Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Hakuna anayeijua after death ni hadithi za kufikirika.Inawezekana ww ukawa upo sahihi ila nature ya binadamu ni kifo tu after death ni habari nyengine
Kwamba mkristu, muislamu na wengine after death yao ipo tofauti? Maana kila mmoja ana hadithi zake...
Tutajuaje ipi ni sahihi na ipi sio?
Ndio vita hii uonayoiona kwenye huu uzi..