Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Qur an ni zama izi sasa hyo bible hata mussa haijui😂😂😂je Adam anaijua? Tutumie tu akili !!

Niambie kama unavyojua bible inamakoaa daily kule Italy wanamjadili jinsi ya kuibadilsha maana haiendani ..kwa hizi ngezi kwamba mapadre wasioe kweli?
Ngoja nikae kimya, maana kuendelea kujibizana kitoto hivi naunguza ATP zangu for nothing....Umeshinda mkuu
 
Biblia ipi unaizungumzia? Kuna ya wakatoliki, waorthodox, waprotestant n.k.
Humo pia kuna matoleo tofauti kuna King James Version, New King James Version, New International Version.
Kila siku wanafanya 'updated'. Pia kuna New Revised Standard Version cha 2021.
Kwa mtu mwenye akili ndogo atasema zipo sawa, ila kuna baadhi aya zimefutwa na nyingine zimebadilishwa kabisa.

Biblia yoyote Kati ya hizo.
Yoyote unayotumia tunaweza kujadiliana hapa.
 
mungu hawezi kuw mmoja. Angekuwa mmoja pasingekuwa hivi.
Ndio maana kuna Allah na Yahwe huko Mashariki ya Kati
Bado huko China, India, n.k
😂😂😂😂😂😂Kijana lala ...we ni mlevi angalia ukiandika hakuna watu wenye akili ndogo wenzio wakongwe wanaogopa hizi mada we kajamba nane ndo umetumwa.
 
Waarabu na wabongo wacha ujinga ...waarabu ni advanced hizo ni tabia za kiafrica milele tu ....sehemu watu wanalewa sana ni pa ovyo kuliko sehemu zote sehemu zenye mitaa ya ovyo patakuwa lazima na biashara za ngono ,pombe za kienyeji..je kati ya ivyo vitu Kuna dini ina ruhus ?
Ndio waarabu ni advanced na ni binadamu bora kuliko viumbe wote..umeshinda
 
Ngoja nikae kimya, maana kuendelea kujibizana kitoto hivi naunguza ATP zangu for nothing....Umeshinda mkuu
😂😂😂Lala dogo mi sio size yako Kuna pambana kuchomoa sup .kwanza vyuo vishafunguliwa .
 
Sio wanadamu ni waislam ndio wengi wanatabia hizo asilimia 95%so elewa hivyoo .
Na kwanini mnachuki sana nawanadamu??
Nilitegemea utaniambia nilikua naenda hospital/ofisi/bank kuomba mkopo ila lilivyoonekana jina langu la kikristo nikakosa huduma.

Au uniambie siku moja tulikua tulikua tumekaa kikundi mimi peke yangu ambae sio muislamu nikazuiliwa kupata access na kitu fulani sababu ya dini yangu.

But ulivyoongea zote ni tabia za binadamu sio exclusively to Muslims. Zinatokea kanisani/msikitini huko watu wanasengenyana, wanachukuliana wake, wanaiba, wanauana, wanakununia pasi na sababu.
 
QURAN 10: 37-44

37. "Na haiwezekani Qur'ani hii kuwa imetungwa na haitoki kwa Mwenyezi Mungu. Lakini hii inathibitisha (vitabu) vilivyotangulia; na ni mfafanuo wa Kitabu kisicho na shaka ndani yake, kutoka kwa Mola Mlezi wa viumbe vyote.

38. Je! Ndiyo wanasema ameizua? Sema: Hebu leteni na nyie japo sura moja mfano wake na muwaite (kukusaidieni) muwawezao, asiye kuwa Mwenyezi Mungu, ikiwa nyinyi mnasema kweli(kwamba Muhammad kaizua hii Quran).

39. Bali wameyakanusha wasio yaelewa elimu yake kabla hayajawajia maelezo yake. Kadhalika walio kabla yao walikanusha vile vile. Basi angalia jinsi ulivyo kuwa mwisho wa madhaalimu hao.

40. Na miongoni mwao wapo wanao iamini, na miongoni mwao wapo wasio iamini. Na Mola wako Mlezi anawajua vyema mafisadi.

41. Na wakikukanusha wewe, sema: Mimi nina matendo yangu, na nyinyi mna matendo yenu. Nyinyi hamna jukumu kwa niyatendayo, wala mimi sina jukumu kwa myatendayo.

42. Na wapo miongoni mwao wanao kusikiliza. Je, wewe unaweza kuwafanya viziwi wasikie ijapo kuwa hawafahamu?

43. Na wapo miongoni mwao wanao kutazama. Je, wewe utawaongoa vipofu ingawa hawaoni?
44. Hakika Mwenyezi Mungu hawadhulumu watu kitu chochote; lakini watu wenyewe wanajidhulumu nafsi zao."

unaelewa hoja zilizotolewa Mkuu?
Maana haho ni maandiko tuu ambayo hayathibitishi chochote
 
Umeshapata muislam aliyeelewa hoja na kujibu kwa hoja?

Basi.
Naona hawaelewi Uzi unataka nini!
Badala wajibu hoja za kwenye Uzi wao wanahangaika kuitetea Quran mara kupinga Biblia.
Sijui Kama ingekuwa ni kesi ingekuwaje
 
Acha uongo, Wapi Biblia inasema Hayo ?

Galileo alibishana na Roman Catholic /upapa ,Sio Biblia


Na waliouwawa kwa kubishana na Roman Catholic wanakadiriwa kufikia millions 100

Na hapo ndipo watu huchanganya Mapokeo ya madhehebu na Biblia na kudhani Biblia ndio inasema hivyo.

Kwa mtu anayesikia Biblia vizuri anaweza kuelewa vizuri Dunia na kumuelewa Mungu
 
Hawa ndugu zetu wanakalia kukaririshwa kikasuku nao wanajiendea tuu.
Badala wajadili hoja naona wanapiga kelele na kutukana.
Neno kukariri hujui maana yeke ndiyo maana kila mnuka mavi anaanzisha kanisa la kwake mnaogoma kakariri siyo, anavyoisoma bibilia gwajima tofauti na lusekelo Gwajima bibilia yake ina sehemu inamuelekeza neno la kufua watu waliokufa, Lusekelo bibilia yake ina neno la kuwezesha watu kununua gari/magari, alafu marehemu Moses kulola, kitabu chake kinaeno la kuwaondolea watu ulemavu.

Kuna huyu wa Tanganyika pakers, yeye bibilia yake ina neno kutengeneza mafuta yanayotibu kila shida, na ili yafanye kazi lazima uyalipie.

Yaani anachofanya huyu yule hawezi, ***** ila Yesu mshenzi yule amefundisha utapeli sana.
 
Basi.
Naona hawaelewi Uzi unataka nini!
Badala wajibu hoja za kwenye Uzi wao wanahangaika kuitetea Quran mara kupinga Biblia.
Sijui Kama ingekuwa ni kesi ingekuwaje
Yeah, huwa ni ngumu sana.
Bias Bias, Humans tuna bias sana.

Ni sawa na kwenye siasa ukiongelea Magufuli au Samia, mtu bila kufikiria hoja ulizotoa, yeye anawaza kwanza jinsi ya kumtetea kipenzi wake au kumpondea mhasimu wake.
 
Acha uongo, Wapi Biblia inasema Hayo ?

Galileo alibishana na Roman Catholic /upapa ,Sio Biblia


Na waliouwawa kwa kubishana na Roman Catholic wanakadiriwa kufikia millions 100
Alibisha na Roman Catholic kuhusu nini
 
Anazingua mnoo,anajifanya mjuaji kuliko wote hapa Jf. Ila kwa hiki alicho andika amevuka mipaka,ninashangaa Moderator wanamuangalia tu.

Unaweza nambia kipi nimekosea iwe kwenye sheria za Dini yako, au sheria za JF, Au sheria za nchi, au sheria za Asili,
Au ni mpaka upi nimeuvuka?

Au kwako mtu akitoa maoni yanayokutatiza ndio unayaita kumbuka mipaka, na mtu akitoa maoni yasiyokupendeza ndio anakuwa mjuaji?

Moderator hata wakifuta huu Uzi haitakuwa jibu la hoja nilizozitoa.
 
Back
Top Bottom