Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Hakuna kitu kinaitwa "kurwani" wewe ni kilaza #1 njoo na vivid example wapi mtume kajitengenezea dini yake.
Dini yake si ndio hiyo ambayo wewe unaipigani na kuitetea baada ya kulishwa matango poli ya kukaririshwa huko madrasa huku ukila mboko usisahau.

#MaendeleoHayanaChama
 
ROBERT HERIEL Acha ujinga..

Achana na hizo riwaya zilizomo kwenye Bible na Qur'an.

Amini nakwambia...Huwezi thibitisha Jambo lolote kwenye hivyo vitabu.
 
Hii Mitume ipo mingi Sana mingine inakaanga korosho huku mtambaswala ha haahaa ...

Tumeshawaambia uislamu Ni mfumo kamili wa maisha uliotimia ndio maana Kuna nchi zinaongozwa kiislamu na maisha yako poa. Yaani Kuna mifumo yote ...
Benki za kiislamu
Uchumi wa kiislamu
Michezo ya kiislamu
Siasa za kiislamu
Na maisha ya kiislamu kiujumla...

Swali ..Tutajieni nchi inayoongozwa kwa mifumo ya kikristo yaan Biblia inatumika kwa kila nyanja?? Mkinitajia mnanibatiza hapahapa....Tuanzie kule kwa Martin Luther King (Genius Wenu) wa Biblia(UK)...mpk kule Italy kwa Papa francwa'a..

Yoda nimekaa hapa nakunywa uji...
Ungekua na akili ungetambua hakuna zaidi ya kufuata mila na tamaduni za waarabu.

Wewe ni mtumwa wa mila na tamaduni za waarabu hakuna zaidi ya hapo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwema Wakuu!

Kutokana na mjadala fulani uliokuwa unaendelea katika Jukwaa la Intelligence nimeona nianzishe uzi huu kwa lengo la kujifunza na kuweka mjadala huru...
Wagalatia mnachekesha sana nabii Musa alipohadithia habari za Adam, Nuhu, Ibrahim na Luti hamjashangaa ila nabii Muhammad kuhadithia habari za mitume iliyomtangulia ndio mnashangaa

Swali lako ni kama la mtoto wa chekechea

Aliyemuhadithia Musa habari za Adam na Ibrahim ndio huyo huyo aliyemuhadithia Muhammad habari za manabii waliyokuwa kabla yake

So kuamini au kutoamini hiyo freewill yako
 
M mungu anavitambua ivi vitabu aliwapa mitume yake .
1.Taurat
2. Zaburi....
Ebu jaribu kufunga akili hata kidogo...biblia ni muunganiko wa vitabu vingi vilivyo unganishwa pamoja...humo utapata vitabu vya zaburi..injili..torati.

Hivyo vitabu viliandikwa na watu tofauti tofauti kwa nyakati walizo kuwepo ama kwa mafunuo waliyopatiwa.

Naendelea kukufundisha mpaka uelewe ujinga ukutoke.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nafuatilia huu uzi kwa karibu sana, mbaka sasahivi hapa naona mawakili upande wa utetezi kutoka uajemi wanaitana chemba mara ya 3 kujaribu kupangua nondo za mashahidi walioshuhudia kwa macho na kusikia kwa masikio yao, lakini mambo bado magumu sana.

Wazee wote wa baraza kutoka majukwaa mengine kule wamekaa kwenye mabenchi tu wanaangaliana.
Watu husikiliza na kuamua wanachotaka.......umeeleweka!
 
YESU AMEZALIWA WAPI?

Hakuna andiko lolote katika Bibilia lililotaja sehemu alipozaliwa Yesu Yani (Lebor ya Yesu)

Luka 2 (KJV)
6 Ikawa, katika kukaa huko, siku zake za kuzaa zikatimia,
7 akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng'ombe, kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.

Hili andiko halisemi kama Yesu amezaliwa katika hori la ngombo linasema amevikwa nguo akalazwa katika hori tena amelazwa hapo baada ya Mariam kukosa nafasi nyumba ya wageni inamaana wangepata nafasi nyumba ya wageni hapo katika hori la ngombo wasingefika

Yani kama hospital hapo katika hori ni warding sehemu ambayo wazazi wanaenda kupumzika na watoto wao baada ya kutoka Labor

Sasa je Lebor ya Yesu ili kuwa wapi ? Kwa mujibu wa Quran Lebor ya Yesu ni chini ya Shina la mtende

Quran 19:23.
Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa!

24.
Pakatangazwa kutoka chini yake: Usihuzunike! Hakika Mola wako Mlezi amejaalia chini yako kijito kidogo cha maji!

25.
Na litikise kwako hilo shina la mtende, utakuangushia tende nzuri zilizo mbivu.

Usitoe mandiko kama magarazeti
nenda katika point ya msingi

Mungu muumba mbingu na aridhi (Allah) anasema Yesu amezaliwa chini ya Shina mtende wewe wewe unabisha Sasa toa uthibitisho unao onyesha sehemu alipozaliwa Yesu ( Lebor ya Yesu) ili tujue kuwa Quran imeandika uongo hata ikipelekwa Mahakamani itashindwa
90% ya wagalatia hawajui kiswahili andiko linasema

amevikwa nguo akalazwa katika hori la ngombo

Wao wanasema kaziliwa Sasa sijui hiyo kuvikwa nguo na kulazwa ndio maana yake kuzaliwa

Hivi nyinyi wagalatia mnadhani kuichaleng Quran ni kazi rahisi wameshindwa watu walio kuwa watu mtakuwa nyinyi akina GENTOMICE

wekeni hilo andiko linalosema Mariam amemzaa Yesu ndani hori la ngombo tulione
 
Nimezaliwa mkristu nimeenda kanisani na kujifunza mengi. Naelewa taratibu za kikristu kwa kiasi chake...
Hata sasa hivi ikibidi kwenda Church naenda ingawa si kwa matakwa yangu ni mambo ya kijamii tu ndo yananipeleka huko.

But linapokuja suala la kiimani kuna vitu naona havipo sawa na havijawahi kuniingia akilini. Biblia ina mambo mengi tu ya ajabu yasiyoeleweka na ukihoji unaonekana una pepo sijui. Hawataki uhoji maana hawana majibu ya kuridhisha.

Kwahiyo ndani ya moyo wangu kuna mkanganyiko. Najua nikifa nitazikwa na wakristu lakini kama kweli Mungu yupo basi anauelewa msimamo wangu.
Atuongoze Mungu wa HAKI ANAYEJUA YALIYO VIFUANI KWETU NA HAJA YA KUMJUA NA KUMTUMIKIA YEYE
 
Wagalatia wa jf special case aiseee 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Usijiaibishe mkuu lugha zote kongwe "we" inaweza isimaanishe wingi bali utukufu

Na haipo exclusive kwa waarabu hebu pitia hapa ujielimishe zaidi

Bado hunishawishi!!!

Mawazo ya Kimungu hayawezi kujificha kwenye uchochoro wa lugha kama hivi na kwanini ajitengenezee mazingira tata kila wakati,kwamba angesema ”nikamuumba,nilimuumba” hadhi yake ingeshuka?kama kweli Mungu ndiye alishusha mistari hii huyo Mungu mimi nina mashaka nae,kwanza kwanini aendelee kutengeneza sintofahamu kwa viumbe wake baada ya sintofahamu aliyoitengeneza mwanzo kuonekana imewapoteza?

Kwa mujibu wa uislam hauutambui UTATU MTAKATIFU ambao wakristo wanaamini ni MUNGU MMOJA KTK NAFSI TATU (kwa upande mmoja tunaweza kusema ni maneno ya Mungu kabla watu hawajakengeuka na kujitungia uwongo wao dhidi yake)yumkini huoni kama kweli allah angekuwa na maono sahihi na ulimwengu ya kurekebisha hayo maneno baada ya kuona yaliyotokea hapo juu angeiweka clearly mistari ktk kitabu chake kinachoaminika ni cha kweli na cha mwisho kwa kuondoa haya mambo ya wingi ili isitokee tena sisi leo kuulizana hapa?

Nikisema mwandishi wa kuruan alijifungia mahali aka-copy baadhi ya mistari ktk Bible ili atengeneze kitabu chake kisha aka-limit uhuru wa kuhoji kwa kutoa conclusion kwamba atakaehoji aambiwe ni mambo ya lugha tu nitakuwa napotosha?hizo lugha zenyewe ni man made watu walikaa wakatengeneza maana wanazojua wao wakazitumia ni kwa vipi Mungu ang'ang'anizane nazo?
 
TOA MFANO..

Kilichokopiwa maana UNAWEZAKUWA UNAZUNGUMZA TU VYA KUAMBIWA... njia ya Muongo ni fupi....
 
Ukiweka Imani pembeni then ukaweka fact na vigezo vya kisheria na matakwayake mbaka sasaivi tayari Waajemi wangekuwa wanahangaika kukata rufaa.
 
Niambiwe na nani wakati akili ya kawaida inaonyesha kuna tatizo mahali?kama kweli Mungu ameshusha kuruan kwa vyovyote lazima angeondoa sintofahamu yoyote ya vitabu vya mwanzo ili aeleweke vyema na hata hapa nikitoa huo mfano hivi ni vitu tumekuwa tunabishana humu ndani miaka na miaka hakuna kitakachobadilika ni kupoteza muda twende na mada iliyo mezani.

Nii-summaries hoja yangu:alah ndiye muumba wetu sote....right?wewe unadhani kwanini aliacha kuondoa utata wa wingi ktk utambilisho wake baada ya wa kwanza kukosa kueleweka au kupinga siyo yeye aliyejinasibisha hivyo?

Ni kwa namna gani Mungu muweza wa yote arudie kosa lile lile,kwamba binadamu walikaa wakamtengenezea wingi "UTATU MTAKATIFU" halafu yeye akatuma mjumbe kuwaonya kwa kuwaambia siye yeye aliyesema hivyo halafu katikati ya onyo hilo akaingiza tena “WINGI” unaniambiaje hapa?
 
Bado hunishawishi!!!

Mawazo ya Kimungu hayawezi kujificha kwenye uchochoro wa lugha kama hivi na kwanini ajitengenezee mazingira tata kila wakati,kwamba angesema ”nikamuumba,nilimuumba” hadhi yake ingeshuka?kama kweli Mungu ndiye alishusha mistari hii huyo Mungu mimi nina mashaka nae,kwanza kwanini aendelee kutengeneza sintofahamu kwa viumbe wake baada ya sintofahamu aliyoitengeneza mwanzo kuonekana imewapoteza?

Kwa mujibu wa uislam hauutambui UTATU MTAKATIFU ambao wakristo wanaamini ni MUNGU MMOJA KTK NAFSI TATU (kwa upande mmoja tunaweza kusema ni maneno ya Mungu kabla watu hawajakengeuka na kujitungia uwongo wao dhidi yake)yumkini huoni kama kweli allah angekuwa na maono sahihi na ulimwengu ya kurekebisha hayo maneno baada ya kuona yaliyotokea hapo juu angeiweka clearly mistari ktk kitabu chake kinachoaminika ni cha kweli na cha mwisho kwa kuondoa haya mambo ya wingi ili isitokee tena sisi leo kuulizana hapa?

Nikisema mwandishi wa kuruan alijifungia mahali aka-copy baadhi ya mistari ktk Bible ili atengeneze kitabu chake kisha aka-limit uhuru wa kuhoji kwa kutoa conclusion kwamba atakaehoji aambiwe ni mambo ya lugha tu nitakuwa napotosha?hizo lugha zenyewe ni man made watu walikaa wakatengeneza maana wanazojua wao wakazitumia ni kwa vipi Mungu ang'ang'anizane nazo?
Ubishi wa nini?? Hiyo "Sisi" iliyotumika ni wingi wa kujitukuza. Ni sehemu ya kawaida katika Lugha ya Kiarabu. Qur'an imeshuka katika Lugha ya Kiarabu, tena fasaha mno. Na maneno iliyoyatumia ni yale yale ya Kiarabu kwa namna ile ile. Hivyo kutumia "Sisi" katika kujitukuza ni literary style ya kawaida mno katika Lugha ya Kiarabu.

Ndio maana Waarabu wenyewe, ikiwemo kabila lake la Quraysh, ambao Mtume alianza kuwalingania Uislam na Qur'an ilishuka katika lugha wanayoielewa na walikuwa fasaha sana na wakipenda sana ufasaha katika Lugha yao, hawakushangazwa na hilo.

Licha ya wao kuabudu miungu zaidi ya 300 na Qur'an ilipokuja ikapinga mno kuabudu kwao wengine wasiyokuwa Allah au kumuabudu Allah pamoja na wengine (Shirki) na wao wakawa wanafanya mjadala na Mtume juu ya hilo, lakini katika ubishi wao (Maquraish) na mjadala wao huo hawakuwahi kuhoji kuwa Allah anasema tumuabudu Yeye peke yake lakini mbona anatumia "Sisi"?

Kwa sababu hiyo ni kawaida katika lugha ya Kiarabu.

Allah amekileta Kitabu chake cha mwisho kitakachokuwa ni muongozo kwa WanaAdamu wote katika Lugha ya Kiarabu kwa sababu ya ufasaha wa Lugha hiyo. Na Waarabu ambao kwa jinsi walivyo fasaha katika lugha ya Kiarabu na wanavyopenda ufasaha katika Lugha (ndio maana pia walikuwa wanapenda mno ushairi na walikuwa hodari katika hilo), hii hoja yako wangeanza wao kwanza kuileta. Lakini umeileta wewe kwa sababu hujui lugha ya Kiarabu, na nina wasiwasi Kiswahili fasaha kitakuwa kinakusumbua pia.

Kwa hivyo hapa tatizo ni lako wewe na ni ujinga na ujinga huondolewa na Elimu.
 
Ebu jaribu kufunga akili hata kidogo...biblia ni muunganiko wa vitabu vingi vilivyo unganishwa pamoja...humo utapata vitabu vya zaburi..injili..torati.

Hivyo vitabu viliandikwa na watu tofauti tofauti kwa nyakati walizo kuwepo ama kwa mafunuo waliyopatiwa.

Naendelea kukufundisha mpaka uelewe ujinga ukutoke.

#MaendeleoHayanaChama
So kipi bora Sasa tufate vitabu walivyopewa mitume au tufate Bible
 
Ubishi wa nini?? Hiyo "Sisi" iliyotumika ni wingi wa kujitukuza. Ni sehemu ya kawaida katika Lugha ya Kiarabu. Qur'an imeshuka katika Lugha ya Kiarabu, tena fasaha mno. Na maneno iliyoyatumia ni yale yale ya Kiarabu kwa namna ile ile. Hivyo kutumia "Sisi" katika kujitukuza ni literary style ya kawaida mno katika Lugha ya Kiarabu.

Ndio maana Waarabu wenyewe, ikiwemo kabila lake la Quraysh, ambao Mtume alianza kuwalingania Uislam na Qur'an ilishuka katika lugha wanayoielewa na walikuwa fasaha sana na wakipenda sana ufasaha katika Lugha yao, hawakushangazwa na hilo. Licha ya wao kuabudu miungu zaidi ya 300 na Qur'an ilipokuja ikapinga mno kuabudu kwao wengine wasiyokuwa Allah au kumuabudu Allah pamoja na wengine (Shirki) na wao wakawa wanafanya mjadala na Mtume juu ya hilo, lakini katika ubishi wao na mjadala wao huo hawakuwahi kusema kuwa Allah anasema tumuabudu Yeye peke yake lakini mbona anatumia "Sisi"?

Kwa sababu ni jambo la kawaida mno katika lugha ya Kiarabu.

Allah amekileta Kitabu chake cha mwisho kitakachokuwa ni muongozo kwa WanaAdamu wote katika Lugha ya Kiarabu kwa sababu ya ufasaha wa Lugha hiyo. Na Waarabu ambao kwa jinsi walivyo fasaha katika lugha ya Kiarabu na wanavyopenda ufasaha katika Lugha (ndio maana pia walikuwa wanapenda mno ushairi na walikuwa hodari katika hilo), hii hoja yako wangeanza wao kwanza kuileta. Lakini umeileta wewe kwa sababu hujui lugha ya Kiarabu, na nina wasiwasi Kiswahili fasaha kitakuwa kinakusumbua pia.

Kwa hivyo hapa tatizo ni ujinga na ujinga huondolewa na Elimu.
Yesu akirudi Dunuani atasoma vitabu gani ?
 
Qur'an ni fasaha mno ndio maana hata Waarabu wenyewe walikuwa wanastaajabishwa na namna Qur'an ilivyo fasaha mno.
 
Allah amekileta Kitabu chake cha mwisho kitakachokuwa ni muongozo kwa WanaAdamu wote katika Lugha ya Kiarabu kwa sababu ya ufasaha wa Lugha hiyo. Na Waarabu ambao kwa jinsi walivyo fasaha katika lugha ya Kiarabu na wanavyopenda ufasaha katika Lugha (ndio maana pia walikuwa wanapenda mno ushairi na walikuwa hodari katika hilo), hii hoja yako wangeanza wao kwanza kuileta. Lakini umeileta wewe kwa sababu hujui lugha ya Kiarabu, na nina wasiwasi Kiswahili fasaha kitakuwa kinakusumbua pia.

Kwa hivyo hapa tatizo ni lako wewe na ni ujinga na ujinga huondolewa na Elimu.
Kwa hiyo wewe unaamini na inakuingia akilini kwamba baada ya alah kuona watu/viumbe aliowaumba mwenyewe wanamtungia ”WINGI" ambao yeye hana akaona awarudie kwa maandishi yakiwa bado na kile kile alichozushiwa nacho...”WINGI”?

Well,mie kiarabu sikifahamu ila wewe uniambie hapa ktk lugha ya kiarabu hakuna msamiati ”MIMI"?,kwanini azidi kuweka mazingira magumu kutambulika asiweke mazingira rahisi hata aliyeambiwa yupo "WENGI" ajue ni uwongo yupo "MMOJA"?

Pale juu kwenye bold,kawaida yenu kum-provoke mpinzani wenu,sitalitilia maanani sana hilo.
 
Ninachoshukuru Mimi Ni kuwa baadhi ya watu hapa walikuwa wagalatia na Sasa waislamu, wapo kwenye hizi komenti

Wangekuwa wameuona huo uongo mnaoupika hapa wangerudi kula kisusio na mnyama Wenu mnayemla hali ha kuwa Bibilia imewakaza.

Waajemi acheni ujanja njooni katika uislamu mtanishukuru baadae.
 
Ukiweka Imani pembeni then ukaweka fact na vigezo vya kisheria na matakwayake mbaka sasaivi tayari Waajemi wangekuwa wanahangaika kukata rufaa.
Wewe jamaa unafurahisha Sana...watu wamenuna halafu unawatania..
 
Back
Top Bottom