Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #741
Hii ndio biblia unayo hiamini?
Isaya 23:17
[17]Hata itakuwa mwisho wa miaka sabini, BWANA ataizuru nchi ya Tiro, naye atarudi apate ujira wake, atafanya ukahaba pamoja na falme zote za ulimwengu juu ya uso wa dunia.
Duh!! Kumbe iko peupe kiasi hicho!! Mwenye masikio na asikie!! mwenye macho na aone!!Ifike wakati Tuwaambie tu Waislamu Ukweli... Tutadaiwa Roho zao huko mbele, Aliyeteremsha Quran ni SHETANI full stop,
huyo ndo adui wa Jibril. NO hadithi ni longo longo... labda kama wanampinga allahView attachment 2403211
Jibu hoja!! Tetea unachokitetea kwa hoja! Weka nguvu ya hoja na siyo hoja ya nguvu kwa kifupi tumia hoja usitumie nguvu utaharibu!!Apigwe Bomu afe aliyeleta hoja make anazalilisha
Ndio maana nikasema hata wewe hayo uliyoyaeleza hapo kuhusu waliyoandika vitabu vya kwenye biblia kwamba sijui walikuwa wenyewe wahusika na waliyoshuhudia hayo matukio, hiyo ni imani tu mkuu uhalisia unaweza usiwe hivyo.Hapa tunachojadili ni ushahidi uliopo mahakamani ambao ni Biblia na Qura. Tunaangalia kitabu kipi kinafaa kuwa rejea kuu na kina ukweli Mkubwa.
Ndio maana mahakamani hakimu na mauaji kazi Yao ni kusikiliza na kuona ushahidi na kutoa maamuzi ingawaje wao hawakuwepo.
Sisi hivi leo ni majaji na mahakimu katika ushahidi uliopo WA vitabu hivyo viwili. Je kipi ni chakweli na kinafaa kuwa rejea kuu.
Ndio hoja iliyopo.
Mpaka sasa Mawakili na watetezi WA Quran hawajajibu hoja zilizotolewa naona wanarukaruka.
Ni Kama hawajawahi kusimama mahakamani.
Pedophilia alivyoona wanamuumbua na mauongo yake akajiapizaUshawahi kujiuliza kwanini Mayahudi walikiamini kile alichokuwa anakisema Mtume ila tu hawakukifata ? Jibu walijua ya kuwa yule ni mkweli na muaminifu sababu Mayahudi walikuwa na Elimu juu ya vitabu vilivyoshushwa kwao ila tu walikuwa wapindishaji wa maandiko.
Hivi nyie mnasoma Quran gani? Mbona Quran tunayoisoma sisi ipo straight forward na tunajua kwa kila aya na maelezo yake ikiwa yanatoka kwa nani kwenda kwa nani. Hicho ulichoeleza wewe kuhusu Quran unatoa wapi?Kwema Wakuu!
Kutokana na mjadala fulani uliokuwa unaendelea katika Jukwaa la Intelligence nimeona nianzishe uzi huu kwa lengo la kujifunza na kuweka mjadala huru. Pia kupima katika mizania ya kimahakama/kuthibitisha ukweli wa masimulizi yaliyomo kwenye Biblia na kwenye Quran.
Nani mkweli na nani muongo kati ya Biblia na Quran?
Sipo hapa kumfanya yeyote awe sijui Mkristo au Muislam au Myahudi, bali nipo kujadili nani mkweli kati ya Biblia na Quran katika mizani ya kimahakama, majaji mtakuwa ninyi wasomaji.
Mahakamani siyo kila kesi inayopelekwa mahakamani ni kesi ya uvunjifu wa sheria, hasha! Bali yapo mambo huweza kupelekwa mahakamani kama kutaka uthibitisho, ukweli, mbali na haki.
Hivyo hata Biblia na Quran vinaweza pelekwa mahakamani na ukweli ukajulikana tuu. Sema kwa vile mambo haya yanagusa imani za watu jambo hilo linaweza kuwa gumu.
Zifuatazo ni hoja kwa nini Biblia ni kitabu cha kweli na kinapaswa kuwa rejea kuu zaidi ya Quran, kwa sababu;
1. Biblia kwa sehemu kubwa haina maneno ya 'Hearsay' wakati Quran kwa 90% maneno yake ni 'Hearsay'. Kimahakama maneno ya 'hearsay' hayasikilizwi na hayawezi kuchukuliwa kama ushahidi mzito, au kama rejea muhimu. Hoja hii ndiyo hoja nzito kuliko zote zinazoifanya Biblia kiwe kitabu kikuu chakweli kinachoiacha Quran Kwa mbali Sana.
a) Waandishi wengi wa Biblia wanaandika matukio yaliyokuwa yanawatokea wao wenyewe. Mfano Musa anasimulia jinsi anavyowatoa Waisrael Misri kwenda Kanaani, Daudi anasimulia hekaheka zake, Suleiman, Daniel, Yona n.k.
Wakati msimuliaji wa Quran yeye anasimulia habari ambazo yeye hakuwepo. Mfano Muhammad, anasimulia habari za Musa ambaye hayupo na ni miaka zaidi ya elfu iliyopita. Muhammad hajawahi kumuona Musa wala Daudi, wala Suleiman wala Yesu.
Kisa cha Yesu ndani ya Biblia tunaweza kukikubali kwa sababu kiliandikwa na baadhi ya wanafunzi wake akiwepo Marko, Mathayo na Yohana. Hivyo hata mahakamani tunaweza watumia watu waliyoshuhudia matukio ya Yesu aliyoyafanya. Ila tunaweza kukitoa kitabu cha Luka kwa sababu yeye alisimuliwa.
Hata hivyo ulikuwa ni wakati ule ule hivyo naye anaweza akasimulia kitu kikaeleweka. Tofauti na Quran ya Muhammad ambayo inasimulia tukio ambalo ni miaka zaidi ya 500 tangu litokee na anayeandika hajawahi mshuhudia huyo Yesu/Issa.
2. Waandishi wa Biblia walikuwepo maeneo tajwa kwenye Biblia, lakini Quran aliyeandika hajawahi kufika maeneo anayoyasimulia. Yaani Muhammad anasimulia habari za Israel na Waisrael ambapo hajawahi kufika, hajui pakoje, hajui watu wake wakoje.
Muhammad anasimulia habari za Jerusalem ya Suleiman halafu hajawahi kufika Jerusalem na hajawahi kumuona Suleiman, wakati Suleima mwenyewe kaandika habari zake mwenyewe. Kumbuka kutoka Suleiman mpaka Muhammad ni zaidi ya miaka 1000.
Quran kisheria hakiwezi kutumika kama rejea kwa maana msimuliaji anasimulia habari za eneo ambalo hajawahi kufika wala kushuhudia. Wala wakati matukio yanatokea hakuwepo.
3. Biblia ni muunganiko wa vitabu vingi vilivyoshushwa kwa manabii tofauti tofauti kwa nyakati tofauti tofauti, wakati Quran licha ya kuwa na vitabu vingi lakini vitabu vyote ameshushiwa Muhammad.
Embu shangaa, kisa cha Adamu kashushiwa Muhammad, kisa cha Nuhu kashushiwa Muhammad, kisa cha Ibrahimu kashushiwa Muhammad, kisa cha Yakobo na Yusufu kashushiwa Muhammad, kisa cha Waisrael kashushiwa Muhammad, mpaka kisa cha Yesu. Na visa vyote hakuwepo!😀😀
Upande wa Biblia
Ila wenzake Kisa cha Musa aliandika mwenyewe Musa, kisa cha Ayubu aliandika mwenyewe Ayubu, kisa cha Daudi aliandika Daudi mwenyewe, Kisa cha Yona kaandika Yona mwenyewe, kisa cha Yesu waliandika watu wake wakaribu (wanafunzi waliomshuhudia), kisa cha Daniel kaandika Daniel mwenyewe.
Vitabu hivi ni ushahidi wa wazi kwasababu wanaosimulia ni wahusika wenyewe. Ni kama vile kitabu cha Mzee wetu Mwinyi au Mzee wetu Mengi.
Muhammad kashushiwa vitabu ambavyo anasimulia hadithi za kusimuliwa (Hearsay), kitu pekee ambacho Quran inaweza kuwa ukweli na ikachukuliwa kama ukweli ni masimulizi ya kile alichokifanya Muhammad kwani alikuwepo na anasimulia tukio linaloendelea au alilolifanya.
4. Biblia imeandikwa na Wayahudi kwa kiasi kikubwa na wanasimulia habari zao wenyewe. Lakini Quran imeandikwa na Waarabu kwa lugha ya Kiarabu lakini inasimulia habari za wasiyo Waarabu, inasimulia habari za watu wengine ambao hawakuwaona.
Yaani mimi Mpare wa zama hizi nisimulie mambo ya Wasukuma ya kale ambayo sikuwepo. Hivi ninyi mtanisikiliza mimi Mpare ninayesimulia habari za kale za Wasukuma au mtasikiliza Wasukuma wenyewe?
Muhammad Muarabu aliyezaliwa Makka na akafia Madina hajawahi kufika Jerusalem, hajui hata Rama, Bethlehemu alipozaliwa Kristo halafu yeye anakwambia alizaliwa kwenye mtende halafu kuna mtu Myahudi aliyekuwa rafiki wa Yesu anakuambia Yesu rafiki yake kazaliwa kwenye hori la ng'ombe.
Huyo Rafiki wa Yesu Yohana, ni Myahudi mwenzake Yesu, anapajua Bethlehem, anapajua Jerusalem ndani nje. Je utamsikiliza nani?
Haya Quran na hadithi za Kiyahudi kama anavyosimulia Mtume na maswahaba wake wanakuambia Suleiman alikuwa anafuga majini. Kumbuka huyo Muhammad anasimulia habari za watu wa taifa jingine ambao wanatofautiana lugha na tamaduni, hajawahi kufika Jerusalem mji wa Daudi na mwanaye Suleiman, hajui Kiyahudi, haabudu dini ya Wayahudi anayoabudu Suleiman.
Anakuambia Suleiman alikuwa anafuga majini, lakini Suleiman mwenyewe katika hadithi zake au hadithi za mwanaye Yerobohamu hajawahi kusema kitu kama hicho. Pia utamaduni wao hauruhusu kufuga madudu hayo majini. Wewe utamuamini huyo Muhammad au utamuamini Suleiman mwenyewe aliyeandika katika vitabu vyake vilivyopo katika Biblia? Jibu utabaki nalo.
5. Mungu wa kwenye Biblia ni Jehova/Yahwe ambaye ni Mungu wa Waisrael wanaosimuliwa ndani ya kitabu hicho. Lakini Quran mungu wake ni Allah, Mungu wa Waarabu wa kabila la Wakurdi wa zamani lakini cha ajabu huyo Allah, ati huyo Allah kuna sehemu anamuagiza kina Musa (Myahudi na dini yake Uyahudi) wakati kimsingi Musa Mungu wake ni Yahweh mpaka anakufa.
Hata hivi leo Mungu wa Wayahudi hajabadilika ni Yahwe na mpaka hivi Mungu wa waarabu hajabadilika ni yule yule Allah. Lakini Quran inapotosha kuwa Mungu anayewaagiza Wayahudi ni Allah hii ni kutokana muandishi wa Quran alikuwa Muarabu.
Wahusika kuanzia kwa Yakobo mpaka kwa Yesu ni Wayahudi na dini yao ni Uyahudi na Mungu wao ni Yahweh, lakini Quran imepuyanga katika eneo hilo.
6. Biblia imetangulia miaka mingi kabla ya Quran. Hivyo kwa kuwahi imeshuhudia na inaweza kusimulia matukio yaliyotokea zamani zaidi kuliko Quran, siyo ajabu Quran yenyewe ndiyo imenakili baadhi ya visa ingawaje inajimilikisha.
Biblia inaweza kujitegemea bila ya uwepo wa Quran kwani yenyewe ndiyo baba/chanzo cha Quran. Lakini Quran kama ukitoa visa ilivyovinakili kutoka kwenye Biblia na maandiko yote ya Kiyahudi basi Quran inabaki bila ya nguvu yoyote Ile.
Quran ambacho ingefanya ni kutoa nondo kuanzia wakati wa Muhammad kuja mbele na siyo kurudia hadithi zilizokwisha kuwepo. Mbona Injili haujarudia visa? Quran haiwezi kuchukuliwa kama rejea kuu kuzidi Biblia kwa sababu nilizozitaja hapo juu.
Majaji mjadili kwa hoja.
Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
Nataka kuona majibu ya hili swali kutoka kwa mtoa mada.Alieandika habari za adabu na walikuwa yeye na Hawa tu alikuwepo huyo yesu?? Sijui Paulo alikuwepo😂😂😂
Soma Koran , Muhammad alikuwa Kuna mda anajichanganya anashindwa ku switch from first person to third, unajiuliza anadai ni maneno ya Allah alafu huyo Allah anamtaja tena mungu mwingine Allah anajisahau yeye ndio anatakiwa kuwa munguHivi nyie mnasoma Quran gani? Mbona Quran tunayoisoma sisi ipo straight forward na tunajua kwa kila aya na maelezo yake ikiwa yanatoka kwa nani kwenda kwa nani. Hicho ulichoeleza wewe kuhusu Quran unatoa wapi?
Mfano tuambie Alie tamka Aya maneno ni nani 1. Allah 2. Jibril 3. MuhammadHivi nyie mnasoma Quran gani? Mbona Quran tunayoisoma sisi ipo straight forward na tunajua kwa kila aya na maelezo yake ikiwa yanatoka kwa nani kwenda kwa nani. Hicho ulichoeleza wewe kuhusu Quran unatoa wapi?
Sio anajichanganya ila wewe uliyesoma ndio unajichanganya. Weka aya ulizoona zina mchanganyiko huo tukusaidie.Soma Koran , Muhammad alikuwa Kuna mda anajichanganya anashindwa ku switch from first person to third, unajiuliza anadai ni maneno ya Allah alafu huyo Allah anamtaja tena mungu mwingine Allah anajisahau yeye ndio anatakiwa kuwa mungu
Quran 2:132
Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.
Quran inasema Hawa manabii wote walikuwa waislam Sasa kama wewe sio mjinga toa ushahidi wa mandiko kama walikuwa na dini nyingine kinyume na uislam
Otherwise wewe ndio mjinga a
Nadhani hukunielewa,jinga ni hili lianzisha madaQuran 2:132
Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.
Quran inasema Hawa manabii wote walikuwa waislam Sasa kama wewe sio mjinga toa ushahidi wa mandiko kama walikuwa na dini nyingine kinyume na uislam
Otherwise wewe ndio mjinga
Ila una akili ndefu ya kuabudu jiwe 😂😂😂Ma
Nadhani hukunielewa,jinga ni hili lianzisha mada
Mm ni muislam nisiye na Shaka na dini yangu siwezi kuwa na Akili fupi ya kuabudu msalaba
Mtume Muhammad alikuwa ni mtu mwerevu sana.
Mwenye kumbukumbu nzuri na uwezo wa kusimulia hadithi alizozijua kutokana na kusafiri safiri kwake miji tofauti kibiashara.
Akiwa safarini Alisikia hadithi nyingi za dini zilizokuwepo kipindi hiko kutoka kwa Mayahudi (walioishi Arabuni wakati huo) na za Kikristo (kutoka kwa safari zake za kwenda Syria ki biashara) na akaunganisha hadithi alizozisikia kutoka kwenye dini tofauti hadi kwenye dini mpya aliyoianzisha ya kiislamu yenye hoja ya Mungu mmoja na yeye mwenyewe kama Mtume.
(Ni kama story za utani za kumsema nyerere enzi zile akiona kitu kwenye tv anakuja kusema ameoteshwa kwamba Marekani kimetokea hiki.. sababu watu wengine hawana tv wanaamini kaoteshwa kweli)
Alifanikiwa kuitumia dini hii mpya kufikia malengo mawili, moja la muda mfupi na moja la muda mrefu.
Malengo yake ya muda mfupi yalikuwa ni ya kumfanya yeye kuwa Chief Man in Arabia jambo ambalo alifanikiwa kulipata hadi wakati wa kifo chake na, baada ya kifo chake, warithi wake walifanikiwa kufikia lengo lake la muda mrefu la kuwafanya waarabu waitawale dunia kwa kutumia advantage waliyonayo ya uislam na lugha ya kiarabu isambae dunia nzima na waarabu wawe watu muhimu kwenye jukwaa la kimataifa
Ukisoma vizuri quran story zilizopo kwenye quran zinazungumzia mazingira ambayo Mohammad aliyajua tu (kwa kufika ama kusikia story zake). Mazingira ya mbali hayapo kwenye quran Maana alikuwa hajawai kufika na hakuwai sikia story zake. Maana ni mbali na uarabuni
Mfano matunda yaliyotajwa , wanyama waliotajwa kwenye quran, ndege waliotajwa kwenye quran, vyakula na mengineyo ni vya mazingira middle east tu ambayo Mohammad aliyaona ama aliyasikia kwa watu jirani zake
The Qur’an really speaks only of the animals found in the Arabian lands (midle east) , and only the plants and fruits that grow in that geography.”
Also Foods known in the ( midle east) Arabian lands such as figs, grapes, pomegranates, dates, olives, honey, onions, garlic, gherkin, etc. have also been used in various Qur’anic verses and examples for various topics…
Jiulize Why do animal, and fruit names not belonging to the arab land doesn’t indicated in the Qur’an?
Utapata jibu Prophet wrote these names which he saw in places he went and he heard story from other merchants .
Inshort prophet Mohammad had a dream
Nothing was going to stop him from making that dream come true…
He came up with Islam to gain political power and to unite his people under the rule of one goverment
Ukijiuliza swali hili
Why does the Quran not mention prophets in America, Australia, Asia, Northern Europe, China, Japan, or South Africa?
Jibu litakalokujia kichwani haraka haraka ni hili
Because the writers of the Qur'an would not have been aware if these lands. Islamic religion is invented in one small area of the world (arabs land) which is why quran, hadith, & sunnah text only mentions things happen in that area only
Una hoja tena nzito
Halafu Biblia ni kitabu chenye historia hata ya Ulimwengu wote
Mtu Kama Sir Isack Newton alichambua kitabu Cha Daniel vizuri Sana
Kupitia Biblia unakutana na Unabii wa Tawala za Alexander mkuu, vitu Kama hivi huwezi kukuta kwenye Quran
Kitu kingine ambacho nakipenda kwenye Biblia ,mfano kitabu Cha ufunuo kimetabiri kabisa Super power atakuwa U.S.A,
Miaka ya 80-90 ,watu walikuwa hawaamini Biblia inapotabiri mnyama wa 2 ambaye Ni U.S.A kuwa atakuwa Super power ,wakiangalia USOVIET USSR ilivyokuwa na nguvu .
Lakini Leo Nani atabisha U.S.A Sio Super power?
USSR ilisambaratishwa
Biblia ni kitabu kitamu Sana , Nimesoma Quran Sana tu ni kitabu hakieleweki, kinajichanganya, hakina Tumain lolote kwa mwanadamu
Nina shuhuda Zaidi ya 10000 za Biblia Ni kitabu Cha Mungu wakweli.
Aisee iacheni Biblia tu, Ni vile matapeli Kama mwamposa ,n.k wanaitumia vibaya kutapelia,
Lakini Biblia ina maajabu mengi sana
Hivi muarabu ndio atakuwa na matini ya Injili ya Wayahudi?[emoji23][emoji23]
Yesu alikuwa na wanafunzi hao ndio waliandika habari zake.
Sio Yesu tuu hata Mtume alikuwa na maswahaba na ndio walioandika hiyo Quran.
Hoja zilizopo pale juu hamjazijibu hata Moja, mnarukia matawi juujuu kama ngedere.
Pedophilia alikuwa anaandikiwa na Kuna kisa alieandika akasema Muhammad hajui chochote nilichoandika , jamaa baada ya kusema hivyo akafa kifo Cha kutatanishaPoint Of Correction.Hujui Vizuri Kuhusu Uislamu.Mtume Muhammad (S.A.W)Habari Zilizoandikwa Kwenye Qur'an Sio Alizozisikia Wakati Akiwa Safarini Wala Hakuwa Akiandika Vitu Kwa Matakwa Yake.Vitu Vyote Vilivyomo Kwenye Qur'an Mtume Alishushiwa Na Allah Kupitia Malaika Jibril.Habari Kuhusu Manabii Walopita Na Kila Kitu
Unataka kusema Aya za kusema wanawake wakajitoe kwa Muhammad apige machine bila ndoa ni Allah kaandika?Point Of Correction.Hujui Vizuri Kuhusu Uislamu.Mtume Muhammad (S.A.W)Habari Zilizoandikwa Kwenye Qur'an Sio Alizozisikia Wakati Akiwa Safarini Wala Hakuwa Akiandika Vitu Kwa Matakwa Yake.Vitu Vyote Vilivyomo Kwenye Qur'an Mtume Alishushiwa Na Allah Kupitia Malaika Jibril.Habari Kuhusu Manabii Walopita Na Kila Kitu
Dudu yake alipata Aya za kutosha ,mpaka za wanawake wakajitoe kwake , Yani ni full ngonoHivi Muhammadi alileta fundisho gani Jipya ambalo haswa lilimfanya awe Mtume ?
Nasubiri Jibu.