Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Andiko kubwa lililokosa credit zaidi ya kumsifia mpumbavu kwa kumpa Credibility tu...huyo Mr.Po.
 
Hata Quran yenyewe inawategemea wasoma Biblia watole majibu

5:46) And We sent Jesus, the son of Mary, after those Prophets, confirming the truth of whatever there still remained of the Torah. And We gave him the Gospel, wherein is guidance and light, and which confirms the truth of whatever there still remained of the Torah,76 and a guidance and admonition for the God-fearing. (5:47) Let the followers of the Gospel judge by what Allah has revealed therein, and those who do not judge by what Allah has revealed are the transgressors.77
 
SURAT ALMAIDAH HUYO
 
Mnaweza kunithibitishia ya kuwa Yesu alisulubiwa au Yesu alikufa Kisha akafufuka ?
Wakikujibu nitag nimekaa hapa...

Inna Diyn ghidallah Al Islam..(.Hakika Diyn mbele ya Allah Ni uislamu....)

Sijutii kuwa muislamu....
 
Hakuna kitu kinaitwa "kurwani" wewe ni kilaza #1 njoo na vivid example wapi mtume kajitengenezea dini yake.
 
mungu hawezi kuw mmoja. Angekuwa mmoja pasingekuwa hivi.
Ndio maana kuna Allah na Yahwe huko Mashariki ya Kati
Bado huko China, India, n.k
Kwa maana hiyo mtu akifa atahukumiwa kulingana na imani yake?

Kwamba mbingu/pepo ni tofauti kulingana na imani ya mtu?
 
Yesu alipewa injili ,na kuwaambia wanafunzi wake wakaisambaze mataifa yote sasa biblia alipewa nabii au mtume yupi ?na matoleo chungu mzima yaandikwa kila Leo Mara hili ni toleo la mwanzo halafu tena hili toleo jipya

Watu wanapotezwa kwa kukosa maarifa.
 
Unaibisha hilo jina na avatar unayotumia, hufanani navyo kabisa.
Anazingua mnoo,anajifanya mjuaji kuliko wote hapa Jf. Ila kwa hiki alicho andika amevuka mipaka,ninashangaa Moderator wanamuangalia tu.
 
Uko sahihi, hii ndio hoja ya msingi ya uzi ila wafia dini wameamua kwenda nje ya mjadala makusudi au kwa mihemko.
 
Sijaona pedo hapo. Na hilo ni vazi la watu wa huko enzi hizo. Sio vazi la kiimani.
Halafu huyo sio yesu.
Umesema haupo kwenye kuamini dini yyte sasa Umejuaje huyu km sio yesu au mavazi sio ya kwake.
 
Kaka kaa kimya hili heshima yako ibaki

Hao akina mathayo cjui marko wa kwenye biblia co wale wanafunzi wa yesu ujue hao wengine kabsa
Kwamba ukiitwa mahakamani kwenye hiyo kesi unaweza ukathibitisha kwamba mathayo na marko walioandika biblia sio wafuasi wa yesu?
 
Ntakupa baadhi ya hints biblia imeandikwa kupotosha sio kitabu cha mungu ..ndani ya biblia hakuna neno ukristo ni dini, hakuna sehemu kwamba yesu ni mungu ,Kuna sehemu mungu kaitwa

MPUMBAVU weka hints
Unaweza kuchek kabisa yaani😂😂😂
 
Sikia ,uislamu haujakataa kuhusu Nabii Issa lkn sio Yesu wenu.

Kuhusu mfumo kamili wa maisha Quran.

Leo nimekukamilishieni dini yenu, na kukutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni uislamu uwe dini Yenu...(5:3)
 
Ndg wasikilizaji na watazamaji mpaka ktk huu mtifuano nimefanikiwa kuyaona yafuatayo;

1. Mtoa mada ameweka wazi kuwa analinganisha hivi vitabu 'kimahakama'. Nilivyoelewa mimi hapo ni 'kidunia'.......i.e kipeter kibatala au kitundu lissu au kigenerali ulimwengu. 'Udunia' na 'Uroho' kuna wakati km vinapishana hv; siajabu ndo maana mtoa mada ameona kujirudia kwa baadhi ya habari za Biblia ktk Qur'an ni upuuzi tu kwake. Xiahabu ndo maana mtoa mada ameshangaa kwanini Muhammad amehangaika kuwazungumzia watu wengine badala ya Waarab wenzake tu (wa Mekka au Madina, bila shaka).

2. Kwakuwa kichwa cha habari chake kimeidunisha Qur'an, basi wale wasioipenda na wasiowapenda wafuasi wake wameibuka kwa shangwe kwelikweli huku wakisahau kupitia kwa kina habari nzima, tena neno kwa neno, ili waone jinsi gani upande wao ulivyoelezwa kuwa sio wao.

3. Mada imesheheni tuhuma kuwa Waislamu hawawapendi/wana chuki na Wakristo, lakini ajabu wanaosema hivyo wao ndo wameshindwa hata kujuzuia na chuki zao kwa Waislamu kiasi kwamba wanaweka kabisa maandishi ya kuwaprovoke. Hiyo huju mtandaoni, ukienda nje sote tuna majibu kuwa ni maeneo ya watu wa imani gani huwa kunakuwa kumesheheni matendo ya kikatili na ddhulma zaidi......

4. Mada ni kubwa kuliko mtoa mada. Sijasoma dini, sina uzoefu wa kubishana katika dini lakini ninaona kabisa baadhi ya hoja zinashangaza kidogo.

5. ........

Tuendelee kuwasikilizia wajuzi........
 
Baki na chuki yako juu yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…