Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Hivi Muhammadi alileta fundisho gani Jipya ambalo haswa lilimfanya awe Mtume ?

Nasubiri Jibu.
Kwani Yesu Alileta Fundisho Gani Jipya liliomfanya Awe Mtume.Kiufup Haihitaji Ulete Fundisho Ndo Uwe Mtu Mtume,Mtume Huteuliwa Na Mungu Kisha Ndo Hufundishwa Na Yeye Hufundisha.

Kwan Yesu Hakuwa Mtume Kabla Ya Kuleta Mafundisho (cjui Mnamuita Mungu,Ila Mm Namuita Mtume).Jibu Alikuwa Mtume Pale Alipozaliwa tu Hata Kabla Ya Kuanza Mafundisho.

Pia Mtume Muhammad(S.A.W) Hakuja Na Kitu Kipya Isipokuwa Ni Yale Yale Ya Kutoka Kwa Nabii Adam.

Pia Kama Yesu Alikuja Na Kitu Kipya Nambie Ni Kipi.Na Kama Kwel Kipo Basi Nitazidi Kuamini Katika Qur'an.kwan Iweje Adam Awe Na Mafundisho Yake Na Yesu Awe Anafundisho Yake,Si Watu Watachanganyikiwa Sasa.Kipya Labda Ni Hadithi Na Mitume Na Hizo Ni Hadithi Lazima Ziongezeke Kutokana Na zama.Ila Mafundisho Ni Yale Yale.Au Adam Alikuja Na Amri Kumi Zake,Selemani Alikuja Na Zake,Daud Zake n.k.Nieleweshe Hapo Nijue Mafundisho Gani Mapya Unayozungumzia
 
Unataka kubisha Muhammad hakuja na jipya kusema mapepo ni waislamu na kitabu Chao ni Koran?
 
Yesu alileta fundisho jipya kabisa na ni hili hapa.

Mosi.
Mathayo 5:43 Mmesikia kwamba imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako;

44 lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,

45 ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.

Pili.
Mathayo 22:37 Akamwambia, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote.

38 Hii ndiyo amri iliyo kuu, tena ni ya kwanza.

39 Na ya pili yafanana nayo, nayo ni hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako.

40 Katika amri hizi mbili hutegemea torati yote na manabii.

Nipo Nasubiri Fundisho Jipya la Muhammadi.
 
The BEST comment in this thread so far
 
Ke ulipigwa maswali nakumbuka mtu mmoja anaitwa @grandmillenial alikutwanga maswali heavy ukabaki unajinga'ta tu umeishiwa hoja kiujumla.

Nimemuita ngona aje
 
Ke ulipigwa maswali nakumbuka mtu mmoja anaitwa @grandmillenial alikutwanga maswali heavy ukabaki unajinga'ta tu umeishiwa hoja kiujumla.

Nimemuita ngona aje
Sheria ya Jamii Forum hakuna kutajana majina halisi.
Hata kama unamtambua anayetumia ID flani, usi mu expose.

Tutakufungia kwa kuvunja kanuni
 
Hili la kusema Nyerere alikuwa anasema ameota tukio fulani sehemu fulani kumbe kaona kwenye TV ni uongo na sijui kwanini unalazimishwa kuwa kweli tena na watu werevu kabisa!

Sent from my BBF100-6 using JamiiForums mobile app
 
Unasema Umesoma sana Quran Nn Ulichosoma.Hakuna Alosoma Vizur Kisha Aone Haieleweki.
Sasa Quran ina maajabu gani?

Unaweza kunipa hata unabii wowote wa kustaajabisha wa Quran?

Mimi Nakupa mfano huu hapa wa unabii wa Tawala za Ulimwengu ambao ulisemwa na Biblia ambao umedumu Hadi leo,

Kuinuka na kuanguka kwa falme nne zilizotawala dunia:
Babeli, Umedi na Uajemi, Uyunani na Rumi. (Danieli 2,7,8.)


QURAN inaweza kuelezea kitu Kama hiki?


 
Hii ndio biblia unayo hiamini ?

Isaya 23:17
[17]Hata itakuwa mwisho wa miaka sabini, BWANA ataizuru nchi ya Tiro, naye atarudi apate ujira wake, atafanya ukahaba pamoja na falme zote za ulimwengu juu ya uso wa dunia.

Tatizo Ni wewe kutokuelewa ,hii sio Quran

Mungu amekuwa akiliita Taifa teule mke /bikira Safi , wanapoasi waliitwa Kahaba

Kwenye Biblia Hasa vitabu vya unabii most ni codes
 
KKKT kuna cheo cha mwenyekiti wa usharika mkuu mbona sijawahi kukisikia??
 
Hakina shaka huku wanaokiamini wakikitetea kwa njia ya umwagaji damu?!yule Salmon Rushidie mmemuwinda wee kama vile jambazi aliyevujisha siri za majambazi wenzie na mwishowe baada ya dua kushindwa mmemwendea na bisu naweza kukubaliana na wewe kwamba ni mfumo wa maisha ila si wa kimungu.Hata panya road wana mfumo wao na ukienda tofauti nao you will be in hectic.

Sent from my BBF100-6 using JamiiForums mobile app
 
Ungejibu tu Kwanini yupo surah ya Tano anasema amekamilisha dini , surah zaidi ya 100 mbele ni za nini, alieandika alikuwa mjinga au waliochakachua na kupanga surah walikuwa wajinga
Quran imeteremka pole pole na kwa matukio pia nabii Muhammadi anasimuliwa matukio ya manabii waliopita hii kutokana na majanga na taabu aliyokuwa akiipata pindi anasambaza ujumbe wa ALLAH Kwa watu wapotofu Kwahy kutokana na vitimbi vyao ndipo Allah anapomsimulia visa vya manabii waliopita aone kuwa sio yeye pekeyake hata waliopita wameyapitia hayo mamb ndipo unakutana na visa vya MUSA IBRAHIMU YUSUFU ZAKARIA SULEIMAN.kwahy huo ndio msingi wa QURAN
 
Maneno yote katika QURAN ni maneno ya ALLAH

ALLAH alikuwa anamwambia Malaika JIBRIL then JIBRIL anamwambia nabii MUHAMMAD full stop
 
Maneno yote katika QURAN ni maneno ya ALLAH

ALLAH alikuwa anamwambia Malaika JIBRIL then JIBRIL anamwambia nabii MUHAMMAD full stop
Hii Aya anaongea nani.

Surah At-Tawubat Ayah 30

وَقَالَتِ ٱلۡيَهُودُ عُزَيۡرٌ ٱبۡنُ ٱللَّهِ وَقَالَتِ ٱلنَّصَٰرَى ٱلۡمَسِيحُ ٱبۡنُ ٱللَّهِۖ ذَٰلِكَ قَوۡلُهُم بِأَفۡوَٰهِهِمۡۖ يُضَٰهِ‍ُٔونَ قَوۡلَ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ مِن قَبۡلُۚ قَٰتَلَهُمُ ٱللَّهُۖ أَنَّىٰ يُؤۡفَكُونَ
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa..!
 
Bado nasubiri swali langu.

Muhammadi mnasema ni Nabii, ameleta fundisho gani Jipya ?
Hadi ajiite Nabii ?
 
QURAN MZIMA MANENO YOTE YAMETOKA KWA ALLAH KUPITIA KWA MALAIKA JIBRIL MPEKA UJUMBE KWA MANABII NDIO IKAMFIKIA NABII MUHAMMAD
 
Hivi Muhammadi anaye wafundisha watoto wadogo wa Kiislamu wawachukie Wayahudi na Wakristo kwani hao watoto wa Kiislamu walikosewa nini na Wayahudi na Wakristo ?

Surah Al-Maidat Ayah 51

۞يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ لَا تَتَّخِذُواْ ٱلۡيَهُودَ وَٱلنَّصَٰرَىٰٓ أَوۡلِيَآءَۘ بَعۡضُهُمۡ أَوۡلِيَآءُ بَعۡضٖۚ وَمَن يَتَوَلَّهُم مِّنكُمۡ فَإِنَّهُۥ مِنۡهُمۡۗ إِنَّ ٱللَّهَ لَا يَهۡدِي ٱلۡقَوۡمَ ٱلظَّٰلِمِينَ
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.*
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…