inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Ndiyo Aya ya Quran iliyokopiwa na Muhammad hii!?Walikuwa wanamwambia hawakukaa kimya Muhammad alikuwa anaweka mpaka tales of ancients kwenye Koran ,
Koran 8:31 When Our Signs are rehearsed to them, they say: "We have heard this (before): if we wished, we could say (words) like these: these are nothing but tales of the ancients."
Tuwekee aya moja tu iliyokopiwa kutoka bibliaKoran Muhammad alikuwa analazima iimbwe kama mashahiri yenye kuishia na kina kimoja kama rap song
Alichofanya ni kichukia kisa kizima kutoka vitabu vya wayahudi akalazimisha ziwe verse zinaishia kina kimoja
Mfano unakuta kwenye Koran Allah na shetani wanaongea wanaishia na kina kimoja, jiulize shetani alijuaje wanatakiwa waishie kina kimoja , kama ai utunzi wa Muhammad 😂
Ushakimbia kwenye hoja za msingi umekuja kwenye vina...sura ngapi Zina vina kwenye Qur'an katika sura ngapi za Quran nzima!?Koran Muhammad alikuwa analazima iimbwe kama mashahiri yenye kuishia na kina kimoja kama rap song
Alichofanya ni kichukia kisa kizima kutoka vitabu vya wayahudi akalazimisha ziwe verse zinaishia kina kimoja
Mfano unakuta kwenye Koran Allah na shetani wanaongea wanaishia na kina kimoja, jiulize shetani alijuaje wanatakiwa waishie kina kimoja , kama ai utunzi wa Muhammad 😂
Hakuna chini ya Jua myahudi aliwahi kusema uzeri ni mwana wa MunguHuyo myahudi msomi yupi!?.. Qur'an 9:30
Na mayahudi wanasema uzeri ni mwana was Mungu.na wakiristo wanasema masihi ni mwana wa Mungu.hiyo ndiyo kauli yao toka vinywa vyao.wanayaiga maneno ya waliokufuru kabla yao.
Hawa ndiyo unasema wamemfundisha Muhammad kutomshirikisha Mungu!?
Tuwekee aya moja tu iliyokopiwa kutoka bibliaHakuna chini ya Jua myahudi aliwahi kusema uzeri ni mwana wa Mungu
Nenda kasome dada utamkuta myahudi kamkuta Muhammad anamshirikisha Allah na jiwe jamaa akamwambia hiyo ni shirk , Muhammad akaamrisha wasifanye hivyo tena
Hakuna Watu Wanaoijuza Isreael Vizur Kama Wanazuoni Wa Kiislamu,Na Hakuna Sehemu Israel Ilipoelezewa Vizur Kama Kwenye Qur'an,Haujasoma Qur'an Na Wala Haujui Chochote.Hivi Unajua Kuwa Hiyo Israel Waislamu Ni wengi Kuzidi Hata Wakristu.Waislamu wako 17.8% ya Population Ya Israel Wakati Wakristo Ni Asilimia 2.0%.Huku dini Inayoongoza Kwa Watu Wengi Israel Ni Dini Ya Kijewish.Na Moja ya Mji Maarafu Wa Israel Nazareth(Mji Aliokulia Yesu)Ukiwa Na Waislamu asilimia 69%.Je? Ulikuwa Ukiyajua Haya Kabla.Nan Anaijua Israel Vizur Kati ya Mimi Muislamu Na ww Mkristo(Kafiri)?Muislamu au Quran haijui hata maana ya neno ISRAEL
Hiyo AyaHakuna chini ya Jua myahudi aliwahi kusema uzeri ni mwana wa Mungu
Nenda kasome dada utamkuta myahudi kamkuta Muhammad anamshirikisha Allah na jiwe jamaa akamwambia hiyo ni shirk , Muhammad akaamrisha wasifanye hivyo tena
Unakubali palikua na wayahudi Makkah/Madina na unadai wakimfundisha Muhammad,Ila hukubali kwamba wayahudi hao wakimfanya uzeri mwana wa mungu kwa mujibu wa Qur'an ya Muhammad aliyekuwepo Makkah na wayahudi!?...wayahudi waliabudu ndama wa dhahabu milimani wakitoka misri,haishangazi kusema uzeri mwana wa mungu,dogo Sana Hilo kwaoHakuna chini ya Jua myahudi aliwahi kusema uzeri ni mwana wa Mungu
Nenda kasome dada utamkuta myahudi kamkuta Muhammad anamshirikisha Allah na jiwe jamaa akamwambia hiyo ni shirk , Muhammad akaamrisha wasifanye hivyo tena
La ndama lipo kwenye vitabu vyao , unaweza kuonesha la uzerHiyo Aya
Unakubali palikua na wayahudi Makkah/Madina na unadai wakimfundisha Muhammad,Ila hukubali kwamba wayahudi hao wakimfanya uzeri mwana wa mungu kwa mujibu wa Qur'an ya Muhammad aliyekuwepo Makkah na wayahudi!?...wayahudi waliabudu ndama wa dhahabu milimani wakitoka misri,haishangazi kusema uzeri mwana wa mungu,dogo Sana Hilo kwao
Lipo kwenye Quran...wayahudi wa Makkah akina waraqa na wale ulodai wakimkosoa mtume kwa kukosea majina walikua wakimuabudu baba yake uzeriLa ndama lipo kwenye vitabu vyao , unaweza kuonesha la uzer
Hilo Muhammad katunga kwenye maandiko ya Wayahudi halipo , alafu kumbuka ata waliomuabudu ndama unajua Mungu alichowafanyaLipo kwenye Quran...wayahudi wa Makkah akina waraqa na wale ulodai wakimkosoa mtume kwa kukosea majina walikua wakimuabudu baba yake uzeri
Unawayawaya tu..Hilo Muhammad kamuona waraqa akifanya...Mimi sijali nini mungu aliwafanya water da dhambi,nachojali hapa wayahudi waliabudu ndama,hawashindwi kumpa mungu mtotoHilo Muhammad katunga kwenye maandiko ya Wayahudi halipo , alafu kumbuka ata waliomuabudu ndama unajua Mungu alichowafanya
QURAN MAANA YAKE NI MASHAIRI YA KIARABU USHAHIDI HUU HAPA
MAANA YA NENO QUR'AN TUNALIPATA HAPA CHINI
QUR'AN MAANA YAKE NI MASHAIRI YA KIARABU YENYE KUKARIRIWA NA MTU YEYOTE:
Qur'an 43:2 Naapa kwa Kitabu kinacho bainisha
Ufafanuzi wake
Kiarabu kilichotumiwa ni Qur'ani ambayo inamaana ya mashairi ya Kiarabu yenye maana ya kusomwa kwa kukaririwa kirahisi*
القرآن 43: 2 أقسم بالكتاب الذي يوضح
تعريفه
اللغة العربية المستعملة هي المصحف الذي يعني الشعر العربي الذي يعني التلاوة بالتلاوة:
View attachment 2403241
Swali lipo hakuna Alie lijibuHakuna Watu Wanaoijuza Isreael Vizur Kama Wanazuoni Wa Kiislamu,Na Hakuna Sehemu Israel Ilipoelezewa Vizur Kama Kwenye Qur'an,Haujasoma Qur'an Na Wala Haujui Chochote.Hivi Unajua Kuwa Hiyo Israel Waislamu Ni wengi Kuzidi Hata Wakristu.Waislamu wako 17.8% ya Population Ya Israel Wakati Wakristo Ni Asilimia 2.0%.Huku dini Inayoongoza Kwa Watu Wengi Israel Ni Dini Ya Kijewish.Na Moja ya Mji Maarafu Wa Israel Nazareth(Mji Aliokulia Yesu)Ukiwa Na Waislamu asilimia 69%.Je? Ulikuwa Ukiyajua Haya Kabla.Nan Anaijua Israel Vizur Kati ya Mimi Muislamu Na ww Mkristo(Kafiri)?
Uko sahihi Biblia Zinabadilishwa.Mfano Biblia za Mwanzo Kabisa Zilizoandikwa Kwa Lugha Aliyoongea Yesu.Biblia Za Kiaramaic Na Kiebrania.Mfano Song of Solomon 5:16 (Iliyoandikwa Kiebrania) Mtume Seleman Anasifia Kinywa Cha Mtume Muhammad(S.A.W) kuwa Kimejaa Maneno Matamu.Lakin Kwenye Translated Version Wakatoa Neno Muhammad.Biblia ipi unaizungumzia? Kuna ya wakatoliki, waorthodox, waprotestant n.k.
Humo pia kuna matoleo tofauti kuna King James Version, New King James Version, New International Version.
Kila siku wanafanya 'updated'.
Pia kuna New Revised Standard Version cha 2021. Kwa mtu mwenye akili ndogo atasema zipo sawa, ila kuna baadhi aya zimefutwa na nyingine zimebadilishwa kabisa.
Hapo kwenye matendo kuna mafundisho ya dini yanayoruhusu kuua anaye asi dini, na kuahidiwa thawabuMimi nachoamini ni kwamba Mungu hatawaadhibu waje wake kisa sio muislam au mkristo. Nachoamini ni matendo tu na kila upande kutokashifu upande mwingine basi.
Ifike wakati mada za hivi watu muachane nazo. Kuna mambo ya msingi ya kujadili kama 'taifa la jamiiforums'
Song of Solomon ni kitabu Cha Allah 😂😂Uko sahihi Biblia Zinabadilishwa.Mfano Biblia za Mwanzo Kabisa Zilizoandikwa Kwa Lugha Aliyoongea Yesu.Biblia Za Kiaramaic Na Kiebrania.Mfano Song of Solomon 5:16 (Iliyoandikwa Kiebrania) Mtume Seleman Anasifia Kinywa Cha Mtume Muhammad(S.A.W) kuwa Kimejaa Maneno Matamu.Lakin Kwenye Translated Version Wakatoa Neno Muhammad.
Neno Muhammad Limetafsiriwa Kuwa Ni Lovely.Wakati Nomino Ya Kipekee Haibadiliki.Neno Muhammadin Kwa Kiebrani Tafsiri Yake Ni Muhammad Na Kuna maana Yake wakati Ni Muhammadin na Sio Muhammad.Copy Hayo Maneno ya Kiebrania Paste Kwenye English Translator Uone Inaletaje,
Lakini kwenye Translated version za Biblia Imebadilika.Je ww Unaamini Biblia za Mwanzo za Kiaramaic na Kielbrania Au Ya Biblia Iliyotafsiriwa ya Kiingereza?
View attachment 2410250
Sasa utafanyaje matendo mema bila ya kufuata maelekezo kutoka kwa Muumba?Mimi nachoamini ni kwamba Mungu hatawaadhibu waje wake kisa sio muislam au mkristo. Nachoamini ni matendo tu na kila upande kutokashifu upande mwingine basi.
Ifike wakati mada za hivi watu muachane nazo. Kuna mambo ya msingi ya kujadili kama 'taifa la jamiiforums'
Tuwekee aya moja tu iliyokopiwa kutoka bibliaSong of Solomon ni kitabu Cha Allah 😂😂
Kuweni serious basi
Biblia za mwanzo zipo kama zilivyo hakuna mtu kabadili kitu ,
Nimekwambia alikuwa ana pewa kisa mfano Cha Yakobo, anaenda anatunga shahiri kuelezea kisa alicho copy kutoka kwa wayahudiTuwekee aya moja tu iliyokopiwa kutoka biblia