Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Qurani ni ngapi kwa hii dunia??nimeona Qurani mingi Sana!!🤔mpaka ya wanubi
 
Sema kanisa lako usione aibu, please
Nikitaja kanisa ndio wewe utaweza kujibu? Swala la biblia tu umezunguka zunguka mpaka aibu , wewe tumia biblia Kati ya 1000 ulizo nazo tumia kabisa lolote Kati ya 1000 ujibu post number 1 Yani uhuru ni wako
 
Kwani kuna aibu gani kusema kanisa lako?
 
Hapana mkuu huwezi kusema biblia ina hivyo vitabu ndani yake, nakumbuka nilikupa link ya uzi humu ambapo kumejadiliwa utata wa Musa kuwa ndio yeye aliyeandika kitabu cha Mwanzo ama si yeye na kumejaa utata kama huo.

Hakuna utata katika suala la uandishi wa vitabu vya Torati na mwandishi wake kuwa ni Musa. Hiyo iko hivyo
 
Ndiyo hapo juu umeleta Aya iliyokuwa plagiarized kutoka ndani ya biblia?

Na biblia unayotumia kuelezea mbona unakimbia kutuambia?

Mkuu naomba kujua umefika walau elimu ya Diploma au Shahada ili nijue najadiliana na mtu wa Aina gani.

Isije nikakuweka kundi ambalo sio lako.
Hujui hata Plagiarism ilivyo?
 
Umeleta Aya moja tu kutoka biblia kuthibitisha plagiarism unayosema ?
 
Sasa tuambie wewe unatumia biblia ipi na unakwenda kanisa lipi ?

Hapa inayojadiliwa ni Quran na Biblia sio Kanisa.

Alafu jibu hoja hata Moja Kati ya zilizowasilishwa ili ionekane nawe unahoja.
Kama huna hoja unasema ili tujue umekuja kuweka vibwagizo kwenye huu Uzi. Sio kosa kuweka vibwagizo humu
 
Hizo biblia kwani hutumiwa vilabu vya pombe ?

Tuambie wewe unatumia biblia ipi na unakwenda kanisa lipi ?
Usione aibu Please
 
Umeleta Aya moja tu kutoka biblia kuthibitisha plagiarism unayosema ?

Plagiarism;
the practice of taking someone else's work or ideas and passing them off as one's own

Ndivyo Muhammad alivyofanya kaiba Ideas na kazi za Wayahudi kafanya zakwake.
 
Ndiyo hapo umeleta Aya moja kutoka biblia kuthibitisha plagiarism unayosema?
 
Wizi wa Muhammad

1. Kaiba wahusika wa kwenye maandiko wa kiyahudi akawaweka kwenye Quran akadai ati ameshishiwa hivyo visa.
Wahusika kama Ibrahimu, Yakobo, Yusufu, Musa, Daudi, Suleiman n.k

2. Kaiba baadhi ya visa vya wahusika HAO na kuwaweka kwenye Quran yake.
Ila kafanya modification/Forgery ili ionekane kashushiwa.
 
Unekamatika , wewe uwezo wako ni copy paste na itakuwa umetafuta pa ku copy umekosa 😂😂😂
Ndilo kanisa lako hilo ? Hata kusema kanisa lako unaona aibu , unatafuta ubishi?
 
Wizi wa Muhammad

1. Kaiba wahusika wa kwenye maandiko wa kiyahudi akawaweka kwenye Quran akadai ati ameshishiwa hivyo visa.
Wahusika kama Ibrahimu, Yakobo, Yusufu, Musa, Daudi, Suleiman n.k

2. Kaiba baadhi ya visa vya wahusika HAO na kuwaweka kwenye Quran yake.
Ila kafanya modification/Forgery ili ionekane kashushiwa.
Aya hizo unazipata biblia ipi ?

Sema kanisa lako usione aibu please
 
Back
Top Bottom