Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kwa hiyo muarabu Muhammad ndio anaweza kuwa na taarifa za Wayahudi kuliko Wayahudi wenyewe?
Naam katika Elimu hili ni jambo sahali sana. Shida yenu hamsomi na hamuishi katika ulimwengu wa Kielimu.
 
Tatizo hawataki.
Mungu WA Biblia ni Yehova
Mungu WA Quran ni Allah ambaye ni Mungu wa waarabu.
Manabii wote wa kiyahudi walimuabudu Yehova lakini Quran inapotosha ati aliyeabudiiwa ni Allah.
Huoni hapo kuna hoja ya kujadiliwa
swali dogo tu kipindi Cha Musa biblia ilikiwepo na kama haikuwepo kulikuwa kitabu gan
pili Biblia kapewa Nan maana injili ni ya Yesu
 
Hata ivo Quran ni zao kutoka kwa Bible
Lakini Biblia kiujumla ina mambo mengi ambayo ni kinyume na yaliyo kwenye Qur'an na mengine mengi hayapo kwenye Qur'an na kwenye Qur'an yenyewe ni hivyo hivyo kwamba ina mambo mengi ambayo ni kinyume na yaliyo kwenye biblia na mengine mengine biblia haijaeleza.
 
Ushawahi kujiuliza kwanini Mayahudi walikiamini kile alichokuwa anakisema Mtume ila tu hawakukifata ? Jibu walijua ya kuwa yule ni mkweli na muaminifu sababu Mayahudi walikuwa na Elimu juu ya vitabu vilivyoshushwa kwao ila tu walikuwa wapindishaji wa maandiko.
 
Hata ivo Quran ni zao kutoka kwa Bible
Hili bibie mpaka mnakufa hamuwezi kuthibitisha. Huwa najiuliza Wakristo kwanini wepesi wa kuamini amini mambo msiyo kuwa na ushahidi nayo ?

Ndiyo maana dini yenu Ina ushirikina mwingi sana.
 
QURAN kapewa nabii MUHAMMAD
BIBLIA KAPEWA NAN?
 
Mungu ni jina la pekee, sababu anapotajwa Mungu humaanishwa yule aliye umba mbingu na Ardhi, ndiyo maana kinyume na hao husemwa ni miungu wa uongo. Muwe mnasoma lugha na asili ya maneno na jinsi ya kuyatumia.

Kweli shule muhimu.
Kama hukupelekwa shule haya ndio matokeo yake. Kwa hiyo Kwa akili yako, mungu Yahwe na Allah au Buddha ni mmoja.

Neno Mungu ni Cheo haimaanishi Mungu yupi, Kamuulize mwalimu wako WA dini maana naona hapa unawadhalilisha wenzako.

Au fuatilia waarabu kabla ya Muhammad walikuwa wanaabudu miungu ipo uone Kama Allah Hakuwa miongoni mwa hiyo miungu.

Kumbuka Mungu ni umoja alafu Miungu ni wingi. Ni Sawa useme mtu ni jina la pekee wakati ni Cheo.

Mungu aliumba mtu alafu akamuita jina lake Adamu. Huelewi hata mantiki ya hoja. Sasa swali lazima liulizwe ni Mungu yupi aliyemuumba Adamu?
Yaani jina la huyo Mungu
 
Alikutana wapi na Majini hadi akaongea nayo ?
 
QURAN kapewa nabii MUHAMMAD
BIBLIA KAPEWA NAN?

Soma hoja katika Uzi utaelewa kuwa Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vingi walivyoandika mitume na manabii Kwa nyakati zao.

Lakini Muhammad badala aeleze mambo ya wakati wake ana-copy visa vya wenzake na kuvifanya kanakwamba yeye kashushiwa kanakwamba havikuwepo.


L
 
KWANZA ASILI YA LUGHA YA KWENYE BIBLIA NI IPI NA KWANN KITABU CHENYEWE HAKIPO KWENYE ASILI YAKE ILI KAMA KUNA MAKOSA YAJULIKANE NI YAPI
 
Shkurani sana, kingine nilishangaa sana kwa hadithi kwamba mohammed aligegeda katoto ka miaka 9, na waislamu wanakiri hili, hawakatai kwamba lipo kwenye kurani kabisa.

Kila nikiangalia vibinti huku nje nikutane na katoto ka miaka 9 akili zinanijia na kuwaza yaani mzee yule kabisa kaamua kumfanyia mtoto mdogo kama huyu ukatili wote huo.
 
Nimecheka sana, Uislaamu maana yake ni kujisalimisha kwa Allah kwa kumtii na kumpwekesha yeye peke yake pasi na kumshirikisha na yoyote na chochote.

Hika ilikuwepo na Ibrahim alihiji na ndiyo mjenzi wa Ile nule Msikiti wa Makka.

Tofauti iliyo kuwepo baina ya mitume Hawa ni Sheria ila Imani Yao ni Moja.

Uislamu umegawanyika sehemu juu mbili, Uislamu wa ujumla huu ni Ile Imani na Uislamu khasa ambao aliokuja nao Mtume kwa maana ya Sheria tofauti.

Hata Musa alikuwa ana Hiji na anafunga na alikuwa ana Sali kwa mujibu wa Sheria yake aliyo pewa na Allah.

Kuhusu suala la Shahada, Shahada yetu ya Leo haiwezi kuwa sawa na ya walio pita sababu kila umma ulipewa utaratibu wake na Sheria zake.

Kadhalika zaka walitoa.
 
SI USEME TU UNAOGOPA NN KUWA MWANADAMU NDIO KAKUSANYA ?
 
Ibrahimu hakuwah kufika huko makka alizaliwa Urdu ya caldayo (Iraq) na akaamia kaanani ambayo Leo ndo nchi ya Israel na Palestina
 
Nakuambia hao wanajitoaga ufahamu.

Mungu ni aliyeumba.

mungu ni hao vimungu vya kipagani kama mungu Allah, mungu dogani, mungu mke. mungu ng'ombe, mungu Zumaridi, mungu Lusifer. nk

Kumbukumbu la Torati 5:7 Usiwe na miungu mingine ila mimi.
 
QURAN kapewa nabii MUHAMMAD
BIBLIA KAPEWA NAN?


Muhammad alipewa na nani quran?

Quran ilishushwa kwa kamba ama ilishushwa kwa ngazi?

Quran inajipinga yenyewe ndio maana tunaona ni janja janja tu.


Quran 6:14 inasema kuwa Muhammad alikuwa Muislamu wa kwanza.

Quran 28:46 inadai kuwa Muhammad ndiye mtume wa kwanza kufika kwa duniani. na akajenga Al-Kaaba. .

Quran 7:143 inasema kwamba Musa alikuwa Mwislamu wa kwanza.

Quran 10:47 inasema kwamba Mwenyezi Mungu alituma watume kwa kila umma.

Ila hiyo hiyo quran haijasema umma Wa Africa mtume wao walietumiwa ni nani?
Umma wa Wahindi mtume wao waliotumiwa ni nani? Umma Wa Australia mtume wao walietumiwa ni nani? Watu wa bara la America mtume wao waliotumiwa ni nani? Wachina , wakorea, wajapan mtume wao walioletewa ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…