Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Nimekuuliza wewe unamfuata Yesu gani

Yesu aliyetumwa na Mungu kwa ajili ya wana wa Israel?

Au Yesu wa Paulo ? Yesu ambaye hakuwahi kuwepo duniani

Yohana 17:3 (KJV)
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.


Tito 2:13 (KJV)
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;
Na Nikuulize kwani waizraeli ndio akina Nani???12tribes of Israel ndio Nani???Kama Mwafrika Mweusi ndiye wa kwanza kwa dunia Basi sisi ndio watoto wake Abraham,watoto wa Isaac👌Real Jews👌and Jesus is King of Jews,King of kings and Lord of lord's!!
Let the whole world bow before Him!!🙏Sina makosa
 
Kwani wewe unaelewa nini unaposikia kitabu cha imani? Mbona unataka tubishane pasina ulazima,

Hakuna kitabu cha Imani.
Ila vipo vitabu ambavyo watu wameamua kujenga Imani katika vitabu hivyo.
Kuna watu wanaimani lakini hawana vitabu.

Hata kina Ibrahimu, yakobo, Esau, Yusufu hawakuwa na vitabu lakini walikuwa na Imani.
Hata Sisi Waafrika tulikuwa tunaimani katika Dini zetu lakini hatukuwa na vitabu.

Ndio maana nikakuambia Wewe kuna mambo ya Msingi hauyajui hasa yanayohusu Falsafa/theolojia.

Ila ukiwa na Nia ya kujua Kwa mwendo huu utaelewa.
 
Kwani wewe unaelewa nini unaposikia kitabu cha imani? Mbona unataka tubishane pasina ulazima,

Ninyi ndio mnaweza kumchinja mtu kisa kachana Quran au Biblia Kwa kudhani amechana Kitabu cha Imani😂😂😂

Ichokoze akili yako ifanye kazi.

Naona umetaka tutoke kwenye hoja kuu tujadili vitu vilivyonje ya Hoja
 
Hivi Mahakama ikiwaambia muthibitishe Pale ulipokuwa mti wa mtende ambapo mnasema Yesu Kristo alizaliwa, mtaweza kwenda kupaonesha ?

Mtaenda kupaonesha katika Nchi, Mkoa, Wilaya, Kata na Kijiji gani ?
Mtaa upi ?

Nani mtakaye mtegemea awaongoze hapo mahali mnapo dai kuzaliwa Yesu Kristo ?

Hivi mnafikiri sasa hivi Mahakama ikitaka kupaona mahali alipo zaliwa Yesu Kristo itawauliza akina nani ?

Kama huwezi kujibu hayo maswali tambua kuwa umetapeliwa.
 
Kwema Wakuu!

Kutokana na mjadala fulani uliokuwa unaendelea katika Jukwaa la Intelligence nimeona nianzishe uzi huu kwa lengo la kujifunza na kuweka mjadala huru. Pia kupima katika mizania ya kimahakama/kuthibitisha ukweli wa masimulizi yaliyomo kwenye Biblia na kwenye Quran.

Nani mkweli na nani muongo kati ya Biblia na Quran?

Sipo hapa kumfanya yeyote awe sijui Mkristo au Muislam au Myahudi, bali nipo kujadili nani mkweli kati ya Biblia na Quran katika mizani ya kimahakama, majaji mtakuwa ninyi wasomaji.

Mahakamani siyo kila kesi inayopelekwa mahakamani ni kesi ya uvunjifu wa sheria, hasha! Bali yapo mambo huweza kupelekwa mahakamani kama kutaka uthibitisho, ukweli, mbali na haki.

Hivyo hata Biblia na Quran vinaweza pelekwa mahakamani na ukweli ukajulikana tuu. Sema kwa vile mambo haya yanagusa imani za watu jambo hilo linaweza kuwa gumu.

Zifuatazo ni hoja kwa nini Biblia ni kitabu cha kweli na kinapaswa kuwa rejea kuu zaidi ya Quran, kwa sababu;

1. Biblia kwa sehemu kubwa haina maneno ya 'Hearsay' wakati Quran kwa 90% maneno yake ni 'Hearsay'. Kimahakama maneno ya 'hearsay' hayasikilizwi na hayawezi kuchukuliwa kama ushahidi mzito, au kama rejea muhimu. Hoja hii ndiyo hoja nzito kuliko zote zinazoifanya Biblia kiwe kitabu kikuu chakweli kinachoiacha Quran Kwa mbali Sana.

a) Waandishi wengi wa Biblia wanaandika matukio yaliyokuwa yanawatokea wao wenyewe. Mfano Musa anasimulia jinsi anavyowatoa Waisrael Misri kwenda Kanaani, Daudi anasimulia hekaheka zake, Suleiman, Daniel, Yona n.k.

Wakati msimuliaji wa Quran yeye anasimulia habari ambazo yeye hakuwepo. Mfano Muhammad, anasimulia habari za Musa ambaye hayupo na ni miaka zaidi ya elfu iliyopita. Muhammad hajawahi kumuona Musa wala Daudi, wala Suleiman wala Yesu.

Kisa cha Yesu ndani ya Biblia tunaweza kukikubali kwa sababu kiliandikwa na baadhi ya wanafunzi wake akiwepo Marko, Mathayo na Yohana. Hivyo hata mahakamani tunaweza watumia watu waliyoshuhudia matukio ya Yesu aliyoyafanya. Ila tunaweza kukitoa kitabu cha Luka kwa sababu yeye alisimuliwa.

Hata hivyo ulikuwa ni wakati ule ule hivyo naye anaweza akasimulia kitu kikaeleweka. Tofauti na Quran ya Muhammad ambayo inasimulia tukio ambalo ni miaka zaidi ya 500 tangu litokee na anayeandika hajawahi mshuhudia huyo Yesu/Issa.

2. Waandishi wa Biblia walikuwepo maeneo tajwa kwenye Biblia, lakini Quran aliyeandika hajawahi kufika maeneo anayoyasimulia. Yaani Muhammad anasimulia habari za Israel na Waisrael ambapo hajawahi kufika, hajui pakoje, hajui watu wake wakoje.

Muhammad anasimulia habari za Jerusalem ya Suleiman halafu hajawahi kufika Jerusalem na hajawahi kumuona Suleiman, wakati Suleima mwenyewe kaandika habari zake mwenyewe. Kumbuka kutoka Suleiman mpaka Muhammad ni zaidi ya miaka 1000.

Quran kisheria hakiwezi kutumika kama rejea kwa maana msimuliaji anasimulia habari za eneo ambalo hajawahi kufika wala kushuhudia. Wala wakati matukio yanatokea hakuwepo.

3. Biblia ni muunganiko wa vitabu vingi vilivyoshushwa kwa manabii tofauti tofauti kwa nyakati tofauti tofauti, wakati Quran licha ya kuwa na vitabu vingi lakini vitabu vyote ameshushiwa Muhammad.

Embu shangaa, kisa cha Adamu kashushiwa Muhammad, kisa cha Nuhu kashushiwa Muhammad, kisa cha Ibrahimu kashushiwa Muhammad, kisa cha Yakobo na Yusufu kashushiwa Muhammad, kisa cha Waisrael kashushiwa Muhammad, mpaka kisa cha Yesu. Na visa vyote hakuwepo!😀😀

Upande wa Biblia
Ila wenzake Kisa cha Musa aliandika mwenyewe Musa, kisa cha Ayubu aliandika mwenyewe Ayubu, kisa cha Daudi aliandika Daudi mwenyewe, Kisa cha Yona kaandika Yona mwenyewe, kisa cha Yesu waliandika watu wake wakaribu (wanafunzi waliomshuhudia), kisa cha Daniel kaandika Daniel mwenyewe.

Vitabu hivi ni ushahidi wa wazi kwasababu wanaosimulia ni wahusika wenyewe. Ni kama vile kitabu cha Mzee wetu Mwinyi au Mzee wetu Mengi.

Muhammad kashushiwa vitabu ambavyo anasimulia hadithi za kusimuliwa (Hearsay), kitu pekee ambacho Quran inaweza kuwa ukweli na ikachukuliwa kama ukweli ni masimulizi ya kile alichokifanya Muhammad kwani alikuwepo na anasimulia tukio linaloendelea au alilolifanya.

4. Biblia imeandikwa na Wayahudi kwa kiasi kikubwa na wanasimulia habari zao wenyewe. Lakini Quran imeandikwa na Waarabu kwa lugha ya Kiarabu lakini inasimulia habari za wasiyo Waarabu, inasimulia habari za watu wengine ambao hawakuwaona.

Yaani mimi Mpare wa zama hizi nisimulie mambo ya Wasukuma ya kale ambayo sikuwepo. Hivi ninyi mtanisikiliza mimi Mpare ninayesimulia habari za kale za Wasukuma au mtasikiliza Wasukuma wenyewe?

Muhammad Muarabu aliyezaliwa Makka na akafia Madina hajawahi kufika Jerusalem, hajui hata Rama, Bethlehemu alipozaliwa Kristo halafu yeye anakwambia alizaliwa kwenye mtende halafu kuna mtu Myahudi aliyekuwa rafiki wa Yesu anakuambia Yesu rafiki yake kazaliwa kwenye hori la ng'ombe.

Huyo Rafiki wa Yesu Yohana, ni Myahudi mwenzake Yesu, anapajua Bethlehem, anapajua Jerusalem ndani nje. Je utamsikiliza nani?

Haya Quran na hadithi za Kiyahudi kama anavyosimulia Mtume na maswahaba wake wanakuambia Suleiman alikuwa anafuga majini. Kumbuka huyo Muhammad anasimulia habari za watu wa taifa jingine ambao wanatofautiana lugha na tamaduni, hajawahi kufika Jerusalem mji wa Daudi na mwanaye Suleiman, hajui Kiyahudi, haabudu dini ya Wayahudi anayoabudu Suleiman.

Anakuambia Suleiman alikuwa anafuga majini, lakini Suleiman mwenyewe katika hadithi zake au hadithi za mwanaye Yerobohamu hajawahi kusema kitu kama hicho. Pia utamaduni wao hauruhusu kufuga madudu hayo majini. Wewe utamuamini huyo Muhammad au utamuamini Suleiman mwenyewe aliyeandika katika vitabu vyake vilivyopo katika Biblia? Jibu utabaki nalo.

5. Mungu wa kwenye Biblia ni Jehova/Yahwe ambaye ni Mungu wa Waisrael wanaosimuliwa ndani ya kitabu hicho. Lakini Quran mungu wake ni Allah, Mungu wa Waarabu wa kabila la Wakurdi wa zamani lakini cha ajabu huyo Allah, ati huyo Allah kuna sehemu anamuagiza kina Musa (Myahudi na dini yake Uyahudi) wakati kimsingi Musa Mungu wake ni Yahweh mpaka anakufa.

Hata hivi leo Mungu wa Wayahudi hajabadilika ni Yahwe na mpaka hivi Mungu wa waarabu hajabadilika ni yule yule Allah. Lakini Quran inapotosha kuwa Mungu anayewaagiza Wayahudi ni Allah hii ni kutokana muandishi wa Quran alikuwa Muarabu.

Wahusika kuanzia kwa Yakobo mpaka kwa Yesu ni Wayahudi na dini yao ni Uyahudi na Mungu wao ni Yahweh, lakini Quran imepuyanga katika eneo hilo.

6. Biblia imetangulia miaka mingi kabla ya Quran. Hivyo kwa kuwahi imeshuhudia na inaweza kusimulia matukio yaliyotokea zamani zaidi kuliko Quran, siyo ajabu Quran yenyewe ndiyo imenakili baadhi ya visa ingawaje inajimilikisha.

Biblia inaweza kujitegemea bila ya uwepo wa Quran kwani yenyewe ndiyo baba/chanzo cha Quran. Lakini Quran kama ukitoa visa ilivyovinakili kutoka kwenye Biblia na maandiko yote ya Kiyahudi basi Quran inabaki bila ya nguvu yoyote Ile.

7. Mtiririko na visa na matukio ya Kihistoria.
Biblia ni kitabu ambacho kimeandikwa Kwa kufuata mtiririko wa visa na matukio unaoleweka. Kuanzia kisa cha Adamu mpaka Yusufu anachosimulia Musa, Kisha tawala za dunia kama Tawala la Nimrodi, kisha tawala la mafarao, kisha tawala la Waashuru na Wakaldayo, kisha wakafuata Waajemi na Wamedi, kisha wakafuata Wayunani/wagiriki, kisha wakafuata Warumi ndipo alipozaliwa Yesu.
Lakini Quran haina mtiririko wa visa na matukio, kumaanisha haiwezi kutumika hata shuleni Kama rejea za kihistoria kuhusu tawala, au mambo ya kuitawala au Kisiasa kwani Quran haijui wapi dunia imetoka ilipo na wapi inapoenda. Wakati Biblia inaeleza wapi Dunia ilipotoka na wapi ilipo na inapokwenda.

Quran inaweza kuulizwa swali, Yesu alizaliwa wakati WA utawala gani na wanani na ukashindwa kujibu?
Kimahakama Quran kama haijui baadhi ya taarifa muhimu kama Zama na Maeneo husika ya tukio lilipotukia haiwezi kutumika kama Rejea au ushahidi muhimu katika mambo ya Kidini.
Kwa mfano; Issa kazaliwa kwenye mtende Kwa mujibu wa Quran lakini haielezi ni eneo gani au nchi gani Issa alizaliwa, hata Hapa Tanzania ipo mitende, hii ni tofauti na Biblia inataja na kuelezea visa katika mtiririko uliokamilika.

Quran ambacho ingefanya ni kutoa nondo kuanzia wakati wa Muhammad kuja mbele na siyo kurudia hadithi zilizokwisha kuwepo. Mbona Injili haujarudia visa? Quran haiwezi kuchukuliwa kama rejea kuu kuzidi Biblia kwa sababu nilizozitaja hapo juu.

Majaji mjadili kwa hoja.

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
daah we jamaa kumbe sio wa kispotispoti,,umepiga kwenye mshono watu wanaweweseka ovoovo
 
Hivi Mahakama ikiwaambia muthibitishe Pale ulipokuwa mti wa mtende ambapo mnasema Yesu Kristo alizaliwa, mtaweza kwenda kupaonesha ?

Mtaenda kupaonesha katika Nchi, Mkoa, Wilaya, Kata na Kijiji gani ?
Mtaa upi ?

Nani mtakaye mtegemea awaongoze hapo mahali mnapo dai kuzaliwa Yesu Kristo ?

Hivi mnafikiri sasa hivi Mahakama ikitaka kupaona mahali alipo zaliwa Yesu Kristo itawauliza akina nani ?

Kama huwezi kujibu hayo maswali tambua kuwa umetapeliwa.
Yaani ukishajua sehemu au mti aliozaliwa Yesu chini yake utakusaidia nini??

Quran ni kitabu cha muongozo kwa wamchao Mungu...kinatoa maonyo na bishara njema. Sio kitabu cha kihistoria au kijiografia.
 
Hivi Mahakama ikiwaambia muthibitishe Pale ulipokuwa mti wa mtende ambapo mnasema Yesu Kristo alizaliwa, mtaweza kwenda kupaonesha ?

Mtaenda kupaonesha katika Nchi, Mkoa, Wilaya, Kata na Kijiji gani ?
Mtaa upi ?

Nani mtakaye mtegemea awaongoze hapo mahali mnapo dai kuzaliwa Yesu Kristo ?

Hivi mnafikiri sasa hivi Mahakama ikitaka kupaona mahali alipo zaliwa Yesu Kristo itawauliza akina nani ?

Kama huwezi kujibu hayo maswali tambua kuwa umetapeliwa.


Nakuthibitishia hapa alipozaliwa yesu kama mnavyosema Wakristo na Biblia zenu zinavyowalisha matango pori


Born in a Stable?


manger.jpg



Was Jesus born in a stable? Or a barn? Or a cave?


Luke* says only a manger. There was no room for him in the kataluma ("inn" or guest room).


But Joseph supposedly had returned to his ancestral home, "the lineage of David". So the place should have been chock-full with his own relatives. And not one of them would accommodate a heavily pregnant woman? Tut-tut.


The reality is that the story of Jesus is enhanced by the "humble birth".


Early Christians were taken by the idea that he was, in fact, born in a cave. Can you get any more humble than that?


* Matthew, a tad more realistic, says, "And when they had come into the house ..." (2.11).
 
daah we jamaa kumbe sio wa kispotispoti,,umepiga kwenye mshono watu wanaweweseka ovoovo
Kajipiga mwenyewe kwenya mshono!! Mimi namchallenge aseme wapi tukutane tujadili kuhusu Quran na biblia Live, mjadala uwekwe Youtube na hapa Jamii forums. Nawahakikishia hataweza kusimama hata dakika 10 kutetea hoja zake.
 
daah we jamaa kumbe sio wa kispotispoti,,umepiga kwenye mshono watu wanaweweseka ovoovo


Mshono mwengine huu wa ki Bugaloo


The Cave



bethlehem-cave.jpg



In the 4th century construction of the Christian dreamscape a church was built over a conveniently located cave in Bethlehem – over, that is, a cave previously consecrated to the worship of Adonis-Tammuz (Lord Tammuz).


A grander version of the church was built by emperor Justinian and much of it remains today, still featuring "the cave of the nativity".
 
daah we jamaa kumbe sio wa kispotispoti,,umepiga kwenye mshono watu wanaweweseka ovoovo


NA HUU NI MSHONO WA CHUPA



Church Father offers evidence of Cave plus Manger


"With respect to the birth of Jesus in Bethlehem, if any one desires, after the prophecy of Micah and after the history recorded in the Gospels by the disciples of Jesus, to have additional evidence from other sources, let him know that, in conformity with the narrative in the Gospel regarding his birth, there is shown at Bethlehem the cave where he was born, and the manger in the cave where he was wrapped in swaddling-clothes."


– Origen. Contra Celsus, I, 51.
 
daah we jamaa kumbe sio wa kispotispoti,,umepiga kwenye mshono watu wanaweweseka ovoovo

Na huu mshono mwengine wa kurarua rarua


simeon.jpg



** Orthodox tradition holds that Simeon was one of the original translators of the Septuagint (Alexandria 3rd century BC). He was 360-years-old when he beheld Jesus in the temple.


Kinda says it all.

 
Hivi Mahakama ikiwaambia muthibitishe Pale ulipokuwa mti wa mtende ambapo mnasema Yesu Kristo alizaliwa, mtaweza kwenda kupaonesha ?

Mtaenda kupaonesha katika Nchi, Mkoa, Wilaya, Kata na Kijiji gani ?
Mtaa upi ?

Nani mtakaye mtegemea awaongoze hapo mahali mnapo dai kuzaliwa Yesu Kristo ?

Hivi mnafikiri sasa hivi Mahakama ikitaka kupaona mahali alipo zaliwa Yesu Kristo itawauliza akina nani ?

Kama huwezi kujibu hayo maswali tambua kuwa umetapeliwa.




The Birth of Jesus Christ – Competing mythologies
Bethlehem:Matthew

Mary/Joseph already live in Bethlehem
Luke

Mary/Joseph live in Nazareth

"Worldwide" Census (pretext for birthing in Bethlehem)
Angelic announcements: to Joseph in dreamsto Mary in visions
Birth:Birth in houseBirth in manger
Celestial sign:Star in the EastChorus of angels above a sheep pasture
Genealogy:"42" generations back to Abraham (actually 41 names) 42 generations back to David.
Then another 14 generations back to Abraham, and another 21 generations back to God himself.
Royal ancestry:Lineage accentuates JewishnessExtended ancestry now inclusive of Gentiles
Adoration:from Magi

Dream-inspired flight to Egypt

Herod's murder of the innocents

Move to (new home) Nazareth

from Shepherds

Presentation in the Temple; recognised as a "light to the Gentiles" by prophets; Prodigy in the temple at aged 12.

Return to (hometown) Nazareth
 
Kajipiga mwenyewe kwenya mshono!! Mimi namchallenge aseme wapi tukutane tujadili kuhusu Quran na biblia Live, mjadala uwekwe Youtube na hapa Jamii forums. Nawahakikishia hataweza kusimama hata dakika 10 kutetea hoja zake.
Umeshindwa kupangua hoja humu unataka live 😂😂🤣
 
Nenda post number 1 , pangua hoja , tupo page ya 75 hakuna muislamu ameweza kupangua hoja ata moja
Wacha kujipakazia, hata Matthew , Mark , Luke , John hawajulikani, wamepachikwa tu kudanganya toto
 
daah we jamaa kumbe sio wa kispotispoti,,umepiga kwenye mshono watu wanaweweseka ovoovo

Ajabu ni kuwa mawakili WA maana WA upande wa Quran wamekimbia wamewaachia watu ordinary wasio na elimu ya Dini pamoja na elimu ya kidunia.
Ndio maana unaona wakiweweseka hivi
 
Back
Top Bottom