Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Halafu Nina Swali kwako.
Mungu wa wayahudi na wakristo ni sawa????
 
Embu jadili hoja hizo huko juu kwenye post no 1.
Maana Wewe naona unaleta mambo ya kijiweni.

Quran ikiwa mahakamani Kama Shahidi hauwezi kukubaliwa kwani ushahidi wake haujatimia. Alafu ni hearsay yaani inaandika mambo ambayo haiyajui
 
Injili
Torati
Zaburi
Zote Quran umefanya plagiarism alafu inafanya pia Forgery
Hapo ushafeli .
Qur'an hauna sehem imefanya plagiarism bali Qur'an imejaa Visa vya mitume walokuja kabla ya Muhammad (s.a.w) Ila Qur'an yenyewe Ina Visa vyake na sheria zake ambazo ni tofauti na vitabu ulivyotaja.
 
Embu jadili hoja hizo huko juu kwenye post no 1.
Maana Wewe naona unaleta mambo ya kijiweni.

Quran ikiwa mahakamani Kama Shahidi hauwezi kukubaliwa kwani ushahidi wake haujatimia. Alafu ni hearsay yaani inaandika mambo ambayo haiyajui
Huna unachokijua kuhusu Qur'an.
Tafuta misingi ya Qur'an ndio ulete huu ubishani was kipuuzi.
 
Versions of the Bible

Kaka hawa hawana walijualo.
Mtu anamwambia Qur'an inasema Suleyman anafuga majini ilhali Qur'an imeeleza Suleyman alikua mfalme aneongoza viumbe wote mpk majini na upepo na ndege.
Hawa jamaa ni wa kuwapuuza.
 
Alikuwa anayatumia kwa kazi zake
Kumbuka story ya Suleiman Muhammad kaiba kutoka fairy tale stories za Wayahudi
Kupaa na zulia , kuwa na jeshi la ndege ,kuongea na siafu n.k
 
Hapa hatuangalii kina Nani wanasema, kinachojadiliwa ni vitabu viwili kuvipima,
Sasa Quran tumeipima hata Wewe ni shahidi tumeona imepungua na zaidi ya yote umefanya utapeli wa kuiba kazi za wengine
Imepungua nini?
 
Kaka hawa hawana walijualo.
Mtu anamwambia Qur'an inasema Suleyman anafuga majini ilhali Qur'an imeeleza Suleyman alikua mfalme aneongoza viumbe wote mpk majini na upepo na ndege.
Hawa jamaa ni wa kuwapuuza.
Nimeshawajua naenda nao kwa muziki wao
 
Jambo lolote la uongo lazima uzunguke sana kulielezea nimekuambia

Toa andiko linalosema Yesu alizaliwa usiku kwenya hori la ng'ombe

Umeatoa mandiko kibao na bodo Hilo andiko linalosema Yesu amezaliwa usika kwenye hori la ng'ombe hakuna
Bali Kuna andiko Mtoto amelazwa katika hori la ng'ombe

Wapi alipozaliwa?

Kama uliyoongea huko juu ni ya kweli kuwa Yesu amezaliwa katika hori la ng'ombe toa Hilo andiko ili tujue kuwa hayo uliyoongea sio ya uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…