Nimefuatilia sana huu uzi,toka juu hapo
Nilichogundua ni kimoja tu ,wengi wetu tunasimamia kwa kile tulichokikuta tukiwa wadogo tukasomeshwa kwacho,basi tukasimamia hapo
Ila ipo hivi,amini au ukate Yote haya,Islam,Christ,Budha,Hinduism ,Jewish n.k ni mifumo tu ya jamii na jamii kulingana na mipaka ya mazingira waliopo na walichokikuta.
Dunia Hii imetembea miaka mingia sana sana sana ,hata kizazi hiki kilichopo baada ya 100yrs mbele hatutakuepo haijalishi kazaliwa leo au yupo tumboni kwa *****..Guess what ..wote tunakuwa tunasehemu tunayoamini,ila HAKUNA UHALISIA KABISA ni kushape tu wanadamu waishi kwa Amani na Upendo
Mwisho wa yote huwa tunazikwa wote ardhini na ukifa Aseeh habari yako ndio imefutika hapo haya mengine mtabishana ,mtatoa hoja na bla bla zingine
Bila kujua ni Biashara za watu wengine kabisa..Wake up Dude uruhusu Ubongo wako kuwaza zaidi,na siyo kuwaza ukichokikuta tu
Ukifa ndio mwisho haya mengine pigeni tu kelele muda Usonge..
OVER!