Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Mkuu em pangilia hoja zako ueleweke.
Sijaelewa chochote hapa
 
Sijaona pedo hapo. Na hilo ni vazi la watu wa huko enzi hizo. Sio vazi la kiimani.
Halafu huyo sio yesu.
Ile picha inayobandikwa makanisani inamaana yule sio yesu? Halafu kumbe yesu nae alikuwa anafuga ndevu,

Nashangaa Hawa wanaume wa kiyaudi na bongo wanakwangua ndevu zote
 
Hata wewe umeandika hearsay, hukuwepo wakati huo wa Muhammad wala wakati wa Yesu.

Vitabu vipo mahakamani, hoja zishatolewa hapo zinatakiwa kupingwa Kwa hoja.

Naona watu wanaropoka tuu hawajui kuwa tupo mahakamani na watu ndio majaji.

Nataka watu wakupangua hoja nilizozianisha hapo juu. Hoja kuu ni Quran ni Hearsay, inaelezea vitu ambavyo yenyewe imesimuliwa. Yaani haujui hata inachokielezea na haina uhakika nacho.

Quran inaandika mambo Jerusalem wakati yenyewe ipo Makka na madina huko arabuni na haijawahi kufika Jerusalem.

Huoni hiyo tuu inatosha kuona haipaswi kuaminiwa
 
Mkuu em pangilia hoja zako ueleweke.
Sijaelewa chochote hapa
Huwezi fananisha bible na qur an, hata hoja alizoleta mtoa mda ni uongo.

Sikia, qur an inasadifu yaliyopita, bible imetungwa kwa kuongeza na kupunguza maneno ya torati, zaburi na injili.

Sasa utasema kwamba aliyeandika bible kaona kaishi vipind vyote wakati qur an ishadifu vipind vyote vya nyuma.
 
Akitokea muislam anayejibu kwa Hoja na kupangilia hoja zake kisomi nishtueni...Maana mpaka hapa ni kama waliokuja wote wameishia elimu ya madrassa tu.
Hatuwezi tukabishana maane hata elimu hauna !! Kama hutaki basiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚siwez kukulazimisha hata mi nikiamua kubisha, nabisha mpaka kesho
 
Ile picha inayobandikwa makanisani inamaana yule sio yesu?? Halafu kumbe yesu nae alikuwa anafuga ndevu,

Nashangaa Hawa mashoga wa kiyaudi na bongo wanakwangua ndevu zote
Hiyo picha ndo umeitoa kanisani?

Inawezekana yesu alifuga ndevu lakini hajawahi kulazimisha mtu amuige yeye. Ndevu ni utashi wa mtu, hazina maana yoyote kwenye dini ya kikristu, ni nywele kama mavuzi tu
 
Quran inasadifuje yaliyopita? Kwa ushahidi upi?

Biblia imetungwa kwa kuongeza na Kupunguza Torati na Injili. Sawa naomba uniwekee hapa hizo Torati, zaburi na Injili original ili nihakikishe kama madai yako ni ya kweli au uongo.
 
Leo nimekuelewa, watapinga na kukutukana ila huu uliouandika ni hakika na bayana. Quaran haina hoja zenye mashiko kuliko Biblia, Biblia ni maisha halisi ya mwanadamu duniani na mbinguni.
 

We ni mpumbavu niambie habari za adamu kweny bible nani kaandika niambie wapi yesu kaandika bible, kwa hoja zenu waliandika ni wanafunzi wake kama paulo! Je, wanafunzi wake walikuwepo kipind cha mussa, kipindi cha nabii adamu? Je hizo story wametoa wapi?

Mambo ya Jerusalem hata bustani ya Eden ambayo inasemekana ni Africa pia yote yapo. Qur an ni complete inasadifu vilivyopota vyote ila sio bible maana haipo kweny vitabu vya Mungu.


Swali niambie bible alishushiwa Nani hata hao wanaisrael hwaijui?
 
Hatuwezi tukabishana maane hata elimu hauna !! Kama hutaki basiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚siwez kukulazimisha hata mi nikiamua kubisha, nabisha mpaka kesho
Ndomaana sibishani nawewe. Mimi sipo kubishana nipo kuelimishana.

Akitokea mwenye elimu hapa tutaelimishana. Im sorry wewe huna elimu yoyote kuhusu uislam wako wala ukristo.
 

Sawa kama sijui chochote kuhusu hiyo Quran lakini hoja nilizozianisha hapo mahakamani Quran inatolewa Asubuhi na mapema.

Huwezi simulia hadithi za watu wengine ambao sio asili yako, hujawahi kuishi eneo Hilo, hujui utamaduni wao, hujui lugha Yao, hujawahi kuona hao unaowasimulia. Hata wanaokusikiliza wataona unahadithia simulizi ya uongo.

Nimetoa mfano, Quran inasema Yesu kazaliwa chini ya mtende alafu Biblia inasema Yesu kazaliwa kwenye hori/zizi la ng'ombe.

Aliyeandika kisa cha Yesu kwenye Biblia ni myahudi, anapajua Bethlehem alipozaliwa Yesu, anamjua Mariam mama yake yesu, alafu Muhammad yeye hapajui Bethlehem, sio myahudi , hajawahi kumuona Yesu wala mama yake Yesu.

Yaani Muhammad Hana tofauti na Mimi na Wewe katika habari za kumjua Yesu maana wote hatumjui na wote tunasimuliwa tuu.

Wewe utamsikiliza Nani Kati ya shuhuda wa tukio au Muhammad mambaye naye kahadithiwa tuu?
 
Aliyeandika Kitabu cha Genesis, kwenye Uumbaji, alikuwepo wakati wa Uumbaji?

Mbona Kama issue ni hearsay, Kwenye context ya Uumbaji, Bible ndio imejaa Hearsays za Kutosha.

Issue ya Adam na Eva, who was there? Hearsay

Note Mimi ni Mwenyekiti wa Usharika KKKT, Usije ukasema Mimi Mvaa Kobaz
Ila nimejaribu kuwa Objective
 
Bible imeandikwa na wayahudiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bible imeandikwa na wayahudiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ebu wambie mlevi huyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…