Havipo.Sasa havipo au vimetiwa mikono?
Ni nani alovipoteza vitabu vya Allah ?Havipo.
Kwanza kuna majina tofauti yametumika kumzungumzia Mungu kwenye hayo maandiko ya wayahudi.Hatujaelewana , wayahudi hawajawahi kuwa na mungu anaitwa Allah
Apa ulisema yalitiwa mikono ! Ukaja kusema haviponachojua maandiko yaliyokuwa kwenye vitabu vya Torat, Zaburi na Injili yalitiwa mkono.
Kadri muda unavyopita watu huingiza upotovu kwenye maandiko ya kweli na ndio maana ilikuwa wanaletwa manabii kila baada ya muda ili kuwarudisha watu kwenye mstari.Ni nani alovipoteza vitabu vya Allah ?
Kama vitabu vya Allah havipo sasa turudi Kwa mtoa mada , majina yaliyoko kwenye vitabu vya biblia yalifikaje kwenye kitabu Cha allah?
Vitabu vyenyewe kwanza, havipo kwenye biblia kuna maandiko ambayo yametiwa mkono.Apa ulisema yalitiwa mikono ! Ukaja kusema havipo
Sasa havipo vyote vilivyotiwa mikono na ambavyo havijatiwa au inakuwaje
Aisee! Hivyo vitabu havipo tena, madai ya kwamba hivyo vitabu vipo kwenye biblia ni kwa wenye kuamini hivyo ila mimi nachojua maandiko yaliyokuwa kwenye vitabu vya Torat, Zaburi na Injili yalitiwa mkono.
Ungekuwa unakuwa kwenye mstariVitabu vyenyewe kwanza havipo kwenye biblia kuna maandiko ambayo yametiwa mkono.
Mimi nafwata Yesu wangu,Yesu mmoja👌aliyetabiriwa atakuja na alikuja!!!na atakuja tena!!! Huyo ndio Yesu ninaye mwamini!!!Sihitaji mahubiri yako mahubiri ya kudanganyana nenda ukafanyie kanisani na wakristo wenzako
Jibu swali nimekuuliza katika Hawa Yesu wawili wewe unamfuata Yesu gani?
Yesu wa kweli aliyetumwa na Mungu kwa ajili ya wana wa Israel
Mathayo 15:24 (KJV)
Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.
Yohana 17:3 (KJV)
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Yesu wa uongo aliyetengenezwa na Paulo ili kuwadanya watu na yeye ajipe utume
Tito 2:13 (KJV)
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;
Unaamini Hadith za vitabu vipi ?mimi nachojua maandiko yaliyokuwa kwenye vitabu vya Torat, Zaburi na Injili yalitiwa mkono.
Wewe unaamini huyu Yesu wa uongo aliyetengenezwa na Paulo ili kuwadanya watu na yeye ajipe utumeMimi nafwata Yesu wangu,Yesu mmoja[emoji108]aliyetabiriwa atakuja na alikuja!!!na atakuja tena!!! Huyo ndio Yesu ninaye mwamini!!!
Wwe unamwamini yupi Allah wa Waarabu???aliyeandikiwa kitabu Cha uongo na mtenda thambi yote Muhammad!!!
Wwe kwanza ujue WWE ni msaliti,Qurani ilisema aliyewacha dini yake na kuingia kwenye dini hiyo ya Uislamu ni msaliti!!![emoji102]
Kisha usiniletee domodomo Peleka mosque ukasome quran na wasifu kaaba wenzako!!
Rudini kwenye Mada , Kuna ndugu Yako uhuru anajichanganya msaidieWewe unaamini huyu Yesu wa uongo aliyetengenezwa na Paulo ili kuwadanya watu na yeye ajipe utume
Tito 2:13 (KJV)
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;
Huyu Yesu wa ukweli ambaye alitumwa na Mungu kwa ajili ya wana wa Israel wewe haumfati Wala hauamini maneno yeke na ndio maana umepatwa na kigugumizi kijibu swali
Yesu huyu wa kweli ni Muislam na hapa katika Yohana 17 anatoa shahada Yani anashuhudia kuwa Mungu ni mmoja na wewe siku utakayo liamini hili andiko itakuwa umeshakua Muislam kama Yesu uje tu msikitini tusali kama alivyo sali Yesu
Yohana 17:3 (KJV)
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Mada gani wakati mada imeshaisha kuwa hamuwezi kuiquetion Quran kwa maandiko yaliyochakachuliwa na hadithi za waganga wa kienyeji akina LukaRudini kwenye Mada , Kuna ndugu Yako uhuru anajichanganya msaidie
Hujajibu Swali hili umekimbiaSasa Lete ambayo hayajatiwa mikono.
Alafu ambayo yametiwa mikono taja waliotia mikono na walitia lini na wapi?
Hayo ndio mambo ya mahakamani.
Usitoe maneno ambayo huwezi thibitisha
Hata Bible ishasema katika ufunuo wa yohana kasome 22:18:19 wa2 walikua wanaongeza na kupunguza maneno ndio huo verse ikaongeaUnaamini Hadith za vitabu vipi ?
Ok wewe umethibitisha nini kwenye hayo maelezo yako kuhusu biblia? Maana umeipamba biblia kwa madai ya kwamba sijui vitabu vyake vimeandikwa na wahusika wenyewe pamoja na watu walishuhudia hayo matukio tofauti na Qur'an ambayo Muhammad hakuwepo kushuhudia hayo matukio kwamba kaiba hayo maandiko kutoka kwenye biblia ila hakuna ulichothibitisha.Sasa Lete ambayo hayajatiwa mikono.
Alafu ambayo yametiwa mikono taja waliotia mikono na walitia lini na wapi?
Hayo ndio mambo ya mahakamani.
Usitoe maneno ambayo huwezi thibitisha
Ila maisha ndio yalivyo kwamba unaweza kuonekana masikini kwa sababu hujitumi hufanyi kazi kwa bidii pamoja na kwamba wapo wenye kufanya kazi kwa bidii ila bado ni masikini vile vile.Ndio maana Africa itabaki Maskini milele. Kila kukicha ni kubishana DINI tu..Mara Ukristo Vs Uislamu, Quran Vs Biblia, Muhammad Vs Yesu..Akili za waafrika wengi ziko brainwashed na Udini.
We tend to glorify our differences more than those aspects that unifies us..
Mbaya zaidi walio tuletea hizo DINI wapo mbali kiuchumi na hawazi shiki hizo Dini zao, Kama sisi Waafrika tunavyo zing'ang'ania huku tukibaki maskini kiuchumi, kisayansi na kiteknolojia.
Poor mindsets!!
Unazungumzia hadithi gani?Unaamini Hadith za vitabu vipi ?