Kachengcheng
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,551
- 979
Sema kanisa lako usione aibu, pleaseJibu maswali yake acha makasiriko
Nikitaja kanisa ndio wewe utaweza kujibu? Swala la biblia tu umezunguka zunguka mpaka aibu , wewe tumia biblia Kati ya 1000 ulizo nazo tumia kabisa lolote Kati ya 1000 ujibu post number 1 Yani uhuru ni wakoSema kanisa lako usione aibu, please
Kwani kuna aibu gani kusema kanisa lako?Nikitaja kanisa ndio wewe utaweza kujibu? Swala la biblia tu umezunguka zunguka mpaka aibu , wewe tumia biblia Kati ya 1000 ulizo nazo tumia kabisa lolote Kati ya 1000 ujibu post number 1 Yani uhuru ni wako
Wewe uliye andika pia huna akili unacho kiandika hata hakieleweki kabisa nosense ulicho kiandika ni upuuuzi mtupukabisa.
Hapana mkuu huwezi kusema biblia ina hivyo vitabu ndani yake, nakumbuka nilikupa link ya uzi humu ambapo kumejadiliwa utata wa Musa kuwa ndio yeye aliyeandika kitabu cha Mwanzo ama si yeye na kumejaa utata kama huo.
Hapana mkuu huwezi kusema biblia ina hivyo vitabu ndani yake, nakumbuka nilikupa link ya uzi humu ambapo kumejadiliwa utata wa Musa kuwa ndio yeye aliyeandika kitabu cha Mwanzo ama si yeye na kumejaa utata kama huo.
Sasa tuambie wewe unatumia biblia ipi na unakwenda kanisa lipi ?Kama hiyo ndio hoja yako basi Sawa. Ila wafuatiliaji wa mjadala huu ukweli watabaki nao moyoni. HAO ndio majaji.
Ndiyo hapo juu umeleta Aya iliyokuwa plagiarized kutoka ndani ya biblia?
Na biblia unayotumia kuelezea mbona unakimbia kutuambia?
Umeleta Aya moja tu kutoka biblia kuthibitisha plagiarism unayosema ?Mkuu naomba kujua umefika walau elimu ya Diploma au Shahada ili nijue najadiliana na mtu wa Aina gani.
Isije nikakuweka kundi ambalo sio lako.
Hujui hata Plagiarism ilivyo?
Sasa tuambie wewe unatumia biblia ipi na unakwenda kanisa lipi ?
Hizo biblia kwani hutumiwa vilabu vya pombe ?Hapa inayojadiliwa ni Quran na Biblia sio Kanisa.
Alafu jibu hoja hata Moja Kati ya zilizowasilishwa ili ionekane nawe unahoja.
Kama huna hoja unasema ili tujue umekuja kuweka vibwagizo kwenye huu Uzi. Sio kosa kuweka vibwagizo humu
Umeleta Aya moja tu kutoka biblia kuthibitisha plagiarism unayosema ?
Hizo biblia kwani hutumiwa vilabu vya pombe ?
Tuambie wewe unatumia biblia ipi na unakwenda kanisa lipi ?
Usione aibu Please
Ndiyo hapo umeleta Aya moja kutoka biblia kuthibitisha plagiarism unayosema?Plagiarism;
the practice of taking someone else's work or ideas and passing them off as one's own
Ndivyo Muhammad alivyofanya kaiba Ideas na kazi za Wayahudi kafanya zakwake.
Hilo ndilo kanisa lako?Huu Uzi kwako mkubwa. Waachie waalimu wako.
Kwa kheri
Unekamatika , wewe uwezo wako ni copy paste na itakuwa umetafuta pa ku copy umekosa 😂😂😂Hilo ndilo kanisa lako?
Ndiyo hapo umeleta Aya moja kutoka biblia kuthibitisha plagiarism unayosema?
Ndilo kanisa lako hilo ? Hata kusema kanisa lako unaona aibu , unatafuta ubishi?Unekamatika , wewe uwezo wako ni copy paste na itakuwa umetafuta pa ku copy umekosa 😂😂😂
Aya hizo unazipata biblia ipi ?Wizi wa Muhammad
1. Kaiba wahusika wa kwenye maandiko wa kiyahudi akawaweka kwenye Quran akadai ati ameshishiwa hivyo visa.
Wahusika kama Ibrahimu, Yakobo, Yusufu, Musa, Daudi, Suleiman n.k
2. Kaiba baadhi ya visa vya wahusika HAO na kuwaweka kwenye Quran yake.
Ila kafanya modification/Forgery ili ionekane kashushiwa.