Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Basi.
Naona hawaelewi Uzi unataka nini!
Badala wajibu hoja za kwenye Uzi wao wanahangaika kuitetea Quran mara kupinga Biblia.
Sijui Kama ingekuwa ni kesi ingekuwaje
Hivi Muislamu aipinge bibilia yeye inamuhusu nini, na sijaona mtu alieipinga bibili au hujui maana ya kupinga.
 
K
Kwenye mabucha msitutibue nyongo maana tuliwasamehe na kuwaacha na ujinga wenu nyie mlisema kuchinja ni ibada je sisi tushiriki manyama yenu mliyochinja kwΓ  ibada zenu?
 
Sisi wakristo tukiamua kuchinja kivyetu tusijumuike kwenye ibada zenu za kuinamia kibla hamtauza kamwe.
 
Kwenye mada kama hizi ndo utaweza kuchuja na kuona ni member gani wapo sawa vichwani wepi ni empty set!!!

Content iliyopo mezani inajieleza,ilikuwa watu waseme hoja namba fulani tunaipangua hivi hoja namba fulani tunaipangua hivi ila uzi upo post #250 kila mtu anaandika anachojua yeye.
 
Umesahau na ugaidiπŸ–•πŸΏπŸ–•πŸΏπŸ–•πŸΏ
 
Kuna mkristo anatupia watu majini??
Yes , nilikosa access exim benki ila alikuja mshombi mmoja anaitwa samira akapewa hiyo access tulienda interview waliochaguliwa ni muslims wote Citizen B
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yesu unajua Hata Muhammad anamheshimu?
Kwa hiyo kumuita Yesu Tapeli ni kumdharau mpaka Muhammad.

Hata hivyo sio kosa mtu kuwa na mtazamo Kama wako ikiwa ndivyo uonavyo
 
Unajua hapa umenichekesha sana ni kweli ila hapa ndio kila mtu anahasira namwenzake waache tu hasira zipungue
 
Mimi ni Muislam Ila nilijifanya mkristo kwenye kundi la wakristo linapotokea mibaishano Kama haya pia hivyo upande wa uislam nilijifanya mkristo kwenye kundi la waislam nikaja gundua DINI TUMEFATA AU TUMERITHISHWA NA WAZAZI NA BIBI ZETU.
 
Bro unaijua bible vzr kwanza haijaandikwa na wayahudi imeandikwa na warumi soma vzr ndo uje na uelewa tunaweza kaa tukaongea

Huijui Biblia kaa kimya.

Biblia imeanza kabla hata HAO Warumi hawajaikamata Dola la dunia/superpower

Quran haujaeleza hata historia za tawala na falme za dunia kuanzia falme la Nimrodi, Ashuru, Misri, Babeli, Medi, uajemi, Uyunani, Urumi, kisha zama za Giza, kisha ottoman empire, Kisha tawala za nchi za ulaya alafu marekani,

Muhammad kazaliwa Zama za Giza hapo kipindi Dola la kirumi linaenda kudondoka
 
Mimi ni Muislam Ila nilijifanya mkristo kwenye kundi la wakristo linapotokea mibaishano Kama haya pia hivyo upande wa uislam nilijifanya mkristo kwenye kundi la waislam nikaja gundua DINI TUMEFATA AU TUMERITHISHWA NA WAZAZI NA BIBI ZETU.

Hapa hatubishanii Ukristo wala uislam tunaangazia vitabu hivyo viwili ambavyo navitumia vyote.

Hata waislam wakubwa mahiri wote wanatumia Biblia Kama rejea kuu.
Hatujadili dini Mkuu
 


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wanakimbia hoja wanafikiri nataka kuwasilisha wawe Wakristo πŸ˜€πŸ˜€

Na Wakristo nao wanadhani nawatetea waoπŸ˜‚
Imani ni kitu cha ajabu Sana.

Badala wajadili hoja wanaleta mihemko
 
Nikweli kabisa
 
Kuna kitu ujui QURAN si maneno ya muhamad bal wahyi aloshushiwa na ALLAH azzah wa jallah kuhusu mambo mbali mbali na ikiwemo habar za mitume waliopita na sio maneno yake kama unavyosema
Sasa na pale pangoni jibril alivyomshushia kibano cha haja mudy alipokuwa anamuambia muddy aandike kuraan mudi akabaki kung'aa macho nakujitetea hajui kusoma na kuandika ndipo jibril akamaind nakumzidishia doz.

Dah mudi bana
 

Usifany hivyo.
Usiwe mkali kupitiliza ukashindwa kuiruhusu akili yako kufanya kazi.

Hakuna haja ya kutukanana Mkuu.
 
Hapa hatubishanii Ukristo wala uislam tunaangazia vitabu hivyo viwili ambavyo navitumia vyote.
Hata waislam wakubwa mahiri wote wanatumia Biblia Kama rejea kuu.
Hatujadili dini Mkuu
Katika suala la vitabu kila kitabu kimeandikwa kwa namna yake taurati ,Injili ,Zaburi pia Quran waislam wanaamini ivi vitabu vyote ndio vilivyo andikwa kwenye hiyo Quran Ila Bible naona mikono ni mingi Sana Bible ya walokole tofatuti na wasabato.

Ila Quran ya USA same na apa kwetu buza .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…