Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Ungekuwa unakuwa kwenye mstari
Havipo au vimetiwa mikono

Kwenye biblia maandiko uliyonayo original tuwekee ili tulinganishe na yaliyotiwa mikono
Ipo hivi ni kwamba hivyo vitabu havipo tena kwa sababu maandiko yake yalitiwa tiwa tiwa mikono hivyo hakuna tena hivyo vitabu, kwenye biblia kuna hayo maandiko ambayo yametiwa mkono ndani yake.
 
Ninyi ndio mnaweza kumchinja mtu kisa kachana Quran au Biblia Kwa kudhani amechana Kitabu cha ImaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ichokoze akili yako ifanye kazi.

Naona umetaka tutoke kwenye hoja kuu tujadili vitu vilivyonje ya Hoja
Kwako wewe kukataa hivyo vitabu kuwa vya kiimani unaona ni jambo la nje ya mada ndio maana unakuja na hoja za kusema Muhammad kaiba maandiko ya kwenye Torat na kufanya Qur'an ndio chanzo. Maana yake ni kwamba umekataa kuamini kwamba Qur'an si maneno ya Muhammad na kwamba ni ya Mungu(Allah) kupitia kwa Muhammad. Kwa mazingira kama hayo tunajadili vp hoja zako?
 
Ila maisha ndio yalivyo kwamba unaweza kuonekana masikini kwa sababu hujitumi hufanyi kazi kwa bidii pamoja na kwamba wapo wenye kufanya kazi kwa bidii ila bado ni masikini vile vile.
Maisha ndivyo yalivyo kwa waafrika kubishana DINI. Na ndivyo yalivyo kwa wenzetu kuzidi kututawala kifikra kwa hizo hizo Dini..watu kazi hawafanyi ni kukesha makanisani na misikitini kuomba miujiza itokee waki ukemea Umaskini "Umaskini tokaaa".

The issue is, We cannot use prayers to replace our laziness.
 
Haha, bro umeandika vitu vingi lakini umesahau kuthibitisha about orgin ya hivi vitabu, kwanza ukisoma Biblia vizuri na ukaichambua kwa ufasaha huwezi kuta kuna neno Biblia limejirudia ndani yake, maana nachojua mimi ukisoma fasihi Jina lazima lisadifu yaliyomo ndani, Asilia ya jina Bible ni na kigiriki lenye maana Baka la mti kwahio kitabu chochote kilichotengenezwa kwa baka la mti kingepewa jina la bible. Kisha fikiria kulikua na uhusiano gani wa wagiriki na wayahudi mpaka kitabu kikapewe jina Ugiriki jina ambalo lina maana haiusiani asa na kilichomo lakini soma Qur-an ni aya ngapi zimerudia neno Qur-an ndani yake. Okay kitu kingine ni uthibitisho hii namaanisha mwenye kitabu lazima athibitishe kua ni chake lazima ujue asili ya kitabu ni nini, kwa miaka niliosoma Bible hakuna aya hata moja Mwenyezi mungu anathibitisha kua anakijua kitabu kinaitwa Biblia na kwamba tukitumie sisi wanadamu kwa manufaa yoyote hakuna hii inamaana kua hakitambui, maana mwenyezi mungu kutupa uongofu lazima atupe na ufahamu kua ni vitu gani tunavifata kama msingi wa maisha na kwa hivo Biblia hajaitaja kabisa lakini hii ni big difference from the Qur-an tazama aya na mtiririko wote anathibitisha Allah Subhana wataala kua ni kitabu chake na kisichoshaka ndani yake Masha Allah. Hata tukirudi darasani kwa waliosoma General studies High school kama umeisoma Philosophy kwenye relevation inasema kulikua na Wahyi ambao ni Ujumbe unatoka moja kwa moja kwa Mwenyezi mungu kupitia malaika n philosophy inasema alishushiwa mtume Muhammad(S.A.W) mbona haikuongelea kuhusu Bible io inaonesha Bible ni udhaifu mkubwa sana sababu ni utunzi tu wa watu.
 
WWE ni bure kabisaπŸ˜‚πŸ˜‚
Nikuulize kwani Yesu alitamka jina Kiislamu mahali???ata hakusoma Quran akiwa kwa dunia na hakukutia ikiandikwa!!!πŸ‘Œ
Yesu sio muislamuπŸ‘Œ
Uislamu ni dini ya muunganisho ya miungu ya Muhammad!alizaliwa na Akapata wachristiano na hapakuwa muislamu ata mmojaπŸ‘Œ

Sahih Muslim 1769a~Muhammad alisema
Atawafukuza Wana Jews na wachristiano kutoka Saudi Arabia peninsular na hataacha yeyote isipokuwa awe muislamuπŸ‘Œ
Quran Surah3:35Yesu alikuwa Hana thambi yeyote!!!
πŸ‘†Hio inaonesha kuwa Yesu kweli alikuwa msema kweli na mtoto wa Mungu kwasababu yeye mwenyewe kasema hivyo!

Bibilia John 3:16Yeyote atakaye mwamini Yesu mwanangu wa kweli ataupokea uzima wa milele!!!
John 14:6 Yesu kasema,Mimi ndimi njia,ukweli na uhai,hakuna atakaye fika kwa Babake kama hajapitia kwake!!
 
WWE unaamini Allah mwenye mikono mitatu na magoti moja Kama. Ambavyo imeandikwa kwenye Quran
Kweli kabisa WWE unafuataπŸ’€
Alafu ndio maana muhamad mwenyewe kaandika utopolo mtupu ebu cheki
Quran;
Sahih Muslim 1405d~Fanya tendo la ndoa la kulazimisha(rape) kwa mateka wanawake kabla hamjawaachilia kurudi makwao😭shetani ashindwe!!!!
 
Jibu hii
Hivi huyu aliyemlilia Mungu wa kweli ni Yesu?
Elloi Eloi lamma sabbakhtani

Mungu wangu mbona umeniwacha??
 
Jibu hii
Hivi huyu aliyemlilia Mungu wa kweli ni Yesu?
Elloi Eloi lamms sabbakhtani

Mungu wangu mbona umeniwacha??
ndio ni nguvu zake Mungu!!!Mungu mwenyewe Kama binadamu!!!πŸ‘Œ
Wwe Nikuulize uko sure unamwamini Nani huyo Allah???
Allah wa Muhammad,Muhammad mtenda thambi yote!!na akaandika uongo kwenye Quran!!!akijisifia yye na miungu ya Waarabu!!πŸ‘€
 
Ipo hivi ni kwamba hivyo vitabu havipo tena kwa sababu maandiko yake yalitiwa tiwa tiwa mikono hivyo hakuna tena hivyo vitabu, kwenye biblia kuna hayo maandiko ambayo yametiwa mkono ndani yake.
Mpaka Sasa umeshindwa kuthibitisha
Kwa kuweka original na iliyotiwa mikono
Kwa hiyo madai Yako tunayatupa Kwenye dustbin

Sasa Rudi ujibu hoja za mada
 

Embu twambie kwann unashindwa kutumia kauli nyepesi na kwa hoja nzuri unatumika Lugha chafu na Kali kwa Dini ya wenzio?
 
Ebu mtu anifahamishe/anisomeshe mbona niwache Bibilia yangu niichukue Quran???
Ikiwa Muhammad mwenyewe katambua Bibilia,kasema unapokitafuta kitu kwenye Quran ukikose ukitafute kwenye Bibilia!!πŸ‘Œ
Quran yenyewe kaandikwa eti Muhammad kaandika uongo ambayo Allah wake hakumwambia???
Muhammad mwenyewe kaharibu viungo vya mtoto Aisha,kalala naye akiwa 6yrs!!!!!kaoa pia Bibi ya mtoto yake!!
Muhammad alinakili stori za maana kutoka kwenye Bibilia nakuongeza yake ili aandike Quran,ndio maana kwenye Quran utapata vitu zengine za kweli na zengine utopolo wa uongo na ambayo ni ya aibu!!!
Hebu nijue naweza aje kumwamini Muhammad na Quran yake Mimi mtu mzima????πŸ‘€
 
We mkenya Muhammad hakujua kusoma Wala kuandika,atanakili vipi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…