Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Hahah
Issa, Musa, Daudi, yusufu, yakobo, N.k ni waarabu?

Kama umefika Chuo kikuu basi utajua Dalili au sifa za Plagiarism.

1. Kachukua wahusika wa Wayahudi
Kamtoa Musa kwenye Torati ya Wayahudi kamuweka kwenye visa vyake vya Quran kisha kafanya modification
Kamchukua Daudi na Suleiman kwenye Zaburi kampachika kwenye kitabu chake cha Quran.
Kamchukua Yesu akampa jina Issa kwenye Injili akamuweka kwenye Quran yake.

Kachukua Yona kwenye Visa vya manabii wa kiyahudi, akamuita Yunus na kumuweka kwenye Quran.

2. Kaiba Visa vya Wayahudi alafu kafanya modification.
Mfano, kisa cha Yesu/Issa
Kisa cha Yusufu
Kisa cha Musa na Kina Daudi.

Kitu pekee nilichoona Muhammad hajafanya Fair ni kumuacha kumuiba Mungu WA Wayahudi aitwaye Yehova ambaye ndiye aliyesimamia shoo zote tangu Ibrahimu mpaka Yesu, akamuweka mungu wake wa kiarabu aliyekuwa anamuabudu pale kwenye Alkaba aitwaye Allah.
Hahah unajua APA tunasoma labda niulize mtume Muhammad saw aliandika kitabu cha Qur'an au alishushiwa
 
Hahah

Hahah unajua APA tunasoma labda niulize mtume Muhammad saw aliandika kitabu cha Qur'an au alishushiwa
Alieandika , kwa kuunga story, kipya alicho leta Muhammad ni mapepo kuwa ni waislamu
 
Aliyekuambia Quran imekusanywa vizuri ni Nani na kwa ushahidi upi unathibitisha maelezo yako?

Maana mtiririko wa visa na mpangilio wa Aya za Quran wenyewe unatosha kuifanya Quran isiaminike.

Hoja zangu kwenye Uzi huu Kule juu kabisa post no 1 bado hajatokea wa kujibu, kumaanisha hukumu ikitolewa mahakamani ni kwamba mpaka muda huu Quran imeangukia pua.
Hakuna atakae kujibu izo hoja usiendelee kusubiri kwasababu mambo ya kiimani hayaingiliani hata kidogo na mambo ya kimahakama za kidunia yani vitabu vyote mahakamani vinatolewa nje na kila mtu atavuta upande wake na ndo kitu ulichokiona kwenye uzi wako watu wamekua busy kubishana mambo mengine kwasabu kwasababu ulichoandika hujatumia akili kwa wataalamu wa mambo ya sheria wenyewe wanakushangaa wa pande zote wafia bible na Quran ila ndo ivo wanaendeleza chuki zao kwa kubishana mambo mengine

Ungekuja na title iliyoenda shule watu wangejibu kwa hoja bila shaka title ya uzi imekaa kitoto japokuwa ulitaka kutengeneza mazingira flani kuwa upo smart katika kushusha thread ila wajuaji wa jf tunajua umezingua ila tunabishana mambo mengine kwasabu sisi watumwa wa izi dini hatukosagi cha kubishana.

Jibu, swali la kwanza ulilouliza:: Kabla sijajibu unajua Qurani imeandikwa mwaka gani baada ya muhammad kufariki? Na nani alieandika?

Unajua sura ya kwanza kumshuki muhammad na ya mwisho kumshukia muhammad? na kwanini hazijawekwa kwenye mpangilio huo katika kitabu na watu hawabadilishi mpaka leo kwakuweka sura ya kwanza kushuka ikawa ya kwanza katika kitabu na ya mwisho ikawa ya mwisho ?

Ungeyajua ayo usingeuliza ilo swali, na kama hujui mkuu ivo vitu acha kabisa kubishana kuhusu qurani kwasabu unakua hujui unabishana nini unazidi kuonekana hauna akili na nikuhakikishie kama unaakili timamu ukichambua quran kwa roho kunjufu ili uijue weka chuki pembeni.. kwa hiari yako bila kushikiwa fimbo utaenda kutamka shahada msikitini [emoji16] wengi imewatokea kama mfatiliaji wa mambo unajua ilo
 
Kila mtu anajua Yesu alizaliwa wakati warumi,
Quran pekee ndio haujui.
Embu Lete Aya inayosema Yesu alizaliwa wakati wa utawala wa warumi

Alafu dunia yote inajua Yesu alizaliwa Bethlehem, lakini Quran haijui Yesu alizaliwa Wapi?
Hivyo mtu hata akisema alizaliwa Tanzania anaweza kuwa sahihi.

Na sio Yesu tuu pia Quran haijui Kina Daudi, Suleiman, Ibrahimu, na wengineo haijui walizaliwa wapi.

Kimahakama hiyo pekee inaweza kuiondoa Quran kama rejea kuu na kitabu cha kuaminika
Mbona biblia aijui tarehe rasmi ya kuzaliwa kwa yesu ?wapi imeeandika
 
Hahah

Hahah unajua APA tunasoma labda niulize mtume Muhammad saw aliandika kitabu cha Qur'an au alishushiwa

Aliandika kupitia maswaha aliokuwa anawasimulia.
Kwani hujui hata historia ya kitabu cha Quran?
Hakuna Aya iliyoshushwa haya moja.

Muhammad alikuwa akiwasimulia Maswahaba wale alafu wao waaandika, yaani alikuwa anasimulia kadiri alivyokuwa anakumbuka.
Zingatia, mpaka Muhammad anaondoka hapakuwa na kitabu kinachoitwa Quran, Ila maswahaba wake wao ndio walikusanya zile Aya na kuunda kitabu ambacho mnakitumia hivi leo.
 
H
Alieandika , kwa kuunga story, kipya alicho leta Muhammad ni mapepo kuwa ni waislamu
Ujui Quran imeteremshwa na aijabadilishw imekusanya yote ya nyuma zama zilizopita maana mitume yote lengo lake lilikua moja kumjua mungu
 
H

Ujui Quran imeteremshwa na aijabadilishw imekusanya yote ya nyuma zama zilizopita maana mitume yote lengo lake lilikua moja kumjua mungu
Haijashushwa muhammad alikuwa anaandikiwa yeye anatunga story anasaidiwa na wakristo

Unazijua surah ndefu za koran?
Huyu hapa mwamba mkristo Alie andika badae mkaja kumchinja
muhammad alikuwa hajui Ata jamaa anaandika nini yeye anakariri tu

Narrated Anas:
There was a Christian who embraced Islam and read Surat-al-Baqara and Al-`Imran, and he used to write (the revelations) for the Prophet. Later on he returned to Christianity again and he used to say: "Muhammad knows nothing but what I have written for him.
Sahih bukhari 3617
 
Mbona biblia aijui tarehe rasmi ya kuzaliwa kwa yesu ?wapi imeeandika

Imeandika wakati WA utawala wa Herode, kipindi cha Sensa cha Wayahudi.

Hivi mtu akisema Fulani alizaliwa wakati Magufuli anatawala hajataja tarehe ya kuzaliwa kwake?

Au mtu akitaja alizaliwa kipindi cha utawala wa Mkapa, Kwa Uelewa wako au kimahakama hawawezi kujua ni wakati au miaka ipi?

Hapo ndio utajua umuhimu wa shule
 
H

Ujui Quran imeteremshwa na aijabadilishw imekusanya yote ya nyuma zama zilizopita maana mitume yote lengo lake lilikua moja kumjua mungu

Kwa hiyo Allah wakati anashisha Quran kwenye kipengele cha Torati kwanini amemuacha Yehova Mungu WA Wayahudi kumhadithia?
Anaelezea wayahudi lakini hataki kumuelezea Mungu wao?
 
S
Aliandika kupitia maswaha aliokuwa anawasimulia.
Kwani hujui hata historia ya kitabu cha Quran?
Hakuna Aya iliyoshushwa haya moja.

Muhammad alikuwa akiwasimulia Maswahaba wale alafu wao waaandika, yaani alikuwa anasimulia kadiri alivyokuwa anakumbuka.
Zingatia, mpaka Muhammad anaondoka hapakuwa na kitabu kinachoitwa Quran, Ila maswahaba wake wao ndio walikusanya zile Aya na kuunda kitabu ambacho mnakitumia hivi l

Aliandika kupitia maswaha aliokuwa anawasimulia.
Kwani hujui hata historia ya kitabu cha Quran?
Hakuna Aya iliyoshushwa haya moja.

Muhammad alikuwa akiwasimulia Maswahaba wale alafu wao waaandika, yaani alikuwa anasimulia kadiri alivyokuwa anakumbuka.
Zingatia, mpaka Muhammad anaondoka hapakuwa na kitabu kinachoitwa Quran, Ila maswahaba wake wao ndio walikusanya zile Aya na kuunda kitabu ambacho mnakitumia hivi leo.
Hakuna kitu kama hicho Surat zilikua zinashuka daily ad alipo fariki kitabu cha Qur'an kikawa kimetima na sio uandish wa kawaida na sio maswahaba walikua wanashika aya chache sana tena waanandika ukutani lakin kupitia malaika wake mwenyz mungu likatimia kiaandikwa kitabu kimejaa mafundisho ya mungu soma Quran utaijua
 
Ng'ombe ni nyenzo ya muhimu kwa Allah Kwa ajili ya kufufulia wafu

Koran 2:73. Tukasema: Mpigeni kwa kipande chake (huyo ng'ombe). Ndivyo hivi Allah huwahuisha wafu; na anakuonyesheni Ishara zake ili mpate kufahamu.
Huo ni mfano kuwa Mungu anaweza kufufua mtu aliyekufa izo process alizozieleza kumhusu ng'ombe kafatishe na wewe umfufue babu yako [emoji16] waislam wanaamini Mungu akiamua jambo lolote linakuwa kwani yesu alifufua wafu kwakutumia ng'ombe

Ila nyie jamaa sio poa [emoji28][emoji28][emoji28]hamkosi kakitu kakupachika tatizo lenu mnaweza kamata sentes moja au neno moja bila kuangalia linamaliza vipi na limeanza vipi mkishika mmeshika
 
S

Hakuna kitu kama hicho Surat zilikua zinashuka daily ad alipo fariki kitabu cha Qur'an kikawa kimetima na sio uandish wa kawaida na sio maswahaba walikua wanashika aya chache sana tena waanandika ukutani lakin kupitia malaika wake mwenyz mungu likatimia kiaandikwa kitabu kimejaa mafundisho ya mungu soma Quran utaijua

Mpaka Muhammad anaondoka hapakuwa na Quran unayoishika hivi leo.
Muulize Mwalimu wako WA dini.
Hata hivyo Hilo sio kosa.

Tatizo lipo kwenye hoja zangu hapo juu, ambazo mpaka sasa umeamua kujifanya huzioni, na hii ni kutokana zimekuwa ngumu Kwa mawakili WA utetezi wa Quran
 
Huo ni mfano kuwa Mungu anaweza kufufua mtu aliyekufa izo process alizozieleza kumhusu ng'ombe kafatishe na wewe umfufue babu yako [emoji16] waislam wanaamini Mungu akiamua jambo lolote linakuwa kwani yesu alifufua wafu kwakutumia ng'ombe

Ila nyie jamaa sio poa [emoji28][emoji28][emoji28]hamkosi kakitu kakupachika tatizo lenu mnaweza kamata sentes moja au neno moja bila kuangalia linamaliza vipi na limeanza vipi mkishika mmeshika
Yesu alikuwa anatamka tu amka unaamka

Mimi nimesema ng'ombe anaabudiwa na WA Hindu ila ana heshima yake pia kwa waislamu maana ni nyenzo ya muhimu ya Allah kufufua
 
H

Ujui Quran imeteremshwa na aijabadilishw imekusanya yote ya nyuma zama zilizopita maana mitume yote lengo lake lilikua moja kumjua mungu
Sio kubadilishwa tu mpaka Kuna verse zilipotea

Aishah said:
“The Verse of stoning and of breastfeeding an adult ten times was revealed1, and the paper was with me under my pillow. When the Messenger of Allah died, we were preoccupied with his death, and a tame sheep came in and ate it.” Sunan Ibn Majah 1944
 
Kwa hiyo Allah wakati anashisha Quran kwenye kipengele cha Torati kwanini amemuacha Yehova Mungu WA Wayahudi kumhadithia?
Anaelezea wayahudi lakini hataki kumuelezea Mungu wao?
Apo inabidi ujue jehova katajwa wapi kwenye Quran au Bible kataja kweny Bible tena jehova alikua kipindi cha musa uko end za farao sasa jehova aje kwenye Quran wa mini kwanza jehova ni nani soma biblia alafu jiulize biblia INA miungua mingapi jehova au yesu
 
S

Hakuna kitu kama hicho Surat zilikua zinashuka daily ad alipo fariki kitabu cha Qur'an kikawa kimetima na sio uandish wa kawaida na sio maswahaba walikua wanashika aya chache sana tena waanandika ukutani lakin kupitia malaika wake mwenyz mungu likatimia kiaandikwa kitabu kimejaa mafundisho ya mungu soma Quran utaijua

Kama Quran imetimia embu tuambie
Wahusika hawa Kwa mujibu wa Quran walizaliwa wapi? Wakaishi na kufa wakiwa na miaka mingapi?
Musa,
Yusufu
Ibrahimu
Daudi,
Suleiman
Yakobo
N.k.

Kama kweli unataka kitabu cha Quran kitumike Kama rejea kuu
 
Apo inabidi ujue jehova katajwa wapi kwenye Quran au Bible kataja kweny Bible tena jehova alikua kipindi cha musa uko end za farao sasa jehova aje kwenye Quran wa mini kwanza jehova ni nani soma biblia alafu jiulize biblia INA miungua mingapi jehova au yesu
Soma isaya 42:8 hyo ni mungu wa bibilia anavo jitambulisha
 
Kama Quran imetimia embu tuambie
Wahusika hawa Kwa mujibu wa Quran walizaliwa wapi? Wakaishi na kufa wakiwa na miaka mingapi?
Musa,
Yusufu
Ibrahimu
Daudi,
Suleiman
Yakobo
N.k.

Kama kweli unataka kitabu cha Quran kitumike Kama rejea kuu
Jibu liko wazi
 
Apo inabidi ujue jehova katajwa wapi kwenye Quran au Bible kataja kweny Bible tena jehova alikua kipindi cha musa uko end za farao sasa jehova aje kwenye Quran wa mini kwanza jehova ni nani soma biblia alafu jiulize biblia INA miungua mingapi jehova au yesu

😂😂😂
Yahweh/ Yehova/ Jehova ndiye mungu wa Wayahudi.
Katajwa kwenye Torati, Zaburi na Injili.

Biblia inamungu mmoja, naye ni Yahwe/Jehova/Yehova Kwa Kiswahili anaitwa "Niko ambaye Niko"
Huyo Yesu sio Mungu Kwa mujibu wa Biblia.

Sasa Kama hujui mpaka leo Mungu WA Wayahudi bado wanamuabudu unasema aliyumika wakati WA Musa huoni kama huu mjadala ushakuwa mzito kwako
 
Back
Top Bottom