Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Inawezekana ww ukawa upo sahihi ila nature ya binadamu ni kifo tu after death ni habari nyengine
Hakuna anayeijua after death ni hadithi za kufikirika.

Kwamba mkristu, muislamu na wengine after death yao ipo tofauti? Maana kila mmoja ana hadithi zake...

Tutajuaje ipi ni sahihi na ipi sio?
Ndio vita hii uonayoiona kwenye huu uzi..
 
Wasipoelewa na hapa hasa mleta Uzi na wavaa rozari wenzake Basi tambua ..wanashida mahali.

Plagiarism unaweza kuifanya hata ndani ya siku Saba tuu kuandika kitabu Kama Biblia. Ni copy na paste.
Hivyo hiyo miaka 23 ni mingi Sana ambayo Kwa kufanya plagiarism unaweza kuandika vitabu vyenye ukubwa wa Msahafu hata Mia Hivi.

Kama Angeleta habari mpya tungesema jamaa ni Genius lakini kusimulia mambo ambayo tayari yapo hata Wewe huwezi kushindwa. Mbona kina Mwamposa wanasimulia habari za Yesu.

Au kina mazinge wanasimulia habari za Muhammad au Kwa vile wao hawaandiki
 
Kwa maana hiyo mtu akifa atahukumiwa kulingana na imani yake?
Kwamba mbingu/pepo ni tofauti kulingana na imani ya mtu?

Haswa!
Nature ndio itaamua uishi vipi life after death.

Dhambi sio mpaka ufundishwe, unajua tuu hili ni kosa. Yaani Jambo lolote ambalo hutaki kufanyiwa alafu ukamfanyia mwenzako hiyo ni dhambi.
Wala haina haja ya kusoma maandiko yenye maelfu ya kurasa
 
Ndio maana nikakuambia Quran hauwezi kuwa kitabu cha Rejea, afadhali umeniongezea hoja ya Saba hapo.

Quran haiwezi kukua pande zote WA wahusika/mitume Kwa sababu muandishi wake hajawahi kuwaona wahusika wenyewe, na hajui eneo waliokuwa wanaishi kijiografia.
Kitendo cha kusema tuu mitume wa jitahidi walikuwa na upande mmoja wa wema tuu kinadhihirisha kuwa Quran haiwezi kuwa kitabu cha rejea.

Biblia ipo wazi inaelezea bila kuficha pande zote mbili za mtu. Kumbuka Binadamu sio Malaika hivyo lazima akosee.
Na makosa yake yanapimwa kwenye sheria.
Kuanzia Abrahamu mpaka mitume wote wanadhambi na Biblia imeweka hayana makosa Yao.

Sasa Quran Kwa vile anayesimulia anahadithia hadithi asizozijua ni rahisi kupuyanga
M mungu anavitambua ivi vitabu aliwapa mitume yake .
1.Taurat
2. Zaburi
3.Injiri
4. Quran
Waislam tunaamini ivi vitabu vilivyo juu Apo .
Hiyo Bible kapewa nabii gani?
Kama ni jopo la binadamu ndio wameleta Bible basi Kuna shida yake binadam ni dhaifu
 
Haswa!
Nature ndio itaamua uishi vipi life after death.
Dhambi sio mpaka ufundishwe, unajua tuu hili ni kosa.
Yaani Jambo lolote ambalo hutaki kufanyiwa alafu ukamfanyia mwenzako hiyo ni dhambi.
Wala haina haja ya kusoma maandiko yenye maelfu ya kurasa
Kama ni hivyo basi sawa.
Nitaishi kwa amri moja tu ya UPENDO...nisimuumize mwenzangu.
Hayo masheria mengine naachana nayo.
 
17 Lakini Yesu akawatazama, akawaambia, “Maandiko haya Matakatifu yana maana gani basi? Jiwe walilokataa waashi, sasa limekuwa jiwe kuu la msingi!
Soma pia Luka 4 yote.

2 Timotheo 3:16
Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki;

Alafu kamalizie Joshua 1:1-12
MAANDIKO YOTE HAPO SIJAONA NENO "BIBLIA" NDANI YAKE...

Ngoja nikupe mfano kwenye Quran,

Al-Isra' 17:9

إِنَّ هَٰذَا ٱلْقُرْءَانَ يَهْدِى لِلَّتِى هِىَ أَقْوَمُ وَيُبَشِّرُ ٱلْمُؤْمِنِينَ ٱلَّذِينَ يَعْمَلُونَ ٱلصَّٰلِحَٰتِ أَنَّ لَهُمْ أَجْرًا كَبِيرًا

Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani

Hakika hii Qur'ani inaongoa kwenye ya yaliyo nyooka kabisa, na inawabashiria Waumini ambao wanatenda mema ya kwamba watapata malipo makubwa.

get Quran App: Al Quran - Tafsir & By Word

#GreentechApps
 
Kwa

Kwa sababu umezaliwa katika ukristo
Kuna zaidi ya hivyo,kujitambua tu na mtu kutumia akili yake japo kwa 30% kunamfanya ajue kipi sahihi kipi siyo sahihi (japo vyote ni kwa kuhisiwa)

Wewe mwenyewe nimekuuliza ”WINGI” kwa kinachosemwa ni "KIMOJA" umetokana na nini ukaishia kuniuliza nikuthibitishie nimeona wapi na wewe mwenyewe ndiye uliyeandika hapa.
 
Utakuwa umesoma vibaya Allah ni mmoja tu .
 
Mnaweza kunithibitishia ya kuwa Yesu alisulubiwa au Yesu alikufa Kisha akafufuka ?

Uthibitisho kutoka kitabu gani?

Waliokuwepo na Yesu walisema amefufuka, wakaandika vitabu. Alafu ambaye hajawahi kumuona Yesu, hajawahi kuishi nyakati za Yesu, hajawahi kufika Bethlehem wala Jerusalem anadai ati Yesu Kama alivyomuita Issa ati hakusulubishwa.

Sasa nakuuliza, tumsikilize aliyekuwa eneo la tukio na anayemjua Yesu, au tumsikilize ambaye hakuwepo na hapajui Jerusalem Kama Mimi na Wewe tuu?

KAZI kwako
 
17 Lakini Yesu akawatazama, akawaambia, “Maandiko haya Matakatifu yana maana gani basi? Jiwe walilokataa waashi, sasa limekuwa jiwe kuu la msingi!
Soma pia Luka 4 yote.

2 Timotheo 3:16
Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki;

Alafu kamalizie Joshua 1:1-12
Umefungua mlango ambao kuufunga huwezi... Unashusha blaa blaa tu...

Sijaingia kwenye maandiko ndani... Nimeanza na jina lenyewe tu BIBLIA ili kukiondoa katika listi ya vitabu vya Mungu... Kama ni kitabu cha Mungu kweli... Leta andiko lolote lile ndani ya BIBLIA likitaja jina la BIBLIA hata kwa bahati mbaya tu...
 
Hii inaitwa akili kubwa ambayo inafanya tafakuri, sijui umewazaje, hii mada itakuwa kipimo kizuri Cha akili, mkurupuko na mlipuko katika ufahamu na kufikiri.

Nipo hapa nayatizama.

Na wasomaji ninyi ndio kila mmoja mtakuwa majaji katika Nafsi zenu. Wala hatutaki mtoe jukumu zenu humu.

Ila Nafsi zenu ndizo zenye hukumu. Humu kila mtu anavutia kwake,
Hu
 
Kuna Torati + injili = Bibilia
Hayo maneno hayo yapo kwenye andiko gani? Iwe kwenye taurati ama injili au biblia yenyewe...?

Hatutaki maneno matupu... Tunataka hiko mnachoita kitabu cha Mungu kijisemee chenyewe.. Kwanini mkisemee nyie kwa maneno maneno tu ya mtaani blaa blaa...
 
Umefungua mlango ambao kuufunga huwezi... Unashusha blaa blaa tu...

Sijaingia kwenye maandiko ndani... Nimeanza na jina lenyewe tu BIBLIA ili kukiondoa katika listi ya vitabu vya Mungu... Kama ni kitabu cha Mungu kweli... Leta andiko lolote lile ndani ya BIBLIA likitaja jina la BIBLIA hata kwa bahati mbaya tu...

Unajua Biblia sio Neno la Kiswahili wala sio Neno la kiebrania, wala sio Neno la kiyunani, wala kiaramu?

Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vitakatifu/maandiko matakatifu ya kiyahdi ambayo ni Torati, injili, na zaburi.

Biblia ni Neno lililotoholewa tuu.
Huwezi kulipata Kama lilivyokwenye lugha nilizozitaja hapo juu ambazo ndizo zilizotumika kuandika maandiko nataka matakatifu.

Unauelewa wowote wa Masuala ya lugha?
 
Utakuwa umesoma vibaya Allah ni mmoja tu .
Tusigeuzane watoto wadogo post yako uliyoweka allah kwa wingi screenshot hii hapa,kama tunabishana tu alimradi ujione upo sahihi basi nikuache.
Screenshot_2022-11-01-09-30-56-773_com.mi.globalbrowser.jpg

Anyway turudi kwenye hoja pale main post,kama una chochote cha kujibu nje ya itikadi kiweke hapa maana tunatembea nje ya mstari na hatuelewani.
 
Unajua Biblia sio Neno la Kiswahili wala sio Neno la kiebrania, wala sio Neno la kiyunani, wala kiaramu?
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vitakatifu/maandiko matakatifu ya kiyahdi ambayo ni Torati, injili, na zaburi.

Biblia ni Neno lililotoholewa tuu.
Huwezi kulipata Kama lilivyokwenye lugha nilizozitaja hapo juu ambazo ndizo zilizotumika kuandika maandiko nataka matakatifu.

Unauelewa wowote wa Masuala ya lugha?
Hizo ni blaa blaa tu bado...BASI NIPE HATA ANDIKO LA BIBLIA YA KIEBRANIA AU KIYUNANI ILIYOSEMA HIYO TAFSIRI YA BIBLIA KAMA ULIVYO ELEZA HAPO...

Kama huwezi pata JINA KITABU ndani ya KITABU CHENYEWE... KITABU GANI KIMEANGUKIA PUA HAPO?

Sasa jambo dogo kama hilo umeshindwa kulithibitisha hapa... Huu mjadala umeufungua kwa kujiaminisha nini...unaanzisha MVUA YA MAWE HALI WAISHI KWENYE NYUMBA YA VIOO.

KAWAIDA YA MUNGU HUWA NI MWENYE UWEZO WA KUJIELEZA YEYE MWENYEWE PAMOJA NA MATENDO YAKE... Nadhani hapa tunakubaliana...

SASA KAMA HAYO MANENO YA MUNGU MWENYEWE HAYAJITOSHELEZI KUJIELEZEA YENYEWE... BASI SIO MANENO YA MUNGU HAYO...

TUNACHOTAKA ANDIKO KWENYE BIBLIA IWE YESU IWE MUSA IWE YOHANA IWE MATHAYO WANAELEZA KUWA HII BIBLIA NI MKUSANYIKO WA VITABU VYA MUNGU...

KAMA HUWEZI KUPATA ANDIKO HILO... BASI HUU MJADALA WAKO UFUNGE... UMEKOSA UHALALI WA KUENDELEA KUJADILIWA... KWA SABABU BIBLIA HIYO UNAYOISIFIA IMEKOSA KUJIELEZA YENYEWE KWA MAANDIKO YAKE NA KUJITETEA NA KUJITHIBITISHA HATA JINA LAKE.

CASE CLOSED.

(WAISLAAM NENDENI MKADISCUSS MAMBO MENGINE KWENYE THREADS NYINGINE... HANA HOJA HUYU.)
 
Biblia yoyote Kati ya hizo.
Yoyote unayotumia tunaweza kujadiliana hapa.
Kwa hiyo biblia wewe unafuata yoyote bila kujali vitu vilivyowekwa wala vinavyokinzana?
Hapo sijakuwekea biblia za nyuma.
images (6)~2.jpeg

download (5).jpeg

Hii chart ya biblia zote ulizotafsiriwa zimetokana na kilatini cha zamani.
Wakikaa kupiga konyagi wanajitafsiria lugha ovyo ovyo.
Itabidi uchague biblia moja. Ukisema biblia ujue zipo nyingi sana nazo zipo tofauti.
Hata za kiswahili pia tofauti kutegemeana na mwaka iliyotafsiriwa

bible-translations-01.png
 
Hizo ni blaa blaa tu bado...BASI NIPE HATA ANDIKO LA BIBLIA YA KIEBRANIA AU KIYUNANI ILIYOSEMA HIYO TAFSIRI YA BIBLIA KAMA ULIVYO ELEZA HAPO...

Kama huwezi pata JINA KITABU ndani ya KITABU CHENYEWE... KITABU GANI KIMEANGUKIA PUA HAPO?

Sasa jambo dogo kama hilo umeshindwa kulithibitisha hapa... Huu mjadala umeufungua kwa kujiaminisha nini...unaanzisha MVUA YA MAWE HALI WAISHI KWENYE NYUMBA YA VIOO.

KAWAIDA YA MUNGU HUWA NI MWENYE UWEZO WA KUJIELEZA YEYE MWENYEWE PAMOJA NA MATENDO YAKE... Nadhani hapa tunakubaliana...

SASA KAMA HAYO MANENO YA MUNGU MWENYEWE HAYAJITOSHELEZI KUJIELEZEA YENYEWE... BASI SIO MANENO YA MUNGU HAYO...

TUNACHOTAKA ANDIKO KWENYE BIBLIA IWE YESU IWE MUSA IWE YOHANA IWE MATHAYO WANAELEZA KUWA HII BIBLIA NI MKUSANYIKO WA VITABU VYA MUNGU...

KAMA HUWEZI KUPATA ANDIKO HILO... BASI HUU MJADALA WAKO UFUNGE... UMEKOSA UHALALI WA KUENDELEA KUJADILIWA... KWA SABABU BIBLIA HIYO UNAYOISIFIA IMEKOSA KUJIELEZA YENYEWE KWA MAANDIKO YAKE NA KUJITETEA NA KUJITHIBITISHA HATA JINA LAKE.

CASE CLOSED.

(WAISLAAM NENDENI MKADISCUSS MAMBO MENGINE KWENYE THREADS NYINGINE... HANA HOJA HUYU.)

Wewe naona hatuelewani. Huelewi hata kilichowasilishwa kwenye Baraza
Wewe jamaa muongo Sana...sisi waislamu tunaamini ktk Biblia lkn sio Martin Luther King ....

Wekeni agano la kale tujadili pamoja....Na kwann agano la kale limepigwa pin na kufungiwa ndani huko ancient Ugiriki???

Kwa hiyo Wewe Kwa Uelewa wako, Biblia ya agano la kale Watu hawana?
Au unazungumzia propaganda za wanahasimiana na Wakristo?
Hapa hatujadili Wakristo, Bali tunajadili Biblia,
Wala hatujadili Waislam, Bali tunaijadili Quran.

Zipinge hoja zilizowasilishwa, kisha utafungua shauri jingine kama unalolote la ziada
 
Kuna hoja yapo juu hujajibu na hutojibu... USIIPOTEZEE KWA KUJAZA COMMENTS MFU ILI IPOTEE... HUU MJADALA FUNGA... HUNA HOJA KAJIPANGE UPYA.

Kama kuna sehemu umeweza kuzipangua hoja zilizowasilishwa basi majaji/wasomaji watatoa maamuzi.
Lakini kama huna hoja zaidi ya kutetea hoja zako mpya ulizojianzishia mwenyewe
 
Back
Top Bottom