Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Hakuna kitabu kilichowahi kushushwa.
Alafu Elewa Torati, Zaburi na Injili walioiandika ni Wayahudi na Mungu wao ni Yahwe!
Alafu akatokea Allah wa waarabu akai-copy akaiita Quran.
Mpaka leo Mungu WA Wayahudi ni Yahwe.
Na mpaka leo Mungu WA Waarabu ni Allah.
Ndio maana kuna hoja nimelezea Jambo hili kama ushahidi kuonyesha Biblia inaweza kutumika kama Rejea kuu kuliko Quran.

Kwa sababu haiwezekan Allah mungu wa waarabu miaka zaidi ya elfu mbili yote awatumie Wayahudi Kama manabii alafu awaache watu wake(waarabu) alafu mara paah! Mwisho kabisa ndio amtumie Muarabu Kama Mtume WA mwisho. 😊 Tumia akili hata ya kuzaliwa. Halikadhalika na Yahwe miaka yote awatumie Wayahudi watu wake kama manabii alafu mara paap! Amuokote muarabu Muhammad mwishoni kama Nabii au Mtume. Hivi mlijifunza haya mambo wapi?
😂😂😂😂Allah kiswahili ni nn? Biblia haipo usibishe biblia imeandikwa Italy haipo kabisa hata wakina martin Luther walibadilia maandisha watu wa juzi hap

Mwamposa ni mtume pia ni myahudi😂😂😂

Jiulize mbona hawao wayahudi hawaujui ukristo uje kuujua wewe na watu wa Europe ?

So qur an inasadifu yaliyopita tangu enzi za adamu je bible inasadifu yapi 😂😂😂
 
Sura ya kwanza ya qur an unajua ?😂😂😂na unajuu qur an yenyewe inatoka na neno gan?

Sural ya iqra kukumba alikuwa anafindishwa na malaika "soma " ..Tambua Kuna kitabu kinaitwa candle bible caj forex je hicho ni maandiko matakatifu ya forex au ?

Tambua bible haikuandikwa kipind cha yesu prove me wrong...bible imatiwq mikono na kupunguza na kuongeza maneno ya vitabu vilivyopota ,,bible haiwezi kuwa kitabu kitakafiti kwani ndani yake Kuna sehemu mungu kaitwa "mpumbavu" kwamba Kuna upumbavu wa mungu..

Kingine bible unayosoma leo zipo version kibao ambazo zipo tofauti kimaandiko coz yeyote anaweza kuandika.tu qur an ni ile ile ikitokea ukabili hata herufi basi ni batili hata ukikosea kuchapa basi hiyo haifai..

Bible haikuandikwa kipind cha mitume zipo bible ziliandikwa ambaO baadhi ya watu nguli dunia waliokuwa na akili walizikataa maana yalijudge nakuona maandiko ni uongo ,so kadri siku zinavyoenda wanabdili.

Tuje sasa kwamba bible imekamilika ..sasa bible imeshindwa kutambua matakwa ya binadamu kama ndoa Kuna mapadre hawaoi kabisa je inaingia akilinin...kuoa mke mmoja ilihali hata nature ya population ya dunia inaonyesha wanawake ni wengi je hao wengine hawana haki ya ndoa...mirathi
.

Sasa mapungufu yote hao ndo yamekuja kukamlisha na complet code of life ambayo ni Qur-an

Kama Biblia ingekuwa haijakamilika Muhammad asinge-copy maandiko yake Mkuu. Embu jaribu kuelewa kuwa unaposema Bible unazungumzia sehemu ya maandiko ya kiyahudi.

Hizo version za Biblia ni kutokana na makampuni na mashirika wanaotafsiri Biblia kutoka lugha ya Mwanzo ya biblia ambayo iliandikwa Kiebrania, kiaramu na kiyunani cha zamani.

Kumbuka baadhi ya maandiko ya Biblia ni yazamani mno na Lugha iloyotumika zamani zingine sasa hazipo au zimepungua Kama hicho kiaramu.
 
😂😂😂Nakuja sasa kukukamata je biblia wapi mungu kasema alishusha kitabu kinaitwa bible? Ukijibu naslimu hapa hata umleta papa wapo wa Italy.

Wewe nilishakusoma una uwezo mdogo sana na utakuwa unanipotezea tu muda.

Umesema biblia imekopi injili, zaburi na torati, nkakuuliza original ziko wapi?

Umejuaje imekopi kama hujaona original? Hujajibu Umeanza tena kuruka.

Kwahyo goodbye.
 
Kuna kitu ujui QURAN si maneno ya muhamad bal wahyi aloshushiwa na ALLAH azzah wa jallah kuhusu mambo mbali mbali na ikiwemo habar za mitume waliopita na sio maneno yake kama unavyosema
Anakimbilia hapo usipate tabu 😂😂😂maana kwao uchagani Wana nabii Tesha,huko mbeya Wana nabii mwamposa wanadhani iko cheo eti nabiii Paulo kwamba yesu alikuwa mungu na Simon, yudah sijui nani ndo manabii 😂😂

Hapa nachek sana kwamba elimu watu haijwai kuwasaidia.
 
Kama Biblia ingekuwa haijakamilika Muhammad asinge-copy maandiko yake Mkuu. Embu jaribu kuelewa kuwa unaposema Bible unazungumzia sehemu ya maandiko ya kiyahudi.
Hizo version za Biblia ni kutokana na makampuni na mashirika wanaotafsiri Biblia kutoka lugha ya Mwanzo ya biblia ambayo iliandikwa Kiebrania, kiaramu na kiyunani cha zamani.
Kumbuka baadh iya maandiko ya Biblia ni yazamani mno na Lugha iloyotumika zamani zingine sasa hazipo au zimepungua Kama hicho kiaramu.
😂😂😂😂😂😂😂Bible siijui hakuna kitabu cha mungu kinaitwa bible
 
Kuna kitu ujui QURAN si maneno ya muhamad bal wahyi aloshushiwa na ALLAH azzah wa jallah kuhusu mambo mbali mbali na ikiwemo habar za mitume waliopita na sio maneno yake kama unavyosema

Kwa hiyo Allah atashusha wahyi ambao tayari upo Duniani?

Wakati Allah anamshushia Muhammad wahyi wa baadhi ya visa mama vya kina Yusufu, Musa, Ibrahimu, Issa n.k. tayari visa hivyo vilikuwepo hapo Makkah kupitia Wakristo waliokuwepo wakati huo kina Padri Walaga.

Unajua Kwa nini Injili/Yesu hajawahi kusimulia habari za kina Musa au Ibrahim, isipokuwa alikuwa anatumia kama reference katika mafundisho yake?
 
Aliyeandika Kitabu cha Genesis, kwenye Uumbaji, alikuwepo wakati wa Uumbaji ?
Mbona Kama issue ni hearsay, Kwenye context ya Uumbaji, Bible ndio imejaa Hearsays za Kutosha.
Issue ya Adam na Eva, who was there ? Hearsay

Note Mimi ni Mwenyekiti wa Usharika KKKT, Usije ukasema Mimi Mvaa Kobaz
Ila nimejaribu kuwa Objective
Genesis yote ni hearsay. So 1 out of 66 books in the bible is hearsay.

The whole 114 surahs in Quran are hearsay.
 
Wewe nilishakusoma una uwezo mdogo sana na utakuwa unanipotezea tu muda.
Umesema biblia imekopi injili, zaburi na torati..nkakuuliza original ziko wapi? Umejuaje imekopi kama hujaona original?
Hujajibu Umeanza tena kuruka.
Kwahyo goodbye.
😂😂😂Kwamba nileta original kwamba hautambui uwepo wa ivyo vitabu ,ua lah basi bible inatambua we kilaza hamna unachojua wala sitaki tabu ivyo vitabu kaangalie kweny bible wamevitaja

We hamna unachojua nabishana na wenye akili sio wapumbavu hamtaki kuelewa
 
Kweli nawachukia waislamu ila wanasaidia unajua kwanini .

1. Hawatupendi sisi wakristo hata tuwapendeje
2.wanafundishana sisi sio wema wabaguzi
3.wanadharau wanawake sana
4. Wanatesa watu kiakili kimwili wanajifanya wanajua
5. Wanatesa wanawake sana wanawadharau wanawatumia kama bidhaa wanaacti maisha hawaishi wanapenda vya bure na wanamidomo michafu kabisa ndio maana wanapenda kuishi uswahilini

Wanapenda vita , kutesa wenzao nakuwaandama yaani wanajiona na asilimia nyingi hawana kitu .

Yaani waislam hata upendeje wewe ni KAFIRI tu
 
😂😂😂Kwamba nileta original kwamba hautambui uwepo wa ivyo vitabu ,ua lah basi bible inatambua we kilaza hamna unachojua wala sitaki tabu ivyo vitabu kaangalie kweny bible wamevitaja ..we kajamba nane wa porini hamna unachojua nabishana na wenye akili sio wapumbavu hamtaki kuelewa
Vilivyopo kwenye bible si umesema sio original? Umesema vya kwenye bible ni copy zilizopunguzwa na kuongezewa vitu...Sasa wewe naomba original zake maana umesema za kwenye bible sio original.

Kwasababu huwezi kujua hiki kitabu kimepunguziwa kitu fulani bila kujua kwanza hiko kilichopunguzwa ni nini kwenye original.
 
Wewe huwezi kujua Ila Muhammad unayemuamini anaijua na anaiamini ndio maana alifanya Plagiarism.
Nakuuliza mussa anaijua bible mpaka zama zake zinaisha ananijua bible?😂😂😂ulisoma qur an unasoma zama zote zilitangulia nyie toeni torat ,zaburi na injili kweny bible muone kama Kuna neno ya qur an utalikuta kweny bible ndo maana maujinga kama mlivyosema sijui "upumbavu wa mungu " huu ni utopolo wenu haupo kweny torati, zaburi wala injili the same huwezi kkuta kweny qur an kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake.😂😂😂
 
Quran na uisilamu ni mfumo wa maisha na ni katiba na sheria unapoipeleka mahakamani unatumia Quran kuijudge ama man made laws?

kuna Nchi kibao zinafuata mfumo wa Quran japo si 100% ila zina mafanikio makubwa sana. Kuanzia Nchi za Gulf mpaka Asia ya mashariki kama Kina Brunei na Malyasia, ila sijaona Nchi ama hata wakristo wanaofuata Bible, kwa Wengi Bible ni Spiritual book na sio way Of life, Hakuna uchumi wa Biblia, Mahakama za Biblia, mabenki ya Biblia etc ila utakuta Mahakama za Uisilamu, mabenki ya Uisilamu, Mabucha, uchumi kwa ujumla etc vyote hivi vinabase na Quran.

So Quran imeprove practically inachosema, na sio kuongelea kwenye makaratasi tu.

Quran na Biblia ni vitabu tuu.
Vinawez kupelekwa mahakamani vikathibitishwa kama vile vitabu vingine.

Ni vile watu hawajaamua Kwa sababu wanajua kuna watu vichwa panzi wanaendeshwa na mihemko.
 
Kweli nawachukia waislamu ila wanasaidia unajua kwanini .

1. Hawatupendi sisi wakristo hata tuwapendeje
2.wanafundishana sisi sio wema wabaguzi
3.wanadharau wanawake sana
4. Wanatesa watu kiakili kimwili wanajifanya wanajua
5. Wanatesa wanawake sana wanawadharau wanawatumia kama bidhaa wanaacti maisha hawaishi wanapenda vya bure na wanamidomo michafu kabisa ndio maana wanapenda kuishi uswahilini

Wanapenda vita , kutesa wenzao nakuwaandama yaani wanajiona na asilimia nyingi hawana kitu .

Yaani waislam hata upandaje wewe ni KAFIRI tu
Mimi nashangaaga dini inavyowabagua wanawake na bado wanawake wapo tu humo.
 
Vilivyopo kwenye bible si umesema sio original? Umesema vya kwenye bible ni copy zilizopunguzwa na kuongezewa vitu...Sasa wewe naomba original zake maana umesema za kwenye bible sio original.

Kwasababu huwezi kujua hiki kitabu kimepunguziwa kitu fulani bila kujua kwanza hiko kilichopunguzwa ni nini kwenye original.
Nakuambia neno "upumbavu wa mungu" kweny torati, zaburi na injili halilo nyie mmitoa wapi? Kama sio kuliongeza😂😂😂
 
Quran na Biblia ni vitabu tuu.
Vinawez kupelekwa mahakamani vikathibitishwa kama vile vitabu vingine.

Ni vile watu hawajaamua Kwa sababu wanajua kuna watu vichwa panzi wanaendeshwa na mihemko.
Ni ngumu sana kupata mtu aliye objective kwenye maswala ya dini.
ila ukiwa objective uhalisia ndio huo..Quran ni poor attempt to immitate the bible.
 
Nakuuliza mussa anaijua bible mpaka zama zake zinaisha ananijua bible?😂😂😂ulisoma qur an unasoma zama zote zilitangulia nyie toeni torat ,zaburi na injili kweny bible muone kama Kuna neno ya qur an utalikuta kweny bible ndo maana maujinga kama mlivyosema sijui "upumbavu wa mungu " huu ni utopolo wenu haupo kweny torati, zaburi wala injili the same huwezi kkuta kweny qur an kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake.😂😂😂

Anaijua ndio.
Kama yeye ndiye aliyeandika Bible(maandiko matakatifu) iweje useme haijui.

Au neno Bible linakuchanganya?
Basi ita "Maandiko matakatifu" maana Hilo neno lilolotoholewa naona linakuchanganya
 
Nakuambia neno "upumbavu wa mungu" kweny torati, zaburi na injili halilo nyie mmitoa wapi? Kama sio kuliongeza😂😂😂
Halimo kwenye torati, zaburi na injili ipi?
Wewe mkuu umejuaje halimo?
Em ziweke hapa namm nizisome nihakikishe kama kweli halimo.
 
Anaijua ndio.
Kama yeye ndiye aliyeandika Bible(maandiko matakatifu) iweje useme haijui.
Au neno Bible linakuchanganya?
Basi ita "Maandiko matakatifu" maana Hilo neno lilolotoholewa naona linakuchanganya
😂😂😂😂😂😂😂😭😭Dah watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa..so mussa alikuwa mwanafunzi wa yesu alikuwa na mfundisho wa yesu??mussa na yesu Nan wa kwanza kuja katika zama zake..kaandikaje wakati alikuja duniai kabla ya mugu wenu ambaye ni yesu .
 
Ni ngumu sana kupata mtu aliye objective kwenye maswala ya dini.
ila ukiwa objective uhalisia ndio huo..Quran ni poor attempt to immitate the bible.

Hawa ndugu zetu wanakalia kukaririshwa kikasuku nao wanajiendea tuu.
Badala wajadili hoja naona wanapiga kelele na kutukana.
 
Back
Top Bottom