Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

SASA BASI, kama kweli Injili ilitiwa MKONO, naomba mnijibu maswali yafuatayo.

1. Nileteeni Injili ambayo haijatiwa mkono iliyo teremshwa kabla ya Quran.

2. Nileteeni Taurat ambayo haijatiwa mkono iliyo teremshwa kabla ya Quran. Kumbuka mimi sina muda na aya za Quran kwasababu Quran sio BIBLIA - Mkusanyiko wa vitabu. Ipo wapi Taurat iliyo teremshwa kabla ya Quran na inayo thibitishwa na Injili?

3. Nileteeni Zaburi ambayo haijatiwa mkono iliyo teremshwa kabla ya Quran. Kumbuka mimi sina muda na aya za Quran kwasababu Quran sio BIBLIA - Mkusanyiko wa vitabu. Ipo wapi Zaburi iliyo teremshwa kabla ya Quran na inayo thibitishwa na Injili?
Wakikuletea hiyo isiyotiwa mkono usiache kuni tag nije kuisoma
 
Mkuu unataka nirudie mara ngapi,
Soma post za nyuma utaona nini Quran imepungua.

Kama hujui ilipopungua,
Niambie Kwa mujibu ya Quran hawa walizaliwa wapi?
Ibrahimu, Musa, Yusufu, Suleiman, Daudi Issa?
Na walikufa wapi? Wakiwa na miaka mingapi?

Alafu rudi juu ukasome Uzi huu unasema nini
1. Kwanza hufahamu kanuni za Mahakama,ungezifahamu usingekuja na maswali hayo.
Maana mfumo wa hukumu Uzingatia mfanano wa mashauri ya kesi zilizowai kutokea miaka ya nyuma sehemu mbalimbali ulimwenguni.

2. Quran inataja kuwa,aliyeteremsha Quran ndiye aliteremsha pia Torat na Injili.

نَزَّلَ عَلَيْكَ الْكِتَابَ بِالْحَقِّ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَأَنزَلَ التَّوْرَاةَ وَالْإِنجِيلَ

(AL I'MRAN - 3)
Amekuteremshia Kitabu kwa haki, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake. Na aliteremsha Taurati na Injili.

Sasa huko kuwa tu Quran,Torati na Injili zote zimeletwa na chanzo kimoja ni sababu tosha kwa Mahakama kufanya rejea kwenye mkapu wa vitabu (Biblia).

3. Lakini pia akilini mwako tambua kuwa Quran ni sawa na masomo ya Chuo kikuu na hiyo biblia ni sawa na masomo ya kufundishia watoto shuleni.
Usitegemee ufike chuoni eti ukute somo linaelezwa sawa na masomo ya shule ya msingi huko.
 
1. Kwanza hufahamu kanuni za Mahakama,ungezifahamu usingekuja na maswali hayo.
Maana mfumo wa hukumu Uzingatia mfanano wa mashauri ya kesi zilizowai kutokea miaka ya nyuma sehemu mbalimbali ulimwenguni.

2. Quran inataja kuwa,aliyeteremsha Quran ndiye aliteremsha pia Torat na Injili.

نَزَّلَ عَلَيْكَ الْكِتَابَ بِالْحَقِّ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَأَنزَلَ التَّوْرَاةَ وَالْإِنجِيلَ

(AL I'MRAN - 3)
Amekuteremshia Kitabu kwa haki, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake. Na aliteremsha Taurati na Injili.

Sasa huko kuwa tu Quran,Torati na Injili zote zolisere

Aliyeteremsha Torati, zaburi na Injili anaitwa Yehova/Yahwe/ Jehova Kwa Kiswahili "Niko ambaye Niko"

Alafu mungu wa Quran anaitwa Allah bado huoni kama kuna haja ya shauri kusikilizwa?

Sio kila kesi au shauri linalopelekwa mahakamani inatakiwa iwe na rejea au kesi zilizokwisha kutokea.

Embu pangua hoja kama Mwanasheria au wakili.
Pangua hizo shutuma
 
Aliyeteremsha Torati, zaburi na Injili anaitwa Yehova/Yahwe/ Jehova Kwa Kiswahili "Niko ambaye Niko"

Alafu mungu wa Quran anaitwa Allah bado huoni kama kuna haja ya shauri kusikilizwa?

Sio kila kesi au shauri linalopelekwa mahakamani inatakiwa iwe na rejea au kesi zilizokwisha kutokea.

Embu pangua hoja kama Mwanasheria au wakili.
Pangua hizo shutuma
Allah = Kiarabu
God = Kiingereza
Elah = Aramic
El Elohim=Hebrew
YHVH ( י הו). = Jews
Ellil-Enlil = Sumerian
Mungu = Kiswahili

Mpaka hapo kesi imefungwa.
Hatakuwa ni hakimu popoma tu atakaye endelea na kesi.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Nilitoa swali humu hakuna muislamu amethubutu kujibu
Yakub ni story Muhammad kaiba kutoka kwa wayahudi,ila yeye akaweka manjonjo yake
Unakuta anamtaja yakub mara ghafla anamtaja Israel bila kutuambia wasomaji ilikuwaje yakub akawa Israel
Je wewe kwa kutumia Koran unaweza kutuambia ilikuwaje yakub akawa Israel na Israel maana yake Nini?
Hayo maelezo nenda ukasome kwenye silabas ya chekechea ndiyo utayakuta hayo.Quran ni Chuo kikuu hakiwezi kurudia mambo ya shule za misingi huko.


Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mwenye sikio na asikie,mwenye kuona na aone,na kaidi aendelee kuwa kaidi..Mungu amekuleta katika kizazi hiki kwa kusudi hili Robert..You did your part..

Hauwezi kufika mbinguni wala kumuona Mungu bila kupitia njia ya christ,Jesus is the way and the only one to Heaven.Kuna mamilioni ya watu wataenda Jehanam kwa kukubali hadidhi za masimulizi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
YN 17

1 Maneno hayo aliyasema Yesu; akainua macho yake kuelekea mbinguni, akasema, Baba, saa imekwisha kufika. Mtukuze Mwanao, ili Mwana wako naye akutukuze wewe; 2kama vile ulivyompa mamlaka juu ya wote wenye mwili, ili kwamba wote uliompa awape uzima wa milele. 3Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma. 4Mimi nimekutukuza duniani, hali nimeimaliza kazi ile uliyonipa niifanye. 5Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako. 6Jina lako nimewadhihirishia watu wale ulionipa katika ulimwengu; walikuwa wako, ukanipa mimi, na neno lako wamelishika.7Sasa wamejua ya kuwa yote uliyonipa yatoka kwako. 8Kwa kuwa maneno uliyonipa nimewapa wao; nao wakayapokea, wakajua hakika ya kuwa nalitoka kwako, wakasadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyenituma.

NI WENYE KUAMINI TU KATIKA UZIMA WA MILELE (YAANI MUNGU NI WAPEKEE NA YESU NI MTUMWA (MTUME)WA MUNGU NDIYE ATAKAYE KUWA PAMOJA NA YESU.

Yn 17:3 SUV

Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.



Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mmeshikiwa akili eeee!.[emoji16][emoji16][emoji16]
Karibu ufundishwe Uislamu
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ

(AL-FAATIH'A - 1)
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.
الْحَمْدُ لِلَّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ

(AL-FAATIH'A - 2)
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote;
الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ

(AL-FAATIH'A - 3)
Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu;
مَالِكِ يَوْمِ الدِّينِ

(AL-FAATIH'A - 4)
Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo.
إِيَّاكَ نَعْبُدُ وَإِيَّاكَ نَسْتَعِينُ

(AL-FAATIH'A - 5)
Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada.
اهْدِنَا الصِّرَاطَ الْمُسْتَقِيمَ

(AL-FAATIH'A - 6)
Tuongoe njia iliyo nyooka,
صِرَاطَ الَّذِينَ أَنْعَمْتَ عَلَيْهِمْ غَيْرِ الْمَغْضُوبِ عَلَيْهِمْ وَلَا الضَّالِّينَ

(AL-FAATIH'A - 7)
Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Allah = Kiarabu
God = Kiingereza
Elah = Aramic
El Elohim=Hebrew
YHVH ( י הו). = Jews
Ellil-Enlil = Sumerian
Mungu = Kiswahili

Mpaka hapo kesi imefungwa.
Hatakuwa ni hakimu popoma tu atakaye endelea na kesi.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Allah sio God kwa Kiarabu wacha taqqiya zako.
God kwa Kiarabu ni illah.

Hebu soma shahada yako.

La illah = hakuna Mungu (God)

ilaa Allah = isipokuwa Allah

Mimi najua kiarabu mwanzo mwisho
Mungu wenu waislamu yaani illah anaitwa Allah.
Shame on You.
 
Jini ana umbile gani?
Hii hapa,

Ayubu < 2 >

2

1 Kulikuwa na siku wana wa Mungu walipokwenda kujihudhurisha mbele za BWANA. Shetani pia alikwenda kati yao kujihudhulisha mbele za BWANA. 2 BWANA akamuuliza Shetani, “umetoka wapi wewe?” Kisha Shetani akamjibu BWANA na kusema, “Natoka kuzunguka zunguka duniani, kutembea huku na huko humo.”

Huyo Shetani baba wa majini umeliona umbo lake?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Allah sio God kwa Kiarabu wacha taqqiya zako.
God kwa Kiarabu ni illah.

Hebu soma shahada yako.

La illah = hakuna Mungu (God)

illah Allah = isipokuwa Allah

Mimi najua kiarabu mwanzo mwisho
Mungu wenu waislamu yaani illah anaitwa Allah.
Shame on You.
Usiwe unanikurupukia mimi wewe.

Kuna sehemu yoyote nimesema Allah = God ?.

Mimi nimeonesha kuwa kila lugha ina namna yake ya kumtamka Mungu.

Sasa wewe sema God katika kiingereza ina maana gani?.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Usiwe unanikurupukia mimi wewe.

Kuna sehemu yoyote nimesema Allah = God ?.

Mimi nimeonesha kuwa kila lugha ina namna yake ya kumtamka Mungu.

Sasa wewe sema God katika kiingereza ina maana gani?.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Umesema hapa
Allah = Kiarabu
God = Kiingereza
Elah = Aramic
El Elohim=Hebrew
YHVH ( י הו). = Jews
Ellil-Enlil = Sumerian
Mungu = Kisw

Shame on you
Mungu wa Waislamu yaani illah
Anaitwa Allah.
 
Umesema hapa
Allah = Kiarabu
God = Kiingereza
Elah = Aramic
El Elohim=Hebrew
YHVH ( י הו). = Jews
Ellil-Enlil = Sumerian
Mungu = Kisw

Shame on you
Mungu wa Waislamu yaani illah
Anaitwa Allah.
God = Kiingereza na hakuna jina lingine mbadala wa neno God katika kiingereza.

Leta neno jingine lenye maana ya Mungu kwa lugha ya Kiingereza.

Na ukishindwa kuleta basi wewe jijue ni mjinga wa wajinga.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Watoto wa mama mdogo wanakera sana aisee tatizo la kumuabudu womanizer mtaalamu wa kuoa vitoto vya miaka 9 ndy hilo
Sio mtaalamu wa kuoa vitoto vya kike.
Bali mtaalamu wa kuharibu vitoto vya kike na wake za watu.

Alimtisha mke wa mtoto wake wa kufikia hadi akamwacha mke wake na akamwoa yeye baada ya kumwona kavaa kanga moja tu.

Aliuwa watu na kuchukua wake zao hadi akawekewa Sumu na mmoja wa hao wake na akafiria mbali.

Halafu ndio tunaambiwa ni m'bora wa mitume.
Kawaamrisha wasujudie Jiwe Jeusi la Maka na kuwakaribisha Majini kwenye Uislamu wenye Jiwe lao Jeusi linalo itwa Aswadi.

Muhammadi ni mharifu wa kimwili na kiroho.
Una kaharibuje katoto ka kike ka miaka 9 ukiwa Zee la miaka 60.
Halafu unajiita mtume wa Majini na bado uaminike na watu wenye hekima zao.
 
Kwema Wakuu!

Kutokana na mjadala fulani uliokuwa unaendelea katika Jukwaa la Intelligence nimeona nianzishe uzi huu kwa lengo la kujifunza na kuweka mjadala huru. Pia kupima katika mizania ya kimahakama/kuthibitisha ukweli wa masimulizi yaliyomo kwenye Biblia na kwenye Quran.

Nani mkweli na nani muongo kati ya Biblia na Quran?

Sipo hapa kumfanya yeyote awe sijui Mkristo au Muislam au Myahudi, bali nipo kujadili nani mkweli kati ya Biblia na Quran katika mizani ya kimahakama, majaji mtakuwa ninyi wasomaji.

Mahakamani siyo kila kesi inayopelekwa mahakamani ni kesi ya uvunjifu wa sheria, hasha! Bali yapo mambo huweza kupelekwa mahakamani kama kutaka uthibitisho, ukweli, mbali na haki.

Hivyo hata Biblia na Quran vinaweza pelekwa mahakamani na ukweli ukajulikana tuu. Sema kwa vile mambo haya yanagusa imani za watu jambo hilo linaweza kuwa gumu.

Zifuatazo ni hoja kwa nini Biblia ni kitabu cha kweli na kinapaswa kuwa rejea kuu zaidi ya Quran, kwa sababu;

1. Biblia kwa sehemu kubwa haina maneno ya 'Hearsay' wakati Quran kwa 90% maneno yake ni 'Hearsay'. Kimahakama maneno ya 'hearsay' hayasikilizwi na hayawezi kuchukuliwa kama ushahidi mzito, au kama rejea muhimu. Hoja hii ndiyo hoja nzito kuliko zote zinazoifanya Biblia kiwe kitabu kikuu chakweli kinachoiacha Quran Kwa mbali Sana.

a) Waandishi wengi wa Biblia wanaandika matukio yaliyokuwa yanawatokea wao wenyewe. Mfano Musa anasimulia jinsi anavyowatoa Waisrael Misri kwenda Kanaani, Daudi anasimulia hekaheka zake, Suleiman, Daniel, Yona n.k.

Wakati msimuliaji wa Quran yeye anasimulia habari ambazo yeye hakuwepo. Mfano Muhammad, anasimulia habari za Musa ambaye hayupo na ni miaka zaidi ya elfu iliyopita. Muhammad hajawahi kumuona Musa wala Daudi, wala Suleiman wala Yesu.

Kisa cha Yesu ndani ya Biblia tunaweza kukikubali kwa sababu kiliandikwa na baadhi ya wanafunzi wake akiwepo Marko, Mathayo na Yohana. Hivyo hata mahakamani tunaweza watumia watu waliyoshuhudia matukio ya Yesu aliyoyafanya. Ila tunaweza kukitoa kitabu cha Luka kwa sababu yeye alisimuliwa.

Hata hivyo ulikuwa ni wakati ule ule hivyo naye anaweza akasimulia kitu kikaeleweka. Tofauti na Quran ya Muhammad ambayo inasimulia tukio ambalo ni miaka zaidi ya 500 tangu litokee na anayeandika hajawahi mshuhudia huyo Yesu/Issa.

2. Waandishi wa Biblia walikuwepo maeneo tajwa kwenye Biblia, lakini Quran aliyeandika hajawahi kufika maeneo anayoyasimulia. Yaani Muhammad anasimulia habari za Israel na Waisrael ambapo hajawahi kufika, hajui pakoje, hajui watu wake wakoje.

Muhammad anasimulia habari za Jerusalem ya Suleiman halafu hajawahi kufika Jerusalem na hajawahi kumuona Suleiman, wakati Suleima mwenyewe kaandika habari zake mwenyewe. Kumbuka kutoka Suleiman mpaka Muhammad ni zaidi ya miaka 1000.

Quran kisheria hakiwezi kutumika kama rejea kwa maana msimuliaji anasimulia habari za eneo ambalo hajawahi kufika wala kushuhudia. Wala wakati matukio yanatokea hakuwepo.

3. Biblia ni muunganiko wa vitabu vingi vilivyoshushwa kwa manabii tofauti tofauti kwa nyakati tofauti tofauti, wakati Quran licha ya kuwa na vitabu vingi lakini vitabu vyote ameshushiwa Muhammad.

Embu shangaa, kisa cha Adamu kashushiwa Muhammad, kisa cha Nuhu kashushiwa Muhammad, kisa cha Ibrahimu kashushiwa Muhammad, kisa cha Yakobo na Yusufu kashushiwa Muhammad, kisa cha Waisrael kashushiwa Muhammad, mpaka kisa cha Yesu. Na visa vyote hakuwepo!😀😀

Upande wa Biblia
Ila wenzake Kisa cha Musa aliandika mwenyewe Musa, kisa cha Ayubu aliandika mwenyewe Ayubu, kisa cha Daudi aliandika Daudi mwenyewe, Kisa cha Yona kaandika Yona mwenyewe, kisa cha Yesu waliandika watu wake wakaribu (wanafunzi waliomshuhudia), kisa cha Daniel kaandika Daniel mwenyewe.

Vitabu hivi ni ushahidi wa wazi kwasababu wanaosimulia ni wahusika wenyewe. Ni kama vile kitabu cha Mzee wetu Mwinyi au Mzee wetu Mengi.

Muhammad kashushiwa vitabu ambavyo anasimulia hadithi za kusimuliwa (Hearsay), kitu pekee ambacho Quran inaweza kuwa ukweli na ikachukuliwa kama ukweli ni masimulizi ya kile alichokifanya Muhammad kwani alikuwepo na anasimulia tukio linaloendelea au alilolifanya.

4. Biblia imeandikwa na Wayahudi kwa kiasi kikubwa na wanasimulia habari zao wenyewe. Lakini Quran imeandikwa na Waarabu kwa lugha ya Kiarabu lakini inasimulia habari za wasiyo Waarabu, inasimulia habari za watu wengine ambao hawakuwaona.

Yaani mimi Mpare wa zama hizi nisimulie mambo ya Wasukuma ya kale ambayo sikuwepo. Hivi ninyi mtanisikiliza mimi Mpare ninayesimulia habari za kale za Wasukuma au mtasikiliza Wasukuma wenyewe?

Muhammad Muarabu aliyezaliwa Makka na akafia Madina hajawahi kufika Jerusalem, hajui hata Rama, Bethlehemu alipozaliwa Kristo halafu yeye anakwambia alizaliwa kwenye mtende halafu kuna mtu Myahudi aliyekuwa rafiki wa Yesu anakuambia Yesu rafiki yake kazaliwa kwenye hori la ng'ombe.

Huyo Rafiki wa Yesu Yohana, ni Myahudi mwenzake Yesu, anapajua Bethlehem, anapajua Jerusalem ndani nje. Je utamsikiliza nani?

Haya Quran na hadithi za Kiyahudi kama anavyosimulia Mtume na maswahaba wake wanakuambia Suleiman alikuwa anafuga majini. Kumbuka huyo Muhammad anasimulia habari za watu wa taifa jingine ambao wanatofautiana lugha na tamaduni, hajawahi kufika Jerusalem mji wa Daudi na mwanaye Suleiman, hajui Kiyahudi, haabudu dini ya Wayahudi anayoabudu Suleiman.

Anakuambia Suleiman alikuwa anafuga majini, lakini Suleiman mwenyewe katika hadithi zake au hadithi za mwanaye Yerobohamu hajawahi kusema kitu kama hicho. Pia utamaduni wao hauruhusu kufuga madudu hayo majini. Wewe utamuamini huyo Muhammad au utamuamini Suleiman mwenyewe aliyeandika katika vitabu vyake vilivyopo katika Biblia? Jibu utabaki nalo.

5. Mungu wa kwenye Biblia ni Jehova/Yahwe ambaye ni Mungu wa Waisrael wanaosimuliwa ndani ya kitabu hicho. Lakini Quran mungu wake ni Allah, Mungu wa Waarabu wa kabila la Wakurdi wa zamani lakini cha ajabu huyo Allah, ati huyo Allah kuna sehemu anamuagiza kina Musa (Myahudi na dini yake Uyahudi) wakati kimsingi Musa Mungu wake ni Yahweh mpaka anakufa.

Hata hivi leo Mungu wa Wayahudi hajabadilika ni Yahwe na mpaka hivi Mungu wa waarabu hajabadilika ni yule yule Allah. Lakini Quran inapotosha kuwa Mungu anayewaagiza Wayahudi ni Allah hii ni kutokana muandishi wa Quran alikuwa Muarabu.

Wahusika kuanzia kwa Yakobo mpaka kwa Yesu ni Wayahudi na dini yao ni Uyahudi na Mungu wao ni Yahweh, lakini Quran imepuyanga katika eneo hilo.

6. Biblia imetangulia miaka mingi kabla ya Quran. Hivyo kwa kuwahi imeshuhudia na inaweza kusimulia matukio yaliyotokea zamani zaidi kuliko Quran, siyo ajabu Quran yenyewe ndiyo imenakili baadhi ya visa ingawaje inajimilikisha.

Biblia inaweza kujitegemea bila ya uwepo wa Quran kwani yenyewe ndiyo baba/chanzo cha Quran. Lakini Quran kama ukitoa visa ilivyovinakili kutoka kwenye Biblia na maandiko yote ya Kiyahudi basi Quran inabaki bila ya nguvu yoyote Ile.

7. Mtiririko na visa na matukio ya Kihistoria.
Biblia ni kitabu ambacho kimeandikwa Kwa kufuata mtiririko wa visa na matukio unaoleweka. Kuanzia kisa cha Adamu mpaka Yusufu anachosimulia Musa, Kisha tawala za dunia kama Tawala la Nimrodi, kisha tawala la mafarao, kisha tawala la Waashuru na Wakaldayo, kisha wakafuata Waajemi na Wamedi, kisha wakafuata Wayunani/wagiriki, kisha wakafuata Warumi ndipo alipozaliwa Yesu.
Lakini Quran haina mtiririko wa visa na matukio, kumaanisha haiwezi kutumika hata shuleni Kama rejea za kihistoria kuhusu tawala, au mambo ya kuitawala au Kisiasa kwani Quran haijui wapi dunia imetoka ilipo na wapi inapoenda. Wakati Biblia inaeleza wapi Dunia ilipotoka na wapi ilipo na inapokwenda.

Quran inaweza kuulizwa swali, Yesu alizaliwa wakati WA utawala gani na wanani na ukashindwa kujibu?
Kimahakama Quran kama haijui baadhi ya taarifa muhimu kama Zama na Maeneo husika ya tukio lilipotukia haiwezi kutumika kama Rejea au ushahidi muhimu katika mambo ya Kidini.

Kwa mfano; Issa kazaliwa kwenye mtende Kwa mujibu wa Quran lakini haielezi ni eneo gani au nchi gani Issa alizaliwa, hata Hapa Tanzania ipo mitende, hii ni tofauti na Biblia inataja na kuelezea visa katika mtiririko uliokamilika.

Quran ambacho ingefanya ni kutoa nondo kuanzia wakati wa Muhammad kuja mbele na siyo kurudia hadithi zilizokwisha kuwepo. Mbona Injili haujarudia visa? Quran haiwezi kuchukuliwa kama rejea kuu kuzidi Biblia kwa sababu nilizozitaja hapo juu.

Majaji mjadili kwa hoja.

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
Umewahi kuisoma Quran ukailewa? Kama hujaelewa ukipata nafasi tafuta kitabu
The Qur'an and Modern Science
Book by Maurice Bucaille utapata uelewa walau kidogo then urudi uje uandike makala yako tena.
 
God = Kiingereza na hakuna jina lingine mbadala wa neno God katika kiingereza.

Leta neno jingine lenye maana ya Mungu kwa lugha ya Kiingereza.

Na ukishindwa kuleta basi wewe jijue ni mjinga wa wajinga.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Mungu wa Waislamu anaitwa Allah ndio Jina lake.
Allah ni mungu wa wapagani wa Waarabu kabla ya Muhamadi na watoto wake wakike watatu, Uzza, Lutta na Manata.
We unakuja kuongopea watu hapa.
 
Back
Top Bottom