala ...we ni mlevi angalia ukiandika hakuna watu wenye akili ndogo wenzio wakongwe wanaogopa hizi mada we kajamba nane ndo umetumwa.mungu hawezi kuw mmoja. Angekuwa mmoja pasingekuwa hivi.
Ndio maana kuna Allah na Yahwe huko Mashariki ya Kati
Bado huko China, India, n.k
Ndio waarabu ni advanced na ni binadamu bora kuliko viumbe wote..umeshindaWaarabu na wabongo wacha ujinga ...waarabu ni advanced hizo ni tabia za kiafrica milele tu ....sehemu watu wanalewa sana ni pa ovyo kuliko sehemu zote sehemu zenye mitaa ya ovyo patakuwa lazima na biashara za ngono ,pombe za kienyeji..je kati ya ivyo vitu Kuna dini ina ruhus ?
😂😂😂Lala dogo mi sio size yako Kuna pambana kuchomoa sup .kwanza vyuo vishafunguliwa .Ngoja nikae kimya, maana kuendelea kujibizana kitoto hivi naunguza ATP zangu for nothing....Umeshinda mkuu
Kweli, wewe sio size yangu😂😂😂Lala dogo mi sio size yako Kuna pambana kuchomoa sup .kwanza vyuo vishafunguliwa .
Sio nimeshinda sisi wabongo ovyo na waafrica kwa ujumla ..Ndio waarabu ni advanced na ni binadamu bora kuliko viumbe wote..umeshinda
Nilitegemea utaniambia nilikua naenda hospital/ofisi/bank kuomba mkopo ila lilivyoonekana jina langu la kikristo nikakosa huduma.Sio wanadamu ni waislam ndio wengi wanatabia hizo asilimia 95%so elewa hivyoo .
Na kwanini mnachuki sana nawanadamu??
QURAN 10: 37-44
37. "Na haiwezekani Qur'ani hii kuwa imetungwa na haitoki kwa Mwenyezi Mungu. Lakini hii inathibitisha (vitabu) vilivyotangulia; na ni mfafanuo wa Kitabu kisicho na shaka ndani yake, kutoka kwa Mola Mlezi wa viumbe vyote.
38. Je! Ndiyo wanasema ameizua? Sema: Hebu leteni na nyie japo sura moja mfano wake na muwaite (kukusaidieni) muwawezao, asiye kuwa Mwenyezi Mungu, ikiwa nyinyi mnasema kweli(kwamba Muhammad kaizua hii Quran).
39. Bali wameyakanusha wasio yaelewa elimu yake kabla hayajawajia maelezo yake. Kadhalika walio kabla yao walikanusha vile vile. Basi angalia jinsi ulivyo kuwa mwisho wa madhaalimu hao.
40. Na miongoni mwao wapo wanao iamini, na miongoni mwao wapo wasio iamini. Na Mola wako Mlezi anawajua vyema mafisadi.
41. Na wakikukanusha wewe, sema: Mimi nina matendo yangu, na nyinyi mna matendo yenu. Nyinyi hamna jukumu kwa niyatendayo, wala mimi sina jukumu kwa myatendayo.
42. Na wapo miongoni mwao wanao kusikiliza. Je, wewe unaweza kuwafanya viziwi wasikie ijapo kuwa hawafahamu?
43. Na wapo miongoni mwao wanao kutazama. Je, wewe utawaongoa vipofu ingawa hawaoni?
44. Hakika Mwenyezi Mungu hawadhulumu watu kitu chochote; lakini watu wenyewe wanajidhulumu nafsi zao."
Kweli, na waarabu ni bora kuliko sisi...Waarabu ni watu wema na wenye akili kuliko binadamu wote duniani.Sio nimeshinda sisi wabongo ovyo na waafrica kwa ujumla ..
Umeshapata muislam aliyeelewa hoja na kujibu kwa hoja?unaelewa hoja zilizotolewa Mkuu?
Maana haho ni maandiko tuu ambayo hayathibitishi chochote
Mhhh
Ila kama ungefahamu kuwa Quran haikuja kuipinga torati wala Injili ila kuzikamilisha nadhani 98% ya andiko hili lisingekuwepo yangebaki maneno
“ Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam”
Acha uongo, Wapi Biblia inasema Hayo ?Galileo alipelekwa mahakamani na akahukumiwa kunyongwa sababu ya kubishana na biblia kuhusu dunia kuwa duara
Umeshapata muislam aliyeelewa hoja na kujibu kwa hoja?
Acha uongo, Wapi Biblia inasema Hayo ?
Galileo alibishana na Roman Catholic /upapa ,Sio Biblia
Na waliouwawa kwa kubishana na Roman Catholic wanakadiriwa kufikia millions 100
Neno kukariri hujui maana yeke ndiyo maana kila mnuka mavi anaanzisha kanisa la kwake mnaogoma kakariri siyo, anavyoisoma bibilia gwajima tofauti na lusekelo Gwajima bibilia yake ina sehemu inamuelekeza neno la kufua watu waliokufa, Lusekelo bibilia yake ina neno la kuwezesha watu kununua gari/magari, alafu marehemu Moses kulola, kitabu chake kinaeno la kuwaondolea watu ulemavu.Hawa ndugu zetu wanakalia kukaririshwa kikasuku nao wanajiendea tuu.
Badala wajadili hoja naona wanapiga kelele na kutukana.
Yeah, huwa ni ngumu sana.Basi.
Naona hawaelewi Uzi unataka nini!
Badala wajibu hoja za kwenye Uzi wao wanahangaika kuitetea Quran mara kupinga Biblia.
Sijui Kama ingekuwa ni kesi ingekuwaje
Alibisha na Roman Catholic kuhusu niniAcha uongo, Wapi Biblia inasema Hayo ?
Galileo alibishana na Roman Catholic /upapa ,Sio Biblia
Na waliouwawa kwa kubishana na Roman Catholic wanakadiriwa kufikia millions 100
Anazingua mnoo,anajifanya mjuaji kuliko wote hapa Jf. Ila kwa hiki alicho andika amevuka mipaka,ninashangaa Moderator wanamuangalia tu.