Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Walikuwa wanamwambia hawakukaa kimya Muhammad alikuwa anaweka mpaka tales of ancients kwenye Koran ,

Koran 8:31 When Our Signs are rehearsed to them, they say: "We have heard this (before): if we wished, we could say (words) like these: these are nothing but tales of the ancients."
Ndiyo Aya ya Quran iliyokopiwa na Muhammad hii!?
 
Koran Muhammad alikuwa analazima iimbwe kama mashahiri yenye kuishia na kina kimoja kama rap song

Alichofanya ni kichukia kisa kizima kutoka vitabu vya wayahudi akalazimisha ziwe verse zinaishia kina kimoja

Mfano unakuta kwenye Koran Allah na shetani wanaongea wanaishia na kina kimoja, jiulize shetani alijuaje wanatakiwa waishie kina kimoja , kama ai utunzi wa Muhammad 😂
Tuwekee aya moja tu iliyokopiwa kutoka biblia
Au kiswahili kimeanza kukupiga chenga?
 
Koran Muhammad alikuwa analazima iimbwe kama mashahiri yenye kuishia na kina kimoja kama rap song

Alichofanya ni kichukia kisa kizima kutoka vitabu vya wayahudi akalazimisha ziwe verse zinaishia kina kimoja

Mfano unakuta kwenye Koran Allah na shetani wanaongea wanaishia na kina kimoja, jiulize shetani alijuaje wanatakiwa waishie kina kimoja , kama ai utunzi wa Muhammad 😂
Ushakimbia kwenye hoja za msingi umekuja kwenye vina...sura ngapi Zina vina kwenye Qur'an katika sura ngapi za Quran nzima!?
 
Huyo myahudi msomi yupi!?.. Qur'an 9:30
Na mayahudi wanasema uzeri ni mwana was Mungu.na wakiristo wanasema masihi ni mwana wa Mungu.hiyo ndiyo kauli yao toka vinywa vyao.wanayaiga maneno ya waliokufuru kabla yao.
Hawa ndiyo unasema wamemfundisha Muhammad kutomshirikisha Mungu!?
Hakuna chini ya Jua myahudi aliwahi kusema uzeri ni mwana wa Mungu

Nenda kasome dada utamkuta myahudi kamkuta Muhammad anamshirikisha Allah na jiwe jamaa akamwambia hiyo ni shirk , Muhammad akaamrisha wasifanye hivyo tena
 
Hakuna chini ya Jua myahudi aliwahi kusema uzeri ni mwana wa Mungu

Nenda kasome dada utamkuta myahudi kamkuta Muhammad anamshirikisha Allah na jiwe jamaa akamwambia hiyo ni shirk , Muhammad akaamrisha wasifanye hivyo tena
Tuwekee aya moja tu iliyokopiwa kutoka biblia
 
Muislamu au Quran haijui hata maana ya neno ISRAEL
Hakuna Watu Wanaoijuza Isreael Vizur Kama Wanazuoni Wa Kiislamu,Na Hakuna Sehemu Israel Ilipoelezewa Vizur Kama Kwenye Qur'an,Haujasoma Qur'an Na Wala Haujui Chochote.Hivi Unajua Kuwa Hiyo Israel Waislamu Ni wengi Kuzidi Hata Wakristu.Waislamu wako 17.8% ya Population Ya Israel Wakati Wakristo Ni Asilimia 2.0%.Huku dini Inayoongoza Kwa Watu Wengi Israel Ni Dini Ya Kijewish.Na Moja ya Mji Maarafu Wa Israel Nazareth(Mji Aliokulia Yesu)Ukiwa Na Waislamu asilimia 69%.Je? Ulikuwa Ukiyajua Haya Kabla.Nan Anaijua Israel Vizur Kati ya Mimi Muislamu Na ww Mkristo(Kafiri)?
 
Hakuna chini ya Jua myahudi aliwahi kusema uzeri ni mwana wa Mungu

Nenda kasome dada utamkuta myahudi kamkuta Muhammad anamshirikisha Allah na jiwe jamaa akamwambia hiyo ni shirk , Muhammad akaamrisha wasifanye hivyo tena
Hiyo Aya

Unakubali palikua na wayahudi Makkah/Madina na unadai wakimfundisha Muhammad,Ila hukubali kwamba wayahudi hao wakimfanya uzeri mwana wa mungu kwa mujibu wa Qur'an ya Muhammad aliyekuwepo Makkah na wayahudi!?...wayahudi waliabudu ndama wa dhahabu milimani wakitoka misri,haishangazi kusema uzeri mwana wa mungu,dogo Sana Hilo kwao
 
La ndama lipo kwenye vitabu vyao , unaweza kuonesha la uzer
 
Lipo kwenye Quran...wayahudi wa Makkah akina waraqa na wale ulodai wakimkosoa mtume kwa kukosea majina walikua wakimuabudu baba yake uzeri
Hilo Muhammad katunga kwenye maandiko ya Wayahudi halipo , alafu kumbuka ata waliomuabudu ndama unajua Mungu alichowafanya
 
Unawayawaya tu..Hilo Muhammad kamuona waraqa akifanya...Mimi sijali nini mungu aliwafanya water da dhambi,nachojali hapa wayahudi waliabudu ndama,hawashindwi kumpa mungu mtoto
 
QURAN MAANA YAKE NI MASHAIRI YA KIARABU USHAHIDI HUU HAPA

MAANA YA NENO QUR'AN TUNALIPATA HAPA CHINI

QUR'AN MAANA YAKE NI MASHAIRI YA KIARABU YENYE KUKARIRIWA NA MTU YEYOTE:

Qur'an 43:2 Naapa kwa Kitabu kinacho bainisha

Ufafanuzi wake

Kiarabu kilichotumiwa ni Qur'ani ambayo inamaana ya mashairi ya Kiarabu yenye maana ya kusomwa kwa kukaririwa kirahisi*

القرآن 43: 2 أقسم بالكتاب الذي يوضح
تعريفه
اللغة العربية المستعملة هي المصحف الذي يعني الشعر العربي الذي يعني التلاوة بالتلاوة:

View attachment 2403241

Mwanafunzi wa Class Four Anauelewa mkubwa Kukuzidi.Hiv Mkuu Unajua Kusoma Kweli?

Qur'an 43:2 Naapa kwa Kitabu kinacho bainisha.

Unajua Maana Ya Kubainisha,Kubainisha Maana Yake Ni Kuweka Bayana.
Maana Ya Qur'an kuwa Ni Mashairi ya Kiarabu Yenye Kukaririka Inakujaje Kupitia Hiyo Aya(43:2).

Maana Ya Hiyo Aya Ni Kuwa Qur'an Ni Kitabu Kinachoweka Mambo Bayana.

Nahisi Unajua Kusoma Lakini Huna Uwezo Wa Kuchambua Hicho Ulichosoma Kina Maana Gani.
 
Hakuna Watu Wanaoijuza Isreael Vizur Kama Wanazuoni Wa Kiislamu,Na Hakuna Sehemu Israel Ilipoelezewa Vizur Kama Kwenye Qur'an,Haujasoma Qur'an Na Wala Haujui Chochote.Hivi Unajua Kuwa Hiyo Israel Waislamu Ni wengi Kuzidi Hata Wakristu.Waislamu wako 17.8% ya Population Ya Israel Wakati Wakristo Ni Asilimia 2.0%.Huku dini Inayoongoza Kwa Watu Wengi Israel Ni Dini Ya Kijewish.Na Moja ya Mji Maarafu Wa Israel Nazareth(Mji Aliokulia Yesu)Ukiwa Na Waislamu asilimia 69%.Je? Ulikuwa Ukiyajua Haya Kabla.Nan Anaijua Israel Vizur Kati ya Mimi Muislamu Na ww Mkristo(Kafiri)?
Swali lipo hakuna Alie lijibu
Tonaona Kuna mtu anaitwa yakub kwenye Koran ghafla anaanza kuitwa Israel Nini kilitokea mpaka jina likabadilika
Na Kwa kutumia Koran unaweza kutueleza maana ya jina Israel
 
Biblia ipi unaizungumzia? Kuna ya wakatoliki, waorthodox, waprotestant n.k.

Humo pia kuna matoleo tofauti kuna King James Version, New King James Version, New International Version.
Kila siku wanafanya 'updated'.

Pia kuna New Revised Standard Version cha 2021. Kwa mtu mwenye akili ndogo atasema zipo sawa, ila kuna baadhi aya zimefutwa na nyingine zimebadilishwa kabisa.
Uko sahihi Biblia Zinabadilishwa.Mfano Biblia za Mwanzo Kabisa Zilizoandikwa Kwa Lugha Aliyoongea Yesu.Biblia Za Kiaramaic Na Kiebrania.Mfano Song of Solomon 5:16 (Iliyoandikwa Kiebrania) Mtume Seleman Anasifia Kinywa Cha Mtume Muhammad(S.A.W) kuwa Kimejaa Maneno Matamu.Lakin Kwenye Translated Version Wakatoa Neno Muhammad.

Neno Muhammad Limetafsiriwa Kuwa Ni Lovely.Wakati Nomino Ya Kipekee Haibadiliki.Neno Muhammadin Kwa Kiebrani Tafsiri Yake Ni Muhammad Na Kuna maana Yake wakati Ni Muhammadin na Sio Muhammad.Copy Hayo Maneno ya Kiebrania Paste Kwenye English Translator Uone Inaletaje,
Lakini kwenye Translated version za Biblia Imebadilika.Je ww Unaamini Biblia za Mwanzo za Kiaramaic na Kielbrania Au Ya Biblia Iliyotafsiriwa ya Kiingereza?
20221108_124035.jpg
 
Mimi nachoamini ni kwamba Mungu hatawaadhibu waje wake kisa sio muislam au mkristo. Nachoamini ni matendo tu na kila upande kutokashifu upande mwingine basi.

Ifike wakati mada za hivi watu muachane nazo. Kuna mambo ya msingi ya kujadili kama 'taifa la jamiiforums'
Hapo kwenye matendo kuna mafundisho ya dini yanayoruhusu kuua anaye asi dini, na kuahidiwa thawabu
 
Uko sahihi Biblia Zinabadilishwa.Mfano Biblia za Mwanzo Kabisa Zilizoandikwa Kwa Lugha Aliyoongea Yesu.Biblia Za Kiaramaic Na Kiebrania.Mfano Song of Solomon 5:16 (Iliyoandikwa Kiebrania) Mtume Seleman Anasifia Kinywa Cha Mtume Muhammad(S.A.W) kuwa Kimejaa Maneno Matamu.Lakin Kwenye Translated Version Wakatoa Neno Muhammad.

Neno Muhammad Limetafsiriwa Kuwa Ni Lovely.Wakati Nomino Ya Kipekee Haibadiliki.Neno Muhammadin Kwa Kiebrani Tafsiri Yake Ni Muhammad Na Kuna maana Yake wakati Ni Muhammadin na Sio Muhammad.Copy Hayo Maneno ya Kiebrania Paste Kwenye English Translator Uone Inaletaje,
Lakini kwenye Translated version za Biblia Imebadilika.Je ww Unaamini Biblia za Mwanzo za Kiaramaic na Kielbrania Au Ya Biblia Iliyotafsiriwa ya Kiingereza?
View attachment 2410250
Song of Solomon ni kitabu Cha Allah 😂😂
Kuweni serious basi
Biblia za mwanzo zipo kama zilivyo hakuna mtu kabadili kitu ,
 
Mimi nachoamini ni kwamba Mungu hatawaadhibu waje wake kisa sio muislam au mkristo. Nachoamini ni matendo tu na kila upande kutokashifu upande mwingine basi.

Ifike wakati mada za hivi watu muachane nazo. Kuna mambo ya msingi ya kujadili kama 'taifa la jamiiforums'
Sasa utafanyaje matendo mema bila ya kufuata maelekezo kutoka kwa Muumba?

Tujiulize kila Nchi duniani ina katiba yake ambayo mwananchi anatakiwa aifuate ili aishi maisha mazuri
Na katika dini Mungu ametuletea Muongozo wa maisha yetu ili tuweze kuishi vizuri na kufanikiwa
 
Song of Solomon ni kitabu Cha Allah 😂😂
Kuweni serious basi
Biblia za mwanzo zipo kama zilivyo hakuna mtu kabadili kitu ,
Tuwekee aya moja tu iliyokopiwa kutoka biblia
 
Tuwekee aya moja tu iliyokopiwa kutoka biblia
Nimekwambia alikuwa ana pewa kisa mfano Cha Yakobo, anaenda anatunga shahiri kuelezea kisa alicho copy kutoka kwa wayahudi

Ndio unakuta anapwaya pakubwa kutoa maelezo ya kutosha unakuta anamtaja yakub mara ghafla anamtaja Israel bila Kuweka Yakub ilikujaje kuwa Israel ili uweze kuelewa itakupasa wewe gavana ukafungue biblia usome
 
Back
Top Bottom