Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Usiongeze maneno kwa kutumia akili yako andiko lipo wazi kwa lugha nyepesi kabisa

Luka 2:7
akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng’ombe, kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.

Mtoto amevikwa nguo akalazwa katika hori sio kuzaliwa

Na Mariam amefika hapo baada ya kukosa nafasi nyumba ya wageni

Vipi kama angepata chumba katika nyumba ya wageni?

Mimi sifuati matamanio ya akili yako nafuata andiko linasema nini

Toa andiko linalosema Lebor ya Yesu ilikuwa sehemu gani ili Quran iliyosema Lebor ya Yesu ilikuwa chini ya Shina la mtende ionekane imedanganya
 
Kuna tofaut Surat maryam aya ya 22 ad 35 yesu au isaa kazaliwa chini ya mtendee

Weka hiyo Aya hapa ili watu wote wasome ili wajionee tofauti Kwa macho Yao huku Mimi nikionyesha hizo tofauti.

Huko juu nimeshaeleza kuwa Quran haijui Yesu alizaliwa Mkoa gani, bila Shaka hata tabia ya nchi ya eneo husika wasijue ikoje na inasapoti aina gani ya mimea.
 
Nipo nasubiri fundisho jipya la Muhammadi ili nisilimu, humu jamii Forum.
Nitaimba Shahada humu humu Jamii Forum.
Kwani Mafundisho Ya Zaman Kabla Ya Muhammad Unayajua Mpaka Unataka Mapya.Kama Unayajua Ya Zaman Basi Naweza Kukupa Mapya.Niambie Ya zaman Unayoyajua Mpaka Unaona Yamepitwa Na Wakati Unataka Mapya.
 

Kwa hiyo Kwa akili yako alikuwa amefika siku hiyohiyo na akajifungua siku hiyohiyo😂😂😂

Hizi akili za Plagiarism hizi
 
Majibu yako wazi nakujibu vyote
 
Kayapeleka wapi kwenye Qur'an tuoneshee

Issa, Musa, Daudi, yusufu, yakobo, N.k ni waarabu?

Kama umefika Chuo kikuu basi utajua Dalili au sifa za Plagiarism.

1. Kachukua wahusika wa Wayahudi
Kamtoa Musa kwenye Torati ya Wayahudi kamuweka kwenye visa vyake vya Quran kisha kafanya modification
Kamchukua Daudi na Suleiman kwenye Zaburi kampachika kwenye kitabu chake cha Quran.
Kamchukua Yesu akampa jina Issa kwenye Injili akamuweka kwenye Quran yake.

Kachukua Yona kwenye Visa vya manabii wa kiyahudi, akamuita Yunus na kumuweka kwenye Quran.

2. Kaiba Visa vya Wayahudi alafu kafanya modification.
Mfano, kisa cha Yesu/Issa
Kisa cha Yusufu
Kisa cha Musa na Kina Daudi.

Kitu pekee nilichoona Muhammad hajafanya Fair ni kumuacha kumuiba Mungu WA Wayahudi aitwaye Yehova ambaye ndiye aliyesimamia shoo zote tangu Ibrahimu mpaka Yesu, akamuweka mungu wake wa kiarabu aliyekuwa anamuabudu pale kwenye Alkaba aitwaye Allah.
 
Kwa hiyo Kwa akili yako alikuwa amefika siku hiyohiyo na akajifungua siku hiyohiyo[emoji23][emoji23][emoji23]

Hizi akili za Plagiarism hizi
Luka 2:7
akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng’ombe, kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.

Mtoto amevikwa nguo akalazwa katika hori sio kuzaliwa

Na Mariam amefika hapo baada ya kukosa nafasi nyumba ya wageni

Vipi kama angepata chumba katika nyumba ya wageni?

Mimi sifuati matamanio ya akili yako nafuata andiko linasema nini

Toa andiko linalosema Lebor ya Yesu ilikuwa sehemu gani ili Quran iliyosema Lebor ya Yesu ilikuwa chini ya Shina la mtende ionekane imedanganya

Hilo andiko hamna Umebaki unajiuma uma tu Bibilia imekuwa bubu kutaja Lebor ya Yesu ilikuwa wapi

Sio wewe tu hakuna kafiri yoyote katika Dunia hii anayeweza kuthibitisha kuwa Aya za Quran zimesema uongo
 
Hujanijibu mkuu apo umeleta hoja kwa kufanya comparison bible na quran yani wewe unaeijua bible je unajua lengo la vitabu mbali mbali kukusanywa ndani ya bible ?

Quran imekusanywa kwakufata utaratibu mzuri yani sifa yake ya kwanza watu walikaririshwa kwaiyo inavokusanywa walikuwa wanatafutwa watu tofauti waliohifadhi kwaiyo quran hata isingeandikwa ilikua ni ngumu kupotea yani kwa mtindo wake tu wa kuweza kuihifadhi na kuisoma na kusomwa katika swala zao ilikua ni ngumu kupotea kirahis kama uonavyo sasa mkiwaona wale watoto madrasa wakikalilishwa sura mbali mbali za quran mnawaona kama wajinga ila ndo haipotei kwa style iyo

Swali la kwanza: Muhammad alishushiwa aya za quran na aliwahifadhisha watu wake na kuwafundisha na kuwahusia waifate kwaiyo ilikuepo ila haikuwa written

Ila nimekugundua bado upo shallow sana huwezi kuitetea imani yako unatakiwa ukae chini uchimbe mambo kiundani achana na zile chuki ulizorithishwa na wazazi fungua akili anza kwanza kucompare dini yako na uyahudi then hamia uarabuni ukishaona bado unahoja

Usimdharau mtu kwa kile anachoamini jua kuwa kuna mtu muda huu yupo India anaabudu Ng'ombe
 
Tukitumia lile neno lenu la

"Hauna roho mtakatifu ndiyo maana haujaelewa hiyo aya"

tutakuwa tumekosea?
 

Aliyekuambia Quran imekusanywa vizuri ni Nani na kwa ushahidi upi unathibitisha maelezo yako?

Maana mtiririko wa visa na mpangilio wa Aya za Quran wenyewe unatosha kuifanya Quran isiaminike.

Hoja zangu kwenye Uzi huu Kule juu kabisa post no 1 bado hajatokea wa kujibu, kumaanisha hukumu ikitolewa mahakamani ni kwamba mpaka muda huu Quran imeangukia pua.
 

Wakili WA Quran naona unatangatanga, hujui hata unachokieleza!
Haya eleze kwa mujibu wa Quran sababu ipi ilimfanya Mariam azaliwe kwenye Mtende kama ilivyoeleza.

Alafu Mimi Wakili WA Biblia nakuwekea sababu za Yesu kuzaliwa Kwenye Hori la ng'ombe.
Soma;
Luka 2:4
Yusufu naye aliondoka Galilaya, toka mji wa Nazareti, akapanda kwenda Uyahudi mpaka mji wa Daudi, Bethlehemu, kwa kuwa yeye ni wa mbari na jamaa ya Daudi;

Luka 2:5
ili aandikwe pamoja na Mariamu mkewe, ambaye amemposa, naye ana mimba.

Luka 2:6
Ikawa, katika kukaa huko, siku zake za kuzaa zikatimia,

Luka 2:7
akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng’ombe, kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni
.

Biblia inajieleza wazi hapo,
Sio kwamba Mariam na Yusufu walifika Bethlehem alafu siku huyohuyo uchungu ukampata Mariam, isipokuwa Walikuwa katika kukaa huko Bethlehem, yaani wakukaa zaidi ya siku moja.

Usitake kuniambia Mariam na Yusufu hawakujua kuwa siku za kujifungua mtoto zimefika, huo utakuwa ni uongo.

Ndio maana eneo walilolipata ambalo ni kwenye Zizi la ng'ombe walikuwa wameliandaa Kwa dharura yoyote endapo ungejitokeza Mariam akajifungua.

Hata Yesu alizaliwa usiku, na Nyota ndio iliyowaongoza Mamajusi(wanajimu na wachungaji wa Kondoo waliokuwa porini) kufika usiku huohuo mahali alipozaliwa Yesu.

Embu tuambie Quran inatoa sababu ipi ya Yesu kuzaliwa Kwenye mtende?
Wakati Mariam anajifungua Yusufu alikuwa wapi?
Maana Quran inaeleza kuwa Mariam alikuwa mwenyewe.
 
Usimdharau mtu kwa kile anachoamini jua kuwa kuna mtu muda huu yupo India anaabudu Ng'ombe
Ng'ombe ni nyenzo ya muhimu kwa Allah Kwa ajili ya kufufulia wafu

Koran 2:73. Tukasema: Mpigeni kwa kipande chake (huyo ng'ombe). Ndivyo hivi Allah huwahuisha wafu; na anakuonyesheni Ishara zake ili mpate kufahamu.
 
Alivyo fanya Muhammad sio poa alitakiwa atoe acknowledgement
Yeye kafanya Plagiarism

Kaiba maandiko ya watu kafanya yake
Kwanza ujue Muhammad saw hajaiba yeye kashushiwa wahyi alaf vitabu vyote vipo ndani ya Quran injil zabur taurat ad suhfil ULA ya Ibrahim sasa cjui Muhammad kuna sehem kaandika maandish take kwenye Quran
 
Kwani Mafundisho Ya Zaman Kabla Ya Muhammad Unayajua Mpaka Unataka Mapya.Kama Unayajua Ya Zaman Basi Naweza Kukupa Mapya.Niambie Ya zaman Unayoyajua Mpaka Unaona Yamepitwa Na Wakati Unataka Mapya.
Kuna mahali mimi nimesema maandiko ya zamani yamepitwa na wakati ?

Unaposoma hoja hebu tuliza kichwa chako uielewe hoja ndio ujibu.


Muhammadi hana fundisho jipya.

Kama mdau alivyosema hapo juu, Andiko jipya la Muhamadi ni kuanzisha dini ya Majini Uislamu na kuwaingiza Waislamu.

Kumbuka Majini ndio yalikuwa ya kwanza kuwa Maislamu.

Halafu yakamlazimisha Muhammadi awe mtume wa dini yao ya kiislamu ili awe mtume wa watu.

Yalimlazimisha kuutangaza uislamu kwa nguvu kwa kumkaba na kumpiga nusu yamuue hadi alipo kubali kukariri yalichotaka asome. La yangemwulia mbali.

Ndio maana hayakujitambulisha kwa Muhammadi. Hiyo ni hila ya adui yoyote. Mwizi akija kuiba nyumbani kwako hajitambulishi. Mgeni mwema anajitambulisha.

Pili yakamwambia atangaze uislamu kwa nguvu ya Upanga kwa kuchinja wanao ukataa Uislamu na wanao uhama uislamu. Aya na hadithi zipo.

Katikati ya utume wa Muhamadi, Majini yakajifanya nayo yameusikia Uislamu na kuukubali, na kuanza kutangaza chuki za bila sababu kwa Wayahudi na Wakristo, na wasio waislamu.

Nitaendelea.
 
Bora KUABUDU jiwe tu kuliko allah
 
Waarabu na wayahudi weusi watatoana roho kugombania mabwana zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…