Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Ni nani alovipoteza vitabu vya Allah ?

Kama vitabu vya Allah havipo sasa turudi Kwa mtoa mada , majina yaliyoko kwenye vitabu vya biblia yalifikaje kwenye kitabu Cha allah?
Kadri muda unavyopita watu huingiza upotovu kwenye maandiko ya kweli na ndio maana ilikuwa wanaletwa manabii kila baada ya muda ili kuwarudisha watu kwenye mstari.
 
Apa ulisema yalitiwa mikono ! Ukaja kusema havipo

Sasa havipo vyote vilivyotiwa mikono na ambavyo havijatiwa au inakuwaje
Vitabu vyenyewe kwanza, havipo kwenye biblia kuna maandiko ambayo yametiwa mkono.
 
Aisee! Hivyo vitabu havipo tena, madai ya kwamba hivyo vitabu vipo kwenye biblia ni kwa wenye kuamini hivyo ila mimi nachojua maandiko yaliyokuwa kwenye vitabu vya Torat, Zaburi na Injili yalitiwa mkono.

Sasa Lete ambayo hayajatiwa mikono.
Alafu ambayo yametiwa mikono taja waliotia mikono na walitia lini na wapi?
Hayo ndio mambo ya mahakamani.
Usitoe maneno ambayo huwezi thibitisha
 
Sihitaji mahubiri yako mahubiri ya kudanganyana nenda ukafanyie kanisani na wakristo wenzako

Jibu swali nimekuuliza katika Hawa Yesu wawili wewe unamfuata Yesu gani?

Yesu wa kweli aliyetumwa na Mungu kwa ajili ya wana wa Israel

Mathayo 15:24 (KJV)
Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

Yohana 17:3 (KJV)
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Yesu wa uongo aliyetengenezwa na Paulo ili kuwadanya watu na yeye ajipe utume

Tito 2:13 (KJV)
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;
Mimi nafwata Yesu wangu,Yesu mmoja👌aliyetabiriwa atakuja na alikuja!!!na atakuja tena!!! Huyo ndio Yesu ninaye mwamini!!!

Wwe unamwamini yupi Allah wa Waarabu???aliyeandikiwa kitabu Cha uongo na mtenda thambi yote Muhammad!!!
Wwe kwanza ujue WWE ni msaliti,Qurani ilisema aliyewacha dini yake na kuingia kwenye dini hiyo ya Uislamu ni msaliti!!!👀
Kisha usiniletee domodomo Peleka mosque ukasome quran na wasifu kaaba wenzako!!
 
Mimi nafwata Yesu wangu,Yesu mmoja[emoji108]aliyetabiriwa atakuja na alikuja!!!na atakuja tena!!! Huyo ndio Yesu ninaye mwamini!!!

Wwe unamwamini yupi Allah wa Waarabu???aliyeandikiwa kitabu Cha uongo na mtenda thambi yote Muhammad!!!
Wwe kwanza ujue WWE ni msaliti,Qurani ilisema aliyewacha dini yake na kuingia kwenye dini hiyo ya Uislamu ni msaliti!!![emoji102]
Kisha usiniletee domodomo Peleka mosque ukasome quran na wasifu kaaba wenzako!!
Wewe unaamini huyu Yesu wa uongo aliyetengenezwa na Paulo ili kuwadanya watu na yeye ajipe utume

Tito 2:13 (KJV)
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;

Huyu Yesu wa ukweli ambaye alitumwa na Mungu kwa ajili ya wana wa Israel wewe haumfati Wala hauamini maneno yeke na ndio maana umepatwa na kigugumizi kijibu swali

Yesu huyu wa kweli ni Muislam na hapa katika Yohana 17 anatoa shahada Yani anashuhudia kuwa Mungu ni mmoja na wewe siku utakayo liamini hili andiko itakuwa umeshakua Muislam kama Yesu uje tu msikitini tusali kama alivyo sali Yesu

Yohana 17:3 (KJV)
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
 
Wewe unaamini huyu Yesu wa uongo aliyetengenezwa na Paulo ili kuwadanya watu na yeye ajipe utume

Tito 2:13 (KJV)
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;

Huyu Yesu wa ukweli ambaye alitumwa na Mungu kwa ajili ya wana wa Israel wewe haumfati Wala hauamini maneno yeke na ndio maana umepatwa na kigugumizi kijibu swali

Yesu huyu wa kweli ni Muislam na hapa katika Yohana 17 anatoa shahada Yani anashuhudia kuwa Mungu ni mmoja na wewe siku utakayo liamini hili andiko itakuwa umeshakua Muislam kama Yesu uje tu msikitini tusali kama alivyo sali Yesu

Yohana 17:3 (KJV)
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Rudini kwenye Mada , Kuna ndugu Yako uhuru anajichanganya msaidie
 
Rudini kwenye Mada , Kuna ndugu Yako uhuru anajichanganya msaidie
Mada gani wakati mada imeshaisha kuwa hamuwezi kuiquetion Quran kwa maandiko yaliyochakachuliwa na hadithi za waganga wa kienyeji akina Luka
 
Sasa Lete ambayo hayajatiwa mikono.
Alafu ambayo yametiwa mikono taja waliotia mikono na walitia lini na wapi?
Hayo ndio mambo ya mahakamani.
Usitoe maneno ambayo huwezi thibitisha
Hujajibu Swali hili umekimbia

Kwa hivyo haya maneno ya Paulo yote ni uzushi na ni uongo

Collosians2

16 Kwa hiyo msimruhusu mtu awahukumu kuhusu chakula au kiny waji, au juu ya kuadhimisha sherehe za dini, sikukuu ya mwezi mpya au siku ya sabato. 17 Maana hizi zilikuwa ni kanuni za muda tu au vivuli vya yale mambo ambayo yangekuja; lakini hakika ya mambo yenyewe ni Kristo
 
Ndio maana Africa itabaki Maskini milele. Kila kukicha ni kubishana DINI tu..Mara Ukristo Vs Uislamu, Quran Vs Biblia, Muhammad Vs Yesu..Akili za waafrika wengi ziko brainwashed na Udini.

We tend to glorify our differences more than those aspects that unifies us..

Mbaya zaidi walio tuletea hizo DINI wapo mbali kiuchumi na hawazi shiki hizo Dini zao, Kama sisi Waafrika tunavyo zing'ang'ania huku tukibaki maskini kiuchumi, kisayansi na kiteknolojia.

Poor mindsets!!
 
Sasa Lete ambayo hayajatiwa mikono.
Alafu ambayo yametiwa mikono taja waliotia mikono na walitia lini na wapi?
Hayo ndio mambo ya mahakamani.
Usitoe maneno ambayo huwezi thibitisha
Ok wewe umethibitisha nini kwenye hayo maelezo yako kuhusu biblia? Maana umeipamba biblia kwa madai ya kwamba sijui vitabu vyake vimeandikwa na wahusika wenyewe pamoja na watu walishuhudia hayo matukio tofauti na Qur'an ambayo Muhammad hakuwepo kushuhudia hayo matukio kwamba kaiba hayo maandiko kutoka kwenye biblia ila hakuna ulichothibitisha.
 
Ndio maana Africa itabaki Maskini milele. Kila kukicha ni kubishana DINI tu..Mara Ukristo Vs Uislamu, Quran Vs Biblia, Muhammad Vs Yesu..Akili za waafrika wengi ziko brainwashed na Udini.

We tend to glorify our differences more than those aspects that unifies us..

Mbaya zaidi walio tuletea hizo DINI wapo mbali kiuchumi na hawazi shiki hizo Dini zao, Kama sisi Waafrika tunavyo zing'ang'ania huku tukibaki maskini kiuchumi, kisayansi na kiteknolojia.

Poor mindsets!!
Ila maisha ndio yalivyo kwamba unaweza kuonekana masikini kwa sababu hujitumi hufanyi kazi kwa bidii pamoja na kwamba wapo wenye kufanya kazi kwa bidii ila bado ni masikini vile vile.
 
Back
Top Bottom