bolivia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2021
- 3,083
- 5,179
Andiko kubwa lililokosa credit zaidi ya kumsifia mpumbavu kwa kumpa Credibility tu...huyo Mr.Po.Hapa hatujadili kama Quran au biblia kipi ni kitabu cha Mungu, hilo ni subjective huwezi kuprove au kidisprove ni jambo la kiimani..na huenda hata vyote visiwe vitabu vya Mungu.
ishu hapa ni je Quran au biblia ipi inaaminika kihistoria?
ili uiamini Quran inabidi kwanza umuamini Muhamad (maana kila kitu kilitoka kwa Muhamad akisema kimetoka kwa jibril anayesema kinatoka kwa Allah)
Ukishamuamini Muhamad inakubidi sasa ndio uamini kila kitu kwenye Quran blindly maana ni masimulizi ambayo hata Muhamad msimuliaji hakuwepo.
Biblia ni masimulizi ya wahusika waliokuwepo kwenye tukio au hata kama hawakuwepo basi waliishi zama za hayo matukio..sio mtu anakusimulia habari za yesu miaka 600 imeshapita.
Paulo ana credibility kuliko Muhamad kwasababu
1.ameishi zama hizo hizo za yesu(sio miaka 5 baadae).
2.Amekutana na watu waliokuwa wanafunzi wa Yesu kina petro na wengine
Paulo ni mfano mmoja ila ni karibia vitabu vyote iko hivyo.