Wewe unaamini huyu Yesu wa uongo aliyetengenezwa na Paulo ili kuwadanya watu na yeye ajipe utume
Tito 2:13 (KJV)
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;
Huyu Yesu wa ukweli ambaye alitumwa na Mungu kwa ajili ya wana wa Israel wewe haumfati Wala hauamini maneno yeke na ndio maana umepatwa na kigugumizi kijibu swali
Yesu huyu wa kweli ni Muislam na hapa katika Yohana 17 anatoa shahada Yani anashuhudia kuwa Mungu ni mmoja na wewe siku utakayo liamini hili andiko itakuwa umeshakua Muislam kama Yesu uje tu msikitini tusali kama alivyo sali Yesu
Yohana 17:3 (KJV)
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.