Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,183
- 3,660
Wewe unamuamini Yesu gani?Muhamad kaandika kwa qurani,kasema
[emoji117]Ukiwa unatafuta kitu na ukikose kwenye Qurani ukitafute kwenye Bibilia[emoji736][emoji95]ata yeye aliipata Bibilia na anajua ni ya kweli,Neno la Mungu[emoji123]
Kitu ingine Ata Kwenye Quran hakuna aliyezaliwa mwenye nguvu Kama Yesu ebu cheki;
Quran imeandikwa kwa kurasa Nyingi kuhusu Maria na kuzaliwa kwake Yesu,na alizaliwa na Bikra ambae hakuwahi fanya tendo la ndoa[emoji108]Yani ni maajabu[emoji91][emoji91]na yeye Yesu alikuwa akifanya maajabu mpaka eti Muhammad kaandika kwenye Quran eti ni magician[emoji23]hakuelewa nguvu za Yesu[emoji91]alitaka naye awe Kama yeye
*Usisahau Muhammad mwenyewe kakiri kuwa,aliandika kwenye Qurani mambo ambayo Allah wake hakusema[emoji848]
Leo nasema hivi!!!!
Nitazidi kumwamini Yesu wangu ambae kwa Imani kubwa nikimtaja hivi shetani yote yanatetemeka!!![emoji108][emoji95]
Yesu ndio ngao langu!
Maana katika Bibilia Kuna Yesu wawili
Yesu wa kwanza ni yule nabii aliyetumwa na Mungu kwa ajili ya wana wa Israel
Yohana 17:3 (KJV)
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Na Yesu wa pili ni yele Yesu wa Paulo ambayo aliwadanganya watu kuwa Yesu ni Mungu ili yeye ajipe utume
Tito 2:13 (KJV)
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;
Huyo Yesu mtume wa Mungu ni wa kweli ila huyo Yesu wa Paulo ni garasa ambalo halijawahi kuwepo duniani