Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Nilitegemea utajibu hoja zangu moja Baada ya nyingine ,Cha ajabu unaleta malalamiko na vitisho

Uislamu sio dini ya haki ,Ni moja ya dhehebu la Katoliki

Uislamu hauna tumaini lolote kwa mwanadamu

Kamuulize sheikh wako kabla ya Muhammad akupe ushahidi kuliwahi kuwepo dini inaitwa uislamu ,akikupa Ushahidi au wewe ukiuleta Nasilimu na kurejea kwenye uislamu

Biblia kitabu kitamu Sana kimejaa tumaini kwa mwanadamu na Shuhuda zakumwaga Kuhusu MUNGU ,

Karibu kwa Yesu
 
Wewe muabudu picha ya Brian Deacon, unaona umeandika point kumbe pumba tupu. Hiyo royal 'we' mbona inajulikana kwenye lugha nyingi.

Ndiyo maana hata kwenye suala la kuabudu au kuumba kwenye Qur'an ikitajwa kwa jina inaweka Mwenyezi Mungu mmoja.
 
Isikilize hii sura aya za mwanzo uone Mwenyezi Mungu akitajwa halafu wingi wa kujisifu ikitajwa. Mmezoea kusoma kwa kudokoa aya bila kufanya utafiti

Nakuuliza swali lingine unajibu vitu vingine.
Unastaajabisha sana.

Wazungu wanahusiana nini na Yesu Kristo?

Kwani Muhammadi hakuwahi kupopolewa mawe na Waarabu wenzake kule Madina hadi akang'oka meno ?

Vita vya Albadri Muhammadi alipigana na akina nani ?

Waarabu Wakristo wanamkubali Muhammadi kuwa ni Nabii wa kweli ?
Na kwanini ?

Kwahiyo Muhammadi ni Nabii wa Uwongo kwakuwa alipingwa kwa kupigwa mawe na Waarabu wenzake sio.

Uwezo wako wa kujadiri hoja ni wa kiwango cha chini sana.
 
Pole kijana

Uislamu upo toka kwa Nabii Adam sasa ww endelea kukana

Tatizo nyie mkishahongwa mnaona mshayamaliza maisha kumbe kuna maisha baada ya kufa na huko ndipo sisi Waislamu tulipobase sanaaa kuliko hii dunia ya mpito
 
Tatizo huna ulijualo ndo mna

Hua nikibishana na mjinga atanishinda tuu mna hana facts zaidi ya ubishi
 
Tatizo huna ulijualo ndo mna

Hua nikibishana na mjinga atanishinda tuu mna hana facts zaidi ya ubishi
Kwanza tunabishanaje.
Mtume wenu Muhammadi kasema hamuabudu ninaye mwabudu.

Nyinyi muna Mungu wenu na mimi nina Mungu wangu.

Sasa mimi nibishanaje na wewe mwenye Mungu wako na Nabii wako ?

Mimi ulinisikia wapi nalisijudia Jiwe Jeusi la Maka Aswadi ?

Mimi ulinisikia wapi nashahadia shahada za dini yako ?

Mimi ulinisikia wapi nafunga mwezi wenu wa Marehemu Ramadhani saidi ?

Ulinisikia wapi mimi nazunguka Al-Qaba huku nikiwa nimevaa kitambaa cha sanda bila nguo ya ndani.

Ulisikia wapi mimi nawa abudu watoto wa Allah, Al-Uzza, All-Lutta na All-Manata.

Ulisikia wapi mimi naabudu nina abudu dini moja na Majini.?

Ulisikia wapi mimi nazisujudia sanamu za Nyota na Mwezi kwenye nyumba yangu ya Ibada?

Ulisikia wapi mimi Mungu wangu anasikia maombi kwa lugha ya Kiarabu tu.

Ulisikia wapi mimi ili sala yangu ikubalike lazima niangalie jiwe jeusi katika mji wa Maka wakati wa swala ?

Ulisikia wapi kitabu changu cha imani yangu kina Jina la Muhammadi ?

Ukinisikia wapi mimi naongelea kuhusu Manabii wako wa kwenye Qurani.?

Sasa wewe na mimi tunakutana wapi hadi tubishane ?

Mimi nibishane wewe kwa lipi ?
 
Yohana 17:3 (KJV)
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Yesu alikuwa Muislam na hapo anatoa shahada na wewe siku utayo liamini hilo andiko hapo utakuwa Muislam kama Yesu

Ila kwa kuwa Sasa ni dhama za mtume Muhammad utasema hivi

Na uzima wa milele ndio huu wakujue wewe Mungu wa pekee wa kweli na Muhammad uliyemtuma
 
Jini Akhi,
Kwanza tunabishanaje.?
Mtume wenu Muhammadi kasema hamuabudu ninaye mwabudu.

Nyinyi muna Mungu wenu na mimi nina Mungu wangu.

Sasa mimi nibishanaje na wewe mwenye Mungu wako na Nabii wako ?

Mimi ulinisikia wapi nalisijudia Jiwe Jeusi la Maka, Aswadi ?

Mimi ulinisikia wapi nashahadia shahada za dini yako ?

Mimi ulinisikia wapi nafunga mwezi wenu wa Marehemu Ramadhani saidi ?

Ulinisikia wapi mimi nazunguka Al-Qaba huku nikiwa nimevaa kitambaa cha sanda bila nguo ya ndani.

Ulisikia wapi mimi nawa abudu watoto wa Allah, Al-Uzza, All-Lutta na All-Manata.

Ulisikia wapi mimi naabudu nina abudu dini moja na Majini.?

Ulisikia wapi mimi nazisujudia sanamu za Nyota na Mwezi kwenye nyumba yangu ya Ibada?

Ulisikia wapi mimi Mungu wangu anasikia maombi kwa lugha ya Kiarabu tu.

Ulisikia wapi mimi ili sala yangu ikubalike lazima niangalie jiwe jeusi katika mji wa Maka wakati wa swala ?

Ulisikia wapi kitabu changu cha imani yangu kina Jina la Muhammadi ?

Ukinisikia wapi mimi naongelea kuhusu Manabii wako wa kwenye Qurani.?

Sasa wewe na mimi tunakutana wapi hadi tubishane ?

Mimi nibishane wewe kwa lipi ?
 
Hahahaha funny!!!
 
Mwamedi alifanya biashara gani??
 
Kwa namna hii Sasa hata mbumbumbu hamuwezi kumdanganya

Eti Yesu alikuwa muislamu[emoji1787][emoji1787]

Kwanza lini mmeanza kuiamini biblia hasa Kitabu Cha Yohana?
 
Mwamba ngoma siku zote huivutia kwake, naona jinsi wafia dini wanavyotetea dini zao, ila pamoja na yote Mungu tunayemuabudu sisi sote Ni yule mmoja tu.
 
Pole kijana

Uislamu upo toka kwa Nabii Adam sasa ww endelea kukana

Tatizo nyie mkishahongwa mnaona mshayamaliza maisha kumbe kuna maisha baada ya kufa na huko ndipo sisi Waislamu tulipobase sanaaa kuliko hii dunia ya mpito
Eti toka Adam,

Achen kudanganya watu
 
Dohh msiba huu Qurani tukufu ni kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake ..kabla sijaenda mbali nitafutie mstari ndani ya biblia version zote zinazosema kuwa ukristo ni dini?

UMUHIMU WA KIARABU

Mwenyezi Mungu alisema kitabu chake kitakatifu lazima kiandikwe, kikariri na kufundishwa kwa Kiarabu (lugha ya Muhammad) kwa Mtume Muhammad ingawa kuna maelfu ya lugha nyingine duniani.

Kipindi quran inashuka karne ya 7 tambua Lugha ya Kilatini ya Vulgar na Kichina zilikuwa ndizo lugha inayozungumzwa zaidi ulimwenguni katika karne ya 7 wakati Kurani ilifunuliwa, Kiingereza na Mandarin ndizo lugha zinazozungumzwa zaidi katika karne ya 21. Ni asilimia 5 tu ya watu duniani leo wanazungumza Kiarabu (Kiarabu ni lugha ya 5 inayozungumzwa zaidi duniani) kwa hiyo haina mantiki, inachanganya na ni upuuzi kwa nini Mungu alitaka "maneno muhimu zaidi kwa wanadamu" yatolewe mahususi kwa lugha moja tu ya Kiarabu.

Ikiwa Mwenyezi Mungu angedhihirisha fundisho lake kwa tamaduni zote na pembe zote za dunia, kungekuwa na njia inayoweza kuthibitishwa bila kutegemea kwamba kila lugha ulimwenguni ilipokea ujumbe huo huo kutoka kwa Mungu huyohuyo. Huu ungekuwa ushahidi wenye nguvu sana katika kuupendelea Uislamu.

Mwamedi alifanya biashara gani??

Biashara ya kuuza na kununua watumwa
Mwamedi alifanya biashara gani??

Hadithi na sunnah zinasema alikuwa meneja wa misafara wa biashara..

Kwa kiingereza mtume muhammad alikuwa merchant and caravan manager

miaka hiyo biashara zilikuwa za misafara.. kama umesoma somo la historia sekondari utakuwa umekutana na topic ya caravan trade.
 
Waislam wote ni watumwa isipokuwa WA alipokuwa anaishi mwamedi MWENYEWE yaani macca na madina si ndiooo mjibu hoja eeeh
 
Ndio miongoni mwa "great thinkers" wa Jf huyo eti.

"Taikon" bhana
 
Kwa namna hii Sasa hata mbumbumbu hamuwezi kumdanganya

Eti Yesu alikuwa muislamu[emoji1787][emoji1787]

Kwanza lini mmeanza kuiamini biblia hasa Kitabu Cha Yohana?
Yesu ni Muislam na hu ndio ushahidi kuwa Yesu ni Muislam

Yohana 17:3 (KJV)
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Mtu yoyote anayeamini kuwa Mungu ni wa pekee na huyo Mungu wa pekee ndio amewatuma manabii kama Yesu na wengine huyo ni Muislam

Kama wewe unao ushahidi unasema Yesu alikuwa dini nyingine tofauti na uislam weka hilo andiko tulione

Bibilia ni faile lililokusanya vitabu vya maneno ya manabii na maneno ya watu Mungu hajaleta kitabu kinachoitwa Bibilia

Hilo andiko katika kitabu Cha Yohana ni maneno ya Yesu na maneno ya Yesu ni Injili na Injili ni kitabu cha Mungu alicho mfunulia Yesu

Quran 3:3
Amekuteremshia Kitabu kwa haki, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake. Na aliteremsha Taurati na Injili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…