Aya za Shetani
Surah Al-Baqarat Ayah 1
الٓمٓ
Alif Lam Mim.
(Hapa ni Majini yanaongea na hii ni lugha ya Majini.
Ni vile vitoto visharifu tu vinaweza kuitafsiri hii Aya, au Shehe Sharifu Majini, au mtoto wa Shehe Yahya hussein, au Mwislamu yoyote mwenye Majini. Kwakuwa wana majini lukuki ndani yao.
Mwislamu wa kawaida hata asome vipi hawezi kutafsiri hii Aya, ndio maana wameshindwa kuitafsiri kwa lugha ya Kiswahili kwenye qurani ya Kiswahili.
Maneno yanabaki hivyo hivyo iwe qurani ya Kiingereza Kiyunani au Kiswahili.
&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&
Surah At-Tawubat Ayah 29
قَٰتِلُواْ ٱلَّذِينَ لَا يُؤۡمِنُونَ بِٱللَّهِ وَلَا بِٱلۡيَوۡمِ ٱلۡأٓخِرِ وَلَا يُحَرِّمُونَ مَا حَرَّمَ ٱللَّهُ وَرَسُولُهُۥ وَلَا يَدِينُونَ دِينَ ٱلۡحَقِّ مِنَ ٱلَّذِينَ أُوتُواْ ٱلۡكِتَٰبَ حَتَّىٰ يُعۡطُواْ ٱلۡجِزۡيَةَ عَن يَدٖ وَهُمۡ صَٰغِرُونَ
Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet’ii.
(Hii Aya inawaamuru wawapige na kuwaua wasio mwamini Muhammadi na Allah wake tu basi, bila kufanya kosa lingine lolote.
ISIS, Boko haram na Al-qaida ndio wanao itekeleza kwa usahihi hii Aya.
&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&
Surah A-NajmAyah 19
أَفَرَءَيۡتُمُ ٱللَّٰتَ وَٱلۡعُزَّىٰ
Je! Mmemuona Lata na Uzza?
Surah A-Najm Ayah 20
وَمَنَوٰةَ ٱلثَّالِثَةَ ٱلۡأُخۡرَىٰٓ
Na Manaat, mwingine wa tatu?
Surah A-Najm Ayah 21
أَلَكُمُ ٱلذَّكَرُ وَلَهُ ٱلۡأُنثَىٰ
Je! Nyinyi mnao wana wanaume na Yeye ndio awe na wanawake?
(Hao ni watoto wa Allah ambao Muhammadi amewaambia waislamu wawa abudu. Na yeye aliwaabudu kipindi chote cha uhai wake.
&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&
Surah At-Tawubat Ayah 5
فَإِذَا ٱنسَلَخَ ٱلۡأَشۡهُرُ ٱلۡحُرُمُ فَٱقۡتُلُواْ ٱلۡمُشۡرِكِينَ حَيۡثُ وَجَدتُّمُوهُمۡ وَخُذُوهُمۡ وَٱحۡصُرُوهُمۡ وَٱقۡعُدُواْ لَهُمۡ كُلَّ مَرۡصَدٖۚ فَإِن تَابُواْ وَأَقَامُواْ ٱلصَّلَوٰةَ وَءَاتَوُاْ ٱلزَّكَوٰةَ فَخَلُّواْ سَبِيلَهُمۡۚ إِنَّ ٱللَّهَ غَفُورٞ رَّحِيمٞ
Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.
Hapa wanaambiwa wakisha maliza mwezi wa Marehemu Saidi Ramadhani (Mwarabu wa Madina) basi wawaue washirikina wote, bila sababu.
&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!
Hapa Allah anamwomba Yehova awa laani Wakristo na Wayahudi kwakuwa hawapendi.
Na hadi leo hii hajakubaliwa kwakuwa bado tupo na nguvu na baraka tele
&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&
Surah Al-Maidat Ayah 51
۞يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ لَا تَتَّخِذُواْ ٱلۡيَهُودَ وَٱلنَّصَٰرَىٰٓ أَوۡلِيَآءَۘ بَعۡضُهُمۡ أَوۡلِيَآءُ بَعۡضٖۚ وَمَن يَتَوَلَّهُم مِّنكُمۡ فَإِنَّهُۥ مِنۡهُمۡۗ إِنَّ ٱللَّهَ لَا يَهۡدِي ٱلۡقَوۡمَ ٱلظَّٰلِمِينَ
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.
Hapa Shetani anawaambia kuwa Maadui zao ni Wayahudi na Wakristo.
Yaani Mwislamu hata kama usipo mkosea na huujui hata huo uislamu, ukiwa tu ni Mkristo au Myahudi basi wewe ni adui wa Uislamu na mwislamu.
Vitoto vinafundishwa Madrasa siku zote kuwa maadui zenu ni Wakristo na Wayahudi.
Bila sababu yoyote ya msingi. Yaani Wabudha, Warastafariani, Wahindu, Wauza madawa ya kulevya, Wamomoni, Wafreemasons, Wailluminati Nk. Hao wote ni marafiki wa Uislam na waislamu.
Maadui zao ni Wakristo na Wayahudi tu basi.
Na kisa ni kuwa wana Vitabu vyao vya imani ambavyo Muhammadi havipendi. Yaani Shetani haipendi Biblia na wanao iweka kuwa kitabu chao. Hakuna sababu nyingine.
&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&
Surah Al-Djini Ayah 1
قُلۡ أُوحِيَ إِلَيَّ أَنَّهُ ٱسۡتَمَعَ نَفَرٞ مِّنَ ٱلۡجِنِّ فَقَالُوٓاْ إِنَّا سَمِعۡنَا قُرۡءَانًا عَجَبٗا
Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur’ani ya ajabu
( hii ni Aya ya kwanza, hii sura yote ni ya wenye dini ya Kiislamu. (Majini)
Yale yaliyomtokea Muhammadi pangoni yakampa kipondo nusu yachukie roho yake.
Na hayakumwambia Muhamadi wao ni akina nani.
Leo hii huko Madrasut watoto wadogo wa Waislamu wanakaririshwa Qurani kwa vipigo vikali kama alivyo fanyiwa Muhammadi kule pangoni.
Yaani wanakandwa hadi basi ili wasome, Ikraa Bismi Rabik kwa lazima, kama alivyo kandwa Muhammadi na Majini kule pangoni.
&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&
Leo hii waislamu wengi wanajua kuwa Allah ndio Yehova.
Ndio maana wako humu wanabishana kwa jasho na damu.
Leo hii unashangaa baadhi ya Waislamu wanaiponda Biblia, wanasema imetiwa mikono na ni feki.
Lakini wakijisahau kidogo tu wanasema Muhammadi ni mtume wa Mungu Yehova na ametabiriwa kwenye Biblia. (hiyo hiyo iliyo chakachuliwa)
Allah ni Shetani yaani Ibirisi Rusifa.
Ndio maana anawageuza walisujudie na kuliabudu jiwe Jeusi Aswadi la kule Maka.
Na kuwawekea sanamu za Mwezi na Nyota Misikitini ili wazisujudie.
Huo ndio utume wa Muhammadi wa Majini.
&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&
Sitaki ku plagiarise, haya maneno, machache nimeyatoa kwenye kitabu kizuri cha
Aya Za Shetani
By Salman Rushdie.
The Satanic Verse.
Siku nyingine nitatoa na kuzielezea Aya nyingine.
Kama umebahatika kuwa Mkristo baki hivyo hivyo.
Umejaaliwa na Mungu kupata Neema na Rehema zake bure kabisa.